Maelezo ya Mashahidi wa Jamhuri dhidi ya Lissu yanaonyesha, tuna jeshi la Polisi lisilo na Weledi, Elimu na Lisilojua PGO yake !!.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Ukifatilia hii kesi, Yale Maelezo waloandikishwa Hawa wanaoitwa Mashahidi wa Lissu, na maelezo wanaotoa Mahakamani ni vitu Viwili tofauti kabisa.

Sijui ni hizi Elimu za Darasa la Saba kwa hiyo wanafanya kazi za mazoea, sijui ni kutokujua chochote kuhusu PGO.

Mmekamata Lissu , mmekaa naye MIEZI mingi, basi Maelezo ya Mashahidi wenu wamchongo yao ekane basi ni yamesukwa vilivyo.

Mnakaa na mtu miezi yote, mnawapika Mashahidi wa uongo miezi na miezi, alafu bado HATA MAELEZO MNAYAYOANDIKA YANAKUA YAOVYOOOO, KITUKO NA KICHEKESHO.

Tukishalikomboa hili Taifa, Jeshi la Polisi tutalifumua lote.
 
Yaan Mnatengeneza wenyewe ushahidi, lakini hata kuundika huo ushahidi kwa mpangilio, bado mnashindwa .

Duuhh Kweli Jeshi limejaa fara la Saba.

Kuna jamaaa nilisoma naye shule ya msingi, alikuaga kilaza sana, Niliwahi muonyesha majibu yangu kwenye mtihan, kazi yake ilikua ni kukopi na kupesti, matokeo yake alikopi Hadi jina langu.

Ukilaza na ujinga wa Hali ya juu sana.
 
Pengine wewe ndio ukikopy kwa mwenzako
 
Ukifatilia hii kesi, Yale Maelezo waloandikishwa Hawa wanaoitwa Mashahidi wa Lissu, na maelezo wanaotoa Mahakamani ni vitu Viwili tofauti kabisa.

Sijui ni hizi Elimu za Darasa la Saba kwa hiyo wanafanya kazi za mazoea, sijui ni kutokujua chochote kuhusu PGO.

Mmekamata Lissu , mmekaa naye MIEZI mingi, basi Maelezo ya Mashahidi wenu wamchongo yao ekane basi ni yamesukwa vilivyo.

Mnakaa na mtu miezi yote, mnawapika Mashahidi wa uongo miezi na miezi, alafu bado HATA MAELEZO MNAYAYOANDIKA YANAKUA YAOVYOOOO, KITUKO NA KICHEKESHO.

Tukishalikomboa hili Taifa, Jeshi la Polisi tutalifumua lote.
unadani kwani maelezo ya mashahidi wa jamuhuri yalimtia njaa mtuhumiwa wa uhaini, hata akaomba chakula kizimbani? :1Head:
 
Unahiyajika kua mjinga kwelikweli ili uwe Mnafiki.

Ni mgumu mno kukuta Mtu mwenye akili ni mnafiki.
 
Tunalibunja lote na kuwaua wote😬😁😆😀😃😳🤫
 
Ukifatilia hii kesi, Yale Maelezo waloandikishwa Hawa wanaoitwa Mashahidi wa Lissu, na maelezo wanaotoa Mahakamani ni vitu Viwili tofauti kabisa.

Sijui ni hizi Elimu za Darasa la Saba kwa hiyo wanafanya kazi za mazoea, sijui ni kutokujua chochote kuhusu PGO.

Mmekamata Lissu , mmekaa naye MIEZI mingi, basi Maelezo ya Mashahidi wenu wamchongo yao ekane basi ni yamesukwa vilivyo.

Mnakaa na mtu miezi yote, mnawapika Mashahidi wa uongo miezi na miezi, alafu bado HATA MAELEZO MNAYAYOANDIKA YANAKUA YAOVYOOOO, KITUKO NA KICHEKESHO.

Tukishalikomboa hili Taifa, Jeshi la Polisi tutalifumua lote.
Sifa kubwa ya kwanza ya kuwa polisi ni kuwa na uwezo mdogo wa akili.
Simbachawene alisema kuwa kushindikana kuwaajiri watu wenye akili kuwa polisi ni kwa sababu wenye akili hawawezi kukubali kuwa walinzi wa usiku wa mabenki. Hivyo wanalazimika kuwaajiri hao wasio na akili kuwa mapolisi. Kama huo ndiyo ukweli wenyewe, unategemea nini kutoka kwa watu wasio na uwezo wa akili?
 
Kwa ujumla hamna polisi hapa, kwa mwenye akili sawasawa yeyote anaona vaccum kubwa sana iliyopo na tunatakiwa kimsingi kurudi square 1 kuanza upya kabisa kuunda chombo kipya kabisa! Wanavaa manyota ya visoda yote ceremonial tupu! Tulianza kujua huu uozo kwenye kesi ya mbowe na kingai, sasa hii ndio imeprove kabisa uwezo wao yani hata mama yao tu anayewapa chakula hawawezi kumlinda bila mabunduki, acha kulinda wananchi na mali zao!
 
Ukifatilia hii kesi, Yale Maelezo waloandikishwa Hawa wanaoitwa Mashahidi wa Lissu, na maelezo wanaotoa Mahakamani ni vitu Viwili tofauti kabisa.

Sijui ni hizi Elimu za Darasa la Saba kwa hiyo wanafanya kazi za mazoea, sijui ni kutokujua chochote kuhusu PGO.

Mmekamata Lissu , mmekaa naye MIEZI mingi, basi Maelezo ya Mashahidi wenu wamchongo yao ekane basi ni yamesukwa vilivyo.

Mnakaa na mtu miezi yote, mnawapika Mashahidi wa uongo miezi na miezi, alafu bado HATA MAELEZO MNAYAYOANDIKA YANAKUA YAOVYOOOO, KITUKO NA KICHEKESHO.

Tukishalikomboa hili Taifa, Jeshi la Polisi tutalifumua lote.
Wambura mwenyewe ni kilaza sembuse anaowangoza.
 
Siyo jeshi la polisi tu hata TISS,UHAMIAJI ni kufumua fumua kabisa 100% JWT 50%
 
Sifa kubwa ya kwanza ya kuwa polisi ni kuwa na uwezo mdogo wa akili.
Simbachawene alisema kuwa kushindikana kuwaajiri watu wenye akili kuwa polisi ni kwa sababu wenye akili hawawezi kukubali kuwa walinzi wa usiku wa mabenki. Hivyo wanalazimika kuwaajiri hao wasio na akili kuwa mapolisi. Kama huo ndiyo ukweli wenyewe, unategemea nini kutoka kwa watu wasio na uwezo wa akili?
Sio ukweli kaka kwamba wanaoajiliwa inabidi wawe na akili ndogo ni akili za askari na askari ila sio wote .

Sikubaliani na yanayoendelea kuhusu LISSU lakini pia sikubaliani na kusema polisi wote akili hawana ,wapo wenye elimu zao na akili zao ila elewa kuwa majeshini kuna ujinga wa order kwahiyo hakuna sehemu unaweza kutumia akili yako au elimu yako kuna muda utapewa order na asiye na akili na huwezi kukataa kwasababu umeapa kutii amri ya mkubwa wako ni hapo jamii inawaona wote hawana akili au hamnazo ila hakiko hivyo ndugu
 
Si hata kuwa lipo.

Bali halipo, hicho ni kikundi cha watu wahalifu.
 
Back
Top Bottom