Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Pengine wewe ndio ukikopy kwa mwenzakoYaan Mnatengeneza wenyewe ushahidi, lakini hata kuundika huo ushahidi kwa mpangilio, bado mnashindwa .
Duuhh Kweli Jeshi limejaa fara la Saba.
Kuna jamaaa nilisoma naye shule ya msingi, alikuaga kilaza sana, Niliwahi muonyesha majibu yangu kwenye mtihan, kazi yake ilikua ni kukopi na kupesti, matokeo yake alikopi Hadi jina langu.
Ukilaza na ujinga wa Hali ya juu sana.
unadani kwani maelezo ya mashahidi wa jamuhuri yalimtia njaa mtuhumiwa wa uhaini, hata akaomba chakula kizimbani?Ukifatilia hii kesi, Yale Maelezo waloandikishwa Hawa wanaoitwa Mashahidi wa Lissu, na maelezo wanaotoa Mahakamani ni vitu Viwili tofauti kabisa.
Sijui ni hizi Elimu za Darasa la Saba kwa hiyo wanafanya kazi za mazoea, sijui ni kutokujua chochote kuhusu PGO.
Mmekamata Lissu , mmekaa naye MIEZI mingi, basi Maelezo ya Mashahidi wenu wamchongo yao ekane basi ni yamesukwa vilivyo.
Mnakaa na mtu miezi yote, mnawapika Mashahidi wa uongo miezi na miezi, alafu bado HATA MAELEZO MNAYAYOANDIKA YANAKUA YAOVYOOOO, KITUKO NA KICHEKESHO.
Tukishalikomboa hili Taifa, Jeshi la Polisi tutalifumua lote.
Unahiyajika kua mjinga kwelikweli ili uwe Mnafiki.unadani kwani maelezo ya mashahidi wa jamuhuri yalimtia njaa mtuhumiwa wa uhaini, hata akaomba chakula kizimbani?
Sifa kubwa ya kwanza ya kuwa polisi ni kuwa na uwezo mdogo wa akili.Ukifatilia hii kesi, Yale Maelezo waloandikishwa Hawa wanaoitwa Mashahidi wa Lissu, na maelezo wanaotoa Mahakamani ni vitu Viwili tofauti kabisa.
Sijui ni hizi Elimu za Darasa la Saba kwa hiyo wanafanya kazi za mazoea, sijui ni kutokujua chochote kuhusu PGO.
Mmekamata Lissu , mmekaa naye MIEZI mingi, basi Maelezo ya Mashahidi wenu wamchongo yao ekane basi ni yamesukwa vilivyo.
Mnakaa na mtu miezi yote, mnawapika Mashahidi wa uongo miezi na miezi, alafu bado HATA MAELEZO MNAYAYOANDIKA YANAKUA YAOVYOOOO, KITUKO NA KICHEKESHO.
Tukishalikomboa hili Taifa, Jeshi la Polisi tutalifumua lote.
Wambura mwenyewe ni kilaza sembuse anaowangoza.Ukifatilia hii kesi, Yale Maelezo waloandikishwa Hawa wanaoitwa Mashahidi wa Lissu, na maelezo wanaotoa Mahakamani ni vitu Viwili tofauti kabisa.
Sijui ni hizi Elimu za Darasa la Saba kwa hiyo wanafanya kazi za mazoea, sijui ni kutokujua chochote kuhusu PGO.
Mmekamata Lissu , mmekaa naye MIEZI mingi, basi Maelezo ya Mashahidi wenu wamchongo yao ekane basi ni yamesukwa vilivyo.
Mnakaa na mtu miezi yote, mnawapika Mashahidi wa uongo miezi na miezi, alafu bado HATA MAELEZO MNAYAYOANDIKA YANAKUA YAOVYOOOO, KITUKO NA KICHEKESHO.
Tukishalikomboa hili Taifa, Jeshi la Polisi tutalifumua lote.
Siyo jeshi la polisi tu hata TISS,UHAMIAJI ni kufumua fumua kabisa 100% JWT 50%Ukifatilia hii kesi, Yale Maelezo waloandikishwa Hawa wanaoitwa Mashahidi wa Lissu, na maelezo wanaotoa Mahakamani ni vitu Viwili tofauti kabisa.
Sijui ni hizi Elimu za Darasa la Saba kwa hiyo wanafanya kazi za mazoea, sijui ni kutokujua chochote kuhusu PGO.
Mmekamata Lissu , mmekaa naye MIEZI mingi, basi Maelezo ya Mashahidi wenu wamchongo yao ekane basi ni yamesukwa vilivyo.
Mnakaa na mtu miezi yote, mnawapika Mashahidi wa uongo miezi na miezi, alafu bado HATA MAELEZO MNAYAYOANDIKA YANAKUA YAOVYOOOO, KITUKO NA KICHEKESHO.
Tukishalikomboa hili Taifa, Jeshi la Polisi tutalifumua lote.
Sio ukweli kaka kwamba wanaoajiliwa inabidi wawe na akili ndogo ni akili za askari na askari ila sio wote .Sifa kubwa ya kwanza ya kuwa polisi ni kuwa na uwezo mdogo wa akili.
Simbachawene alisema kuwa kushindikana kuwaajiri watu wenye akili kuwa polisi ni kwa sababu wenye akili hawawezi kukubali kuwa walinzi wa usiku wa mabenki. Hivyo wanalazimika kuwaajiri hao wasio na akili kuwa mapolisi. Kama huo ndiyo ukweli wenyewe, unategemea nini kutoka kwa watu wasio na uwezo wa akili?