Mawaziri wa CCM leo kwenye sherehe za CCM Morogoro mbele ya Karibu Mkuu wakijibu kero kwa wananchi wamedhihirisha kuwa maamuzi mabovu ya serikali yao ni chanzo cha matatizo Kwa Watanzania.
Ona mifano hii. Waziri wa kilimo anasema serikali ya Mhe. Samia Ina nunua mazao ya wakulima wakati wa mavuno na kuyauza wakati wa njaa. Kama ndivyo ina maana kwa sasa tunanunua chakula kilichohifadhiwa na serikali kwa bei ya juu zaidi.
Baadae namsikia Mhe. Silinde wa Tamisemi eti wamehamisha walimu vijijini toka shule za mjini. Sasa nani anahusika kujaza walimu mjini kama siyo hiyo serikali wanavyodai ni ya Mhe. Samia. Hawa wana kampeni siyo ya kumssaidia mama mbali wanataka kumwangusha.