Maelfu Iran waendelea kuamsha popo, maandamano yako pale pale licha ya serikali kuwaua kisa dini

Ila tukianza kufukua makaburi hapo mwanzo mlikua mnamtetea sana ilikua halali yule Binti kuadhibiwa kwa sharia za kiislamu. Leo Tena unaruka
 
Wewe hiyo dini siyo yenu sema mmerithishwa na slave traders kutoka Middle East au uarabuni.
 
sawa mkuu mimi nilijaribu tu kukuonesha uhalisia ila kama umeamua mwenyewe kutokuelewa kwa hali yeyote i rest my case na uwe na siku njema.
 
Ila tukianza kufukua makaburi hapo mwanzo mlikua mnamtetea sana ilikua halali yule Binti kuadhibiwa kwa sharia za kiislamu. Leo Tena unaruka
sheria ya kiislamu iko wazi, ila kesi ya iran mimi sijaizungumzia ila nimeongea leo baada ya kuona uislamu unahusishwa na hao mashia.
 
Alikufa mtu mmoja watu wakaingia mtaani sasa hivi wanatishia kuua watu zaidi ya 15k.Hivi hawa jamaa wanawaza nini?

Hizi dini shaghablabaghala kabisa.
Ukichunguza unagundua kuna serikali ya kiislamu na si nchi ya kiislamu.
 
Kwa hiyo wale manabii na mitume kabla ya mohd hawakuwa waislamu kisa ni wayahudi?maana mitume wote mnadai walikuwa waislamu,ama kweli kuna ngano na magugu!
 
sawa mkuu mimi nilijaribu tu kukuonesha uhalisia ila kama umeamua mwenyewe kutokuelewa kwa hali yeyote i rest my case na uwe na siku njema.

Sio kuamua tu mwenyewe, nazungumza kwa kuzingatia ninachoshuhudia, uislamu wenyewe unajitangaza maovu yake, samahani ila ndio kitu tunachokiona, mataifa yanayoongozwa kiislamu ni mauaji na maugomvi kutwa na maushetani ya kila aina, watu wanajilipua mabomu, yaani mtu mpaka anafikia hatua za kufanya maamuzi alipuke bomu afe na watu sokoni, tumekua tunashuhudia vituko vya waislamu vingine hata vinamshangaza shetani mwenyewe.
Ndio maana nikatafiti kutaka kujua nini inawezekana kuwa mgongo wa haya yote na kukutana na hizo aya zinazoamrisha waislamu wachinje wasio waislamu.

Maana kwamba kwa nyie mnaoishi na sisi kwa amani tayari mnavunja sheria za uislamu, mumedandia tu dini, mumepewa maagizo ya kuchinja kila asiye muislamu, hiyo dini kama nilivyosema hata chimbuko lake limekaa kishetani, huyo mtume wenu nilisoma sehemu alikua anagegeda katoto ka miaka 9, wewe fikiria mtoto wa miaka 9, tena huyo mtoto alikua anacheza na midoli, yaani vitu vya ajabu sana lakini akitajwa mnaona radhi mfe ila asitajwe.
 
Mbona inaitwa "Jamuhuri ya Kiislam ya Iran!!??"

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wale manabii na mitume kabla ya mohd hawakuwa waislamu kisa ni wayahudi?maana mitume wote mnadai walikuwa waislamu,ama kweli kuna ngano na magugu!
wale mitume wote walikuwa waislamu na ujumbe wao mitume wote ni mmoja tu, nilichokimaanisha hapo sio utaifa wa mtu bali nimekusudia uyahudi kama dini, kwani haufahamu kuwa uyahudi ni dini inayojitegemea?.
 
Kuna kitu fulani usichokijua mkuu, hivi unajua kuwa hao watu wanaolipua wenzao kwa kujitoa muhanga masokoni, mashuleni n.k unajua kuwa wao wamepigwa vita sana na dini ya kiislamu yenyewe kuliko hata wanavyopigwa vita na wasio waislamu?.

Hivi unafahamu vita kwa mujibu wa uislamu hairuhusiwi kabisa kuua wanawake wala watoto wala kukata miti na uharibifu mwingine?.Na cha pili mkuu unapaswa kuwa open minded pokea hoja pasi na kuweka chuki hii itakufikisha mbali sana kwenye maisha yako, jijengee tabia ya kumsikiliza mtu anasema nini kisha amua mwenyewe kupuuza lakini usichukue mrengo wa kuweka chuki kabla hujafahamu hata kinachozungumziwa.

Kwa kumalizia sisi hatujaamrishwa kuchinja kila asiye muislamu huu ni uongo wa wazi bali wakati wa mtume tu kulikuwa na mayahudi palepale mjini kwake na anafanya nao biashara na mambo mengine, huyajui haya?.

Kuhusu suala la kuoa binti wa miaka tisa mama yetu aaisha allah amridhie hili ni jambo liko wazi sana katika tamaduni za kiislamu, huenda binti akaozeshwa akiwa bado mdogo kabisa kama hivyo miaka 7 au 8 au 9 n.k kisha anabaki kwa wazazi wake mpaka akue afikie kiwango cha kuweza kuhudumia ndoa hapo sasa ndio hukabidhiwa kwa mumewe, mbona hili liko wazi na mpaka sasa linafanyika? mbona mnamshambulia sana mtume swala na amani ziwe juu yake kama kwamba amefanya ufirauni wa hali ya juu pasi na ushahidi wowote mlionao?.Kwa kukusaidia mkuu mtume alipomuoa mkewe huyo alibaki kwa wazazi wake mpaka alipobalehe na kukua sasa akakabidhiwa kwa mumewe kama ilivyo ada.

Mimi nakuusia kuwa muadilifu katika kufuatilia taarifa za watu wengine hata kama unawachukia mno.
asante.
 
Mbona inaitwa "Jamuhuri ya Kiislam ya Iran!!??"

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums
Ni kweli wanajiita hivyo, lakini kujiita hata wewe ukitaka utafanya maana una uhuru wa kufanya hivyo, ila chukua maneno yangu na ufuatilie hao mashia wako mbali na uislamu mno na mfumo wao wa dini ni tofauti kabisa na wanatoa pesa nyingi mno kuwabadilisha waislamu kuwa mashia duniani kote, hata hapa tanzania huko vijijini wanawapa watu pesa ili wawe mashia na bajeti inapangwa huko iran, bali si hivyo tu wanajenga sana mashule kisha mle ndani ya syllabus wanafundisha watoto ushia taratibu na hili linafanyika hata hapa tanzania.
 
tatizo lenu maneno mengi ila uhalisia 0 , nina rafik yang ni muisla.. tulikuwa tang utoton kaja kukua akaanza isoma dini vzr sasa hv mbaguz hatar yaan anaonga shiti juu ya dini nyingine tena mbele yang pia yupo dogo mtoto wa Sister alikuwa powa sana majuz kaenda kwa dingi ake akalishwa dini yenu karudi mbaguz hatar hata kwao kanunua vyombo vyake hali na wengine anasema makafir , hiyo dini yenu inafundisha CHUKI jichunguzeni
 
maadam hatujakatazwa kuchukua jambo zuri kutoka kwa wageni basi hili linafaa zaidi kuchukua, si sawa na mwenye kuabudu mti huku akiwa uchi mkuu.
sorry mkuu , unaacha iman yako.unafuata iman inatuleteq ugaid na mipasuko kweny jamii , kuna uzuri gan hapo?
 

Hizi nadharia haziondoi uhalsia tunaoshuhudia, nimekupa aya za kurani zinazoamrisha waislamu kuchinja wasio waislamu, na tumeshuhudia hayo matukio maeneo mengi tu, hao wanayafanya kwa kufuata maagizo yaliyo kwenye kurani.
Kuhusu Mohammed kugegeda katoto, unajaribu kupindisha, ni kweli kuna tamaduni nyingi tu ambapo mtoto huozeshwa akiwa mdogo, ila anaingiliwa na mumewe siku akishakua, ila kwa Mohammad alipewa hako katoto kakiwa na miaka sita, akashindwa kuvumilia na kuanza kukafumua kakiwa na umri wa miaka tisa ambapo kalikua bado kanacheza na midoli, ndio nini hicho mnakosa hata aibu mnatetea paedophile kabisa.
 
mkuu uislamu unaelekeza hivi jinsi ya kuishi na watu wasio waislamu ambao hawana uadui wala hawatuzuii kwenye kutekeleza yaliyo ya lazima kwetu.

"allah hakukatazeni kuwafanyia wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita, wala hawakukutoeni katika majumba yenu, kwamba muwafanyie wema na muwafanyie uadilifu juu yao, hakika allah anawapenda wafanyao uadilifu."

quran 60:8
 
sorry mkuu , unaacha iman yako.unafuata iman inatuleteq ugaid na mipasuko kweny jamii , kuna uzuri gan hapo?
imani gani mkuu? ugaidi si katika mafunzo ya uislamu nalikariri tena hili hapa jukwaani mara ya ngapi sijui leo, nyinyi mna misinformation nyingi mno kuhusu uislamu.

laiti ungejua mafunzo ya uislamu kuhusu kupiga vita ugaidi yakoje usingeyasema hayo unayoyasema mkuu.

ama kuhusu imani ya kuabudu yule aliyetuumba na kutuleta hapa duniani hili ndilo lengo hasa la kuumbwa kwetu, haya mengine ni sababu tu za kutusaidia kwenye hilo.
 
si kweli, majibu ya hizo hoja nimekupa hapo juu ila umefanya kama huoni nimekueleza aya zote zina sababu ya kushuka kwake, hili nadhani limekuzidi maarifa tuachane nalo.

Kuhusu hilo suala la ndoa nakariri tena kwako ndoa ilifungwa akiwa na miaka 9 na alikabidhiwa baada ya kukua kutoka kwa wazazi wake, yeye mtume muhammad ndie baba wa ustaarabu ulimwenguni ni muhali yeye kufanya uchafu kama huo.

Ama kuwahusu hao magaidi ambao ukichunguza wameua waislamu wengi kuliko hata wakristo jambo lao nimeshakueleza hapo juu na hii haileti maana ya kuuchafua uislamu kwasababu wanachokifanya si katika mafunzo ya uislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…