Maelfu Iran waendelea kuamsha popo, maandamano yako pale pale licha ya serikali kuwaua kisa dini

Maelfu Iran waendelea kuamsha popo, maandamano yako pale pale licha ya serikali kuwaua kisa dini

Hehehe ni wachache sana mnakana kwamba haipo, kuna wenzako humu nao badala ya kukana walijaribu kuaminisha oooh eti ilikua sahihi kuinglia mtoto wa miaka 9 maana enzi hizo ndio ilikua tamaduni zao, yaani watu...

[Sahih al-Bukhari 3896/Sahih Bukhari Volume 5, Book 58, Number 236] Narrated Hisham’s father: Khadija died three years before the Prophet departed to Medina. He stayed there for two years or so and then he married ‘Aisha when she was a girl of six years of age, and he consumed that marriage when she was nine years old.

Sahih Muslim 1422 b
'Aisha (Mwenyezi Mungu amrehem) aliripoti:
Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) alinioa nikiwa na umri wa miaka sita, na nilipelekwa nyumbani kwake nilipokuwa na umri wa miaka tisa.
mfano wa Muhammad wa kuoa mtoto mdogo ('Aisha akiwa na umri wa miaka sita) ndio sababu nchi za kiislam zinazoendeshwa kwa Shariah haziwekei umri wa chini wa ndoa.
surah 65: 4 inaruhusu mtu mzima kuoa mtoto mdogo ambaye hajapata mzunguko wa kwanza wa hedhi lakini pia kuwapa talaka ili wengine waweze kuwaoa.
Haya ni mambo ambayo yanaendelea hadi leo kwa sababu Waislamu wanamchukua Muhammad kama nabii kwani maisha yake yana muhuri wa Allah. Katika nchi kama Yemen ambayo bado ni kawaida kwa wanaume kuoa watoto ambao bado hawajavunja ungo na wakati nchi ilipokuwa inajaribu kuzuia, kiongozi wa kidini ambaye alisema huwezi kuacha hiyo tabia kwa sababu utakuwa unamhukumu Mwenyezi Mungu katika Quran na Muhammad katika maisha yake.
surah 33:21 inasema Muhammad ni mfano ambao Waislamu wanapaswa kumfuata hichi sio kitu tu kibaya ambacho Muhammad alifanya jambo hilo limeathiri kizazi baada ya kizazi cha watu ambao wanahitaji ulinzi yaani wasichana wadogo wengi wamekuwa wakiathirika wakati mwingine hufa kwa sababu hawako tayari kwa tendo hilo na yote yameithinishwa na huto wanaemuita Allah na Muhammad.
sasa sahihul bukhaari ndio quran uliyodai pale juu!? mimi nilitarajia utakimbilia huku sasa mbona hoja yako umeivunja mwenyewe, hiyo miaka minne kasoro alikuwa anasubiri nini kitokee si angemchukua akiwa na miaka yake 6?.
 
unaelewa kinachozungumziwa hapa? basi umeleta hoja iliyokazia zaidi nilichokisema hakuishi nae kindoa akiwa na miaka sita bali baada ya kukua na kukabidhiwa kwake, ila makusudio ya hapo juu ilikuwa ni alete aya kwenye quran kama alivyodai jambo ambalo hatoliweza bali hata wewe hadithi uliyoileta imevunja hoja yake ya kusema alianza kutumikia ndoa akiwa na miaka 6.
Aisha anasema mwenyewe kuwa Muhammadi alimwoa akiwa na miaka 6. Akalala naye akiwa na miaka 9.

Sasa wewe nini unachokibishia hapo.

Haya tuambie tukusikilize wewe.
 
Angalia YouTube clip ya

"Inside Al Shabaab" Kuna eneo wanaliwala huko Somalia. Ni kwamba katika eneo hilo zinafuatwa Shari zote za Kiislamu. Na mambo yanaenda kutokana na miongozo ya hiyo dini.

Je wewe kama mwislamu huoni kuwa malengo yao ni sahihi ?

Tulia angalia hiyo video halafu tuletee mrejesho hapa.
Kwanza kabla ya kwenda youtube, hawa alshabaab wanapata wapi silaha na nguvu ya kupigana vita huko pembe ya afrika.
 
Aisha anasema mwenyewe kuwa Muhammadi alimwoa akiwa na miaka 6. Akalala naye akiwa na miaka 9.

Sasa wewe nini unachokibishia hapo.

Haya tuambie tukusikilize wewe.
Alichokisema huyu ndugu ni kwamba alikuwa anahudumia ndoa akiwa na miaka 6, mimi nikamwambia hapana alisubirishwa akiwa kwao mpaka akakua ndio akakabidhiwa, akasema quran imeeleza hivyo ndio nikampa challenge alete hiyo aya kwenye quran na hajaweza kufanya hivyo na hatoweza kabisa.
 
Muhammadi alimwoa Aisha akiwa na miaka sita, akawa mkewe halali kabisa. Haijalishi ali ishi wapi.

Akiwa na miaka 9 ndio akashiriki naye.

Sasa tuongee nini tena ndugu.
 
Nasema hivi.
Lengo lao ni dunia ifuate Sharia zote za Kiislamu.

Wewe mwislamu hupendi iwe hivyo ?
Wala hawana lengo hilo, bali wako pale kuvuruga amani ya ukanda ule kwa malengo maalumu ya kisiasa.

Kuhusu sheria ya kiislamu jambo lake ni process inayokwenda hatua kwa hatua na si from no where umekamata bunduki umeteka meli mara umeteka ambulance ukiulizwa unafanya nini? unasema lengo ni sheria ya kiislamu isimame huu utakuwa ni aina ya wehu.

Katika uislamu pana mapigano ya kujihami na mapigano ya kutanua dola na mipaka ya utawala, hii aina ya pili inahitajia nguvu na kiongozi na si kila mtu kujianzishia vita yake msituni so hawa alshabaab ni wahuni fulani wa kisomali wanaofanya yale wanayoyafanya kwa malengo maalumu ya kuharibu amani ya pembe ya afrika kwa kupitia mgongo wa dini ya kiislamu, na hawafanikiwi katu.
 
Angalia hiyo Video kwanza. Ni nzuri tu kwa Waislamu.

Kuna kila kitu cha utawala wa Kiislamu.
 
Mkuu hiyo kazi inafanyika usiku na mchana na sisi ndio tunaotuliza hali ya amani kwa upande wa hawa watu wenye siasa kali na ndio maana kila wakiibuka tunawaonesha ubaya wao hawadumu wanapotea, angalia aboud rogo, ibrahim lenard, ilunga kapungu na wengine wengi wenye kufuata mrengo kama huo usiohusiana na uislamu kwa lolote, watu hawa hakuna anaeweza kuwazungumza na kubatilisha hoja zao zaidi ya sisi waislamu wenyewe.

Zingatia tukio la bomu zanzibar darajani mwaka 2014 walifanya vile kwasababu kilichokuwa kinafanyika pale ni kuionesha jamii ubaya wa makundi haya ya wahuni na watu wanaosababisha dhiki kwa waislamu na wasiokuwa waislamu pasi na kujali matokeo.
Juzi hapa waislamu pemba waliandamana kukataa ujenzi wa kanisa..je kama kweli uislm ni dini ta upendo kwa watu wote kwanini hawataki wa kristo wajenge nyumba zao za ibada?

Pia kwanini umma wa waislamu Tanzania wenye upendo usitoe tamko kulaani hayo maandamano??

#MaendeleoHayanaChama
 
Muhammadi alimwoa Aisha akiwa na miaka sita, akawa mkewe halali kabisa. Haijalishi ali ishi wapi.

Akiwa na miaka 9 ndio akashiriki naye.

Sasa tuongee nini tena ndugu.
Hicho ni sahihi na maelezo yangu kulikiri hilo yako kwenye post za nyuma, na kwenye uislamu hapana vibaya binti kuozeshwa kisha akakaa kwa wazazi wake mpaka akue ndio aende kwa mumewe hilo lipo na lina maslahi makubwa mno.
 
Anaambiwa na nani? hao magaidi ungejua ni washirikina wabakaji bali walawiti kabisa kwasababu wao wanajidanganya kuwa maadam hakuna dola ya kiislamu duniani basi kila kitu ni halali mpaka dola ije, siku wakimkamata mkeo wakahamia nae mapangoni ndio utajua ni uislamu halisi au ni huo wa mchongo unaousemea.

Nisamehe kwa lugha kali sikuwa na namna.
Ndio mafundisho ya uislam..ndio mana wanaitwa waislamu itikadi kali..yani wale wanaofuata uislamu bila kupindisha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Angalia hiyo Video kwanza. Ni nzuri tu kwa Waislamu.

Kuna kila kitu cha utawala wa Kiislamu.
Mimi nimeshiriki kwenye documentaries kuwahusu hao jamaa nadhani hakuna kipya ambacho sikijui mkuu, wewe tambua hao target yao ya kwanza ni waislamu wanaowafumbua macho waislamu kuhusu uovu wao kisha ndio watasumbua sumbua kidogo wakristo au kuvamia maduka na supermarkets na kuteka magari basi.
 
Ndio mafundisho ya uislam..ndio mana wanaitwa waislamu itikadi kali..yani wale wanaofuata uislamu bila kupindisha.

#MaendeleoHayanaChama
Basi uislamu haujafundisha mtu awe itikadi kali, hawa extremists wako mbali kabisa na uislamu kwasababu dini yetu ni dini ya kati na kati haijavuka mpaka wala haijawa na uzembe.
 
mkuu kwanza nitake radhi mimi ni mtu ninayefuata uislamu katika kila hatua, tukirudi kwenye mada kwanza ufahamu kwamba aya za quran zina sababu ya kuteremeshwa na hizo ulizotaja zote zilikuwa na sababu na matukio maalumu, kwa kulikazia zaidi jambo aya hii hukuiona?!.

"Allah forbiddeth you not those who warred not against you on account of religion and drove you not out from your homes, that ye should show them kindness and deal justly with them. Lo! Allah loveth the just dealers."
quran 60:8
Kwa hiyo kilichopo ni kwamba mtu yuko huru kuamua atumie maandiko yepi katika Kurani na ndio maana magaidi huamua kutumia yale aliyotaja mdau hapo juu kwa sababu yamo kwenye msaafu.
 
Juzi hapa waislamu pemba waliandamana kukataa ujenzi wa kanisa..je kama kweli uislm ni dini ta upendo kwa watu wote kwanini hawataki wa kristo wajenge nyumba zao za ibada?

Pia kwanini umma wa waislamu Tanzania wenye upendo usitoe tamko kulaani hayo maandamano??

#MaendeleoHayanaChama
@Kazakh destroyer mbona maswali yangu huyajibu??

#MaendeleoHayanaChama
 
sorry mkuu , unaacha iman yako.unafuata iman inatuleteq ugaid na mipasuko kweny jamii , kuna uzuri gan hapo?
Hivi hawa wamarekani wanaotoka kwao na kwenda kupiga mabomu Iraq, Syria na Libya wametumwa na waislamu? Na wao ni dini gani?

Wacheni hizo propaganda zenu munazofuata za magharibi, kwani wao ndiyo waharibifu wakubwa kwa kisingizio cha ugaidi huku kumbe wanataka kuiba mafuta ya hao wanaowaita waislamu
 
Back
Top Bottom