Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Muhamad ndiye alikuwa Muislamu wa Kwanza. Yaliyofuatia yalikuwa Majini.Okay twende taratibu mkuu, kuileta hii aya umekusudia kujengea hoja gani juu yake?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhamad ndiye alikuwa Muislamu wa Kwanza. Yaliyofuatia yalikuwa Majini.Okay twende taratibu mkuu, kuileta hii aya umekusudia kujengea hoja gani juu yake?.
Mkuu ninachotaka kukwambia lugha ya kiarabu ni lugha tajiri mno haitegemei kukopa maneno kwenye lugha nyingine hivyo utapata tabu sana usipozingatia mchungo wa maneno kwenye quran, nakupa mfano wa maneno ya ibrahim na pia yaquub mjukuu wake amani iwe juu yao.Hii utakuwa umeitoa kwenye Quran. Kwenye Biblia haipo. Uislamu Majini ni ndugu zenu na yalikuwa ya Kwanza kusilimu baada ya Muhamad kuwa muisalmu wa kwanza.
View attachment 2419833
Bora hata MK254 wewe sijui umekuja unaongea vitu gani.Muhamad ndiye alikuwa Muislamu wa Kwanza. Yaliyofuatia yalikuwa Majini.
Kwani mkuu majini si viumbe kama mimi na wewe? tuseme wao hawana haki ya kufanya ibada au unamaanisha nini, na huo udugu unatoka wapi wakati sisi ni wanadamu na wao ni majini hawaonekani.Majini ni ndugu zenu na wote mna muabudu allah. Yaliipenda sana dini ya kiislamu yakasema hakika hiyo ndiyo dini ya kweli. MAJINI.😳
🤣🤣🤣🤣 Imendikwa wapi? Basi Quran haijielewi.Mkuu ninachotaka kukwambia lugha ya kiarabu ni lugha tajiri mno haitegemei kukopa maneno kwenye lugha nyingine hivyo utapata tabu sana usipozingatia mchungo wa maneno kwenye quran, nakupa mfano wa maneno ya ibrahim na pia yaquub mjukuu wake amani iwe juu yao.
View attachment 2419841
uwe makini wakati mwingine mkuu.
SuratulAl- Ahqaf, (Kichuguu Cha mchanga) 46:29Bora hata MK254 wewe sijui umekuja unaongea vitu gani.
Wakristo hawana udugu na majini. Majini ni machafu ni viumbe wanaomtumikia shetani. Ninyi ni waumini wenzenu kwa allah.Kwani mkuu majini si viumbe kama mimi na wewe? tuseme wao hawana haki ya kufanya ibada au unamaanisha nini, na huo udugu unatoka wapi wakati sisi ni wanadamu na wao ni majini hawaonekani.
Kama ni udugu wa kiimani hata majini wakristo wamejaa wa kutosha maana nao wana makabila tofauti, maumbo tofauti na dini tofauti vilevile.
Asante kwa ufafanuziMashia wana swala yao wanayoijua wao, wana kila kitu tofauti na uislamu na sisi huwapiga vita kwa elimu duniani kote na kuwaharibia mipango yao ya kusambaza uyahudi kwa mlango wa nyuma.
Muasisi wa ushia ni abdullahi ibn saba' naye alikuwa myahudi, sisi tuko mbali nao na wao wako mbali na sisi.Ama uislamu ni dini ya amani isiyoruhusu damu ya mtu kumwagwa pasi na sababu bali uislamu umekataza kabisa mambo ya migomo na maandamano.
Na hao wanaosema allahu akbar kisha wakachinja watu mfano wa ISIS, boko haram au hao alshabaab wanaowasumbua hapo kenya, mbele ya uislamu hao watu ni mbwa wa motoni na uislamu umewataja vibaya mno na kwa mujibu wa uislamu wanatakiwa kuuwawa kwani madhara yao kwa umma na jamii kwa ujumla ni makubwa mno, kwa kumalizia hao wahuni wanaofanya vitendo hivyo kwa kisingizio cha allahu akbar wako mbali na uislamu na uislamu u mbali mno na wao.
Wewe ndo umevamia shamba la karanga wakati meno huna mkuu, nikikwambia mitume wote walikuja na neno moja na ujumbe mmoja tangu enzi ya aadam mpaka leo uwe unaelewa mkuu.🤣🤣🤣🤣 Imendikwa wapi? Basi Quran haijielewi.
Unatoa kwenye Quran ambayo hiyo hiyo inasema muhamad alikuwa muislam wa kwanza? Siiamini Quran. Imejaa ujanja ujanja mwingi sana.Wewe ndo umevamia shamba la karanga wakati meno huna mkuu, nikikwambia mitume wote walikuja na neno moja na ujumbe mmoja tangu enzi ya aadam mpaka leo uwe unaelewa mkuu.
Hiyo ni sura ya 2 aya 132.
Wewe ndo umevamia shamba la karanga wakati meno huna mkuu, nikikwambia mitume wote walikuja na neno moja na ujumbe mmoja tangu enzi ya aadam mpaka leo uwe unaelewa mkuu.
Hiyo ni sura ya 2 aya 132.
Ehee kuna ubaya gani? yaani maneno yamewagusa wameenda kuwapa maonyo jamaa zao waache maovu na kutesa viumbe wenzao kuna ubaya gani? labda nikusaidie kuweka hoja yako vizuri.SuratulAl- Ahqaf, (Kichuguu Cha mchanga) 46:29
“ Na wakumbushe tulivyokuletea kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qurani. Basi walipohudhulia walisema (kuambiana: ‘Nyamazeni (msikilizeni maneno ya Mwenyesi Mungu’ na ilipokwiza’ na ilipokwiza somwa walirudi kwa jamaa zao wakiwaonya.”
Ninyi mnaabudu majini ambayo hayo yanamwabudu shetani na ndo inapelekea muuwe sana watu wengine. Kwa ajili ya imani yenu.Ehee kuna ubaya gani? yaani maneno yamewagusa wameenda kuwapa maonyo jamaa zao waache maovu na kutesa viumbe wenzao kuna ubaya gani? labda nikusaidie kuweka hoja yako vizuri.
Mtume muhammad ametumwa kwa wanadamu na majini vilevile na sheria inawahusu kama inavyotuhusu sisi nao wanatakiwa kufunga, kuswali kutenda mema kuacha maovu kujiandaa na akherah n.k.
Sasa leta hoja kuanzia hapo usizunguke mkuu.
Na shetani naye nadhani mnamhubiria hivi hivi.....maana hayo majini ni wale walioasi ambao walitupwa naye. Sasa naelewa kwa nini hata shetani huwa mnamuita jina lake kwa kuli remba. Lionekane zuri... Sheitwan 🤣 ili msimkwaze.Ehee kuna ubaya gani? yaani maneno yamewagusa wameenda kuwapa maonyo jamaa zao waache maovu na kutesa viumbe wenzao kuna ubaya gani? labda nikusaidie kuweka hoja yako vizuri.
Mtume muhammad ametumwa kwa wanadamu na majini vilevile na sheria inawahusu kama inavyotuhusu sisi nao wanatakiwa kufunga, kuswali, kutenda mema, kuacha maovu kujiandaa na akherah n.k.
Sasa leta hoja kuanzia hapo usizunguke mkuu.
Nashukuru pia mkuu wangu.Asante kwa ufafanuzi
Uzuri quran yenyewe inajibu mashambulizi yote kutoka kwa watu walioamua kuzusha maneno kwa malengo yao, haya jibu lako hili hapa.Ninyi mnaabudu majini ambayo hayo yanamwabudu shetani na ndo inapelekea muuwe sana watu wengine. Kwa ajili ya imani yenu.
MAJINI NI WATUMISHI WA SHETANI.SO NDO MAANA KUNAPATIKANA AYA ZA KISHETANI. NA SASA ITABIDI NIWEKE NAKITABU CHA SELEMAN RUSHDIE. AYA ZA KISHETANI.
Halafu nahisi kuna kitu umetumia usiku huu, unamtofautishaje shetani na majini? yaani ni kama useme ninyi mnawaabudu twiga kwasababu twiga ni watumishi wa giraffe.Na shetani naye nadhani mnamhubiria hivi hivi.....maana hayo majini ni wale walioasi ambao walitupwa naye. Sasa naelewa kwa nini hata shetani huwa mnamuita jina lake kwa kuli remba. Lionekane zuri... Sheitwan 🤣 ili msimkwaze.
Mpaka serikali ya ayatollah ipinduliwe na ayatollah auawe kama sadamu au gadafi..ndio wairan wataishi kwa amani.Wananchi hasa wanawake wameliamsha dude ,kwa kupigania uhuru na Haki zao nchini humo.
Iran Ione namna ya kuregeza baadhi ya mambo ili kuendana na wakati
Halafu nahisi kuna kitu umetumia usiku huu, unamtofautishaje shetani na majini? yaani ni kama useme ninyi mnawaabudu twiga kwasababu twiga ni watumishi wa giraffe.
Uko sawa kweli mkuu?.
Kwa kukusaidia shetani ni neno la kiarabu sio kizaramo hicho na kwa kiarabu inaandikwa hivi شيطان sasa ulitaka tusome vipi? kama huna hoja mimi sina muda wa kupoteza mkuu, nakutakia wakati mwema.