Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje kuwa ni wahuni: huenda watawala hawatendi hakiwanatakiwa washike silaha wapambane na hao wahuni wa tigray
Watumishi pamoja na MAEGA(ni MATAGA wa Ethopia)wasije wakawa walioandamana ni watumishi wa serikali Mana serikali zetu ni kizungumkuti
Ni ndoto ya mchana hiyo mkuu. TPLF wanaendelea kunyang'anywa miji huko kaskazini kwa siku 3 mfululizo. Soon wanarudishwa kwao Tigray region.Ujue wananchi hao ni watumishi wengi wa serikali na wachache wanaonufaika na Abiy Ahmed, hii ni ishara kiwa serikali ishashindwa kuwadhibiti Tigray Forces, ila subiria wajeda wa Tigray soon wataingia Addis Ababa, hao hao wananchi watawa support kwa wingi Tigray Forces mtashangaa..
Abiy Ahmed his days are over, soon Tigray Forces wataingia Addis Ababa.
Watigray ni wakorofi na wabinafs km watusi. Hili ndo tatzo la kabila kupata nafasi nyeti nyingi kwa muda mrefu.Ni ndoto ya mchana hiyo mkuu. TPLF wanaendelea kunyang'anywa miji huko kaskazini kwa siku 3 mfululizo. Soon wanarudishwa kwao Tigray region.
We umeona mbali,hao nahisi ni government sponsored, angalia hata aina ya mabango waliyoshika,ni mabango ambayo yanaubunifu fulani na hata lugha iliyotumika sio ya mwananchi wa kawaida hio.wasije wakawa walioandamana ni watumishi wa serikali Mana serikali zetu ni kizungumkuti
Uhuni wao ni upi?hao ni wananchi wanapambania nchi yaowanatakiwa washike silaha wapambane na hao wahuni wa tigray
Ule mgogoro wa bwawa unawatafuna kwa kasiNyuma ya Tigrayans kuna Us na Egypt
Unaripoti hii habari kutokea wapiUjue wananchi hao ni watumishi wengi wa serikali na wachache wanaonufaika na Abiy Ahmed, hii ni ishara kiwa serikali ishashindwa kuwadhibiti Tigray Forces, ila subiria wajeda wa Tigray soon wataingia Addis Ababa, hao hao wananchi watawa support kwa wingi Tigray Forces mtashangaa..
Abiy Ahmed his days are over, soon Tigray Forces wataingia Addis Ababa.
Nani aliyewalazimisha upo sawa kweli?? Mkuu au nawew ndo hvo Tena hamnazo??Tena inaonekana wamelazumishwa kufanya hivyo
Kama baba yake Kiduku alipokufa wakalazimishwa Kulia
Ethiopia waliuwawa sana walipojaribu kuleta mabadiliko na waliokuwa wanakumbia nchi walipigwa shaba
Imagine watu wamefika boarder wanapigwa risasi kisa wanakimbia vita
Hata ujumbe wa Trump uliwahi kufutwa...Ule ujumbe wa Abiy ulijaa uchochezi.Ni kweli kabisa Serikali za magharibi wana mkono hapo Ethiopia
Nilianza kuwa na wasiwasi Facebook walipofuta ujumbe wa Waziri Mkuu
Mkuu ungeonyesha mfano wa kuisupport kwa kujiua mkuu.Watajijua wenyewe. Waafrika tulishashindikana. Wacha wafe tupunguze idadi ya watu wasio na faida duniani. Ethiopia wanaongezeka ovyo kama ilivyo Tanzania. I support depopulation be it in any form.
Sio kila comment lazima uishobokee.Mkuu ungeonyesha mfano wa kuisupport kwa kujiua mkuu.
Sasa kama hukutaka kuquotiwa ungekaa nalo moyoni. Au ungemalizia kabisa mtu asiniquote.Sio kila comment lazima uishobokee.
Njoo kesho tujiue sote niondoke na wewe useless eater mwenzangu unayejaza dunia. Unaonaje tukawa mfano kwa waafrika weusi wengine?Sasa kama hukutaka kuquotiwa ungekaa nalo moyoni. Au ungemalizia kabisa mtu asiniquote.
Mimi siungi mkono, wewe unayeunga mkono ndo utuonyeshe mfanoNjoo kesho tujiue sote niondoke na wewe useless eater mwenzangu unayejaza dunia. Unaonaje tukawa mfano kwa waafrika weusi wengine?