Maelfu waandamana Addis Ababa kupinga propaganda za vyombo vya habari vya magharibi

Maelfu waandamana Addis Ababa kupinga propaganda za vyombo vya habari vya magharibi

Kwamba wacha wafe tu depopulate watu na kuna haja ya kupunguza watu hasa ukanda wetu wa Afrika ambao kimsingi ni namba isiyo na faida kwa ustawi wa ulimwengu.
Inabidi mnaunga mkono hoja mtangulie ili kutuonyesha sisi mfano.
 
Nani aliyewalazimisha upo sawa kweli?? Mkuu au nawew ndo hvo Tena hamnazo??

Unajua unapochangia hoja huna haja ya kuongeza na maneno yasiokuwa na staha
Inaonekana umekulia kwenye maisha ya dhiki sana au una msongo wa mawazo

Humu ni hoja kwa hoja kwani hata hatujuani
Nimekusamehe kwa hilo ila uwe unachangia hoja bila jazba
 
We umeona mbali,hao nahisi ni government sponsored, angalia hata aina ya mabango waliyoshika,ni mabango ambayo yanaubunifu fulani na hata lugha iliyotumika sio ya mwananchi wa kawaida hio.
Kwa hiyo wakiwa sponsored na imperialists ni sawa, si ndiyo?!
 
Nchi zetu za kiAfrika hawana Cha kulaumu wala kutuhumu nchi za magharibi kwani nature za uongozi wetu ni shida tupu.
 
Back
Top Bottom