Pre GE2025 Maelfu wahudhuria mkutano wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbeya leo Julai 10, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
I like opposition parties, wanaoleta stability katika nchi Kwa namna ya kipekee lakini shida ya Chadema, it cannot be trusted after what happened in 2015 na baada ya mwenyekiti kutoka Gerezani. Mmekua kama Mocktail. We don't know what you stand for and as soon as CCM inasimama kuzungumza Chadema Kwa Sababu wanashindwa promote new members walio na fire πŸ”₯ wanaishia kua kama wazee wenye siasa za mwaka 2,000, hawana sera zilizo na mashiko na ushawishi tuwape majimbo na nchi mlete maendeleo. Poleni sana
 
Unaifuatilia Chadema Kweli?
 
Na Sugu alivunja rekodi ya kupata kura nyingi za kuchaguliwa mbunge nimesahau mwaka 2015 si ndio??
 
Unaifuatilia Chadema Kweli?
 
Tunakushukuru Moderator kwa Heading ya kidiplomasia
Ila pale padogo sana kwa mtu kama Sugu, hao maelfu hiyo hesabu sijui mmeipataje. Sana sana ni kutuletea kero watumiaji wa eneo hilo. Sugu si wa kwenda kubanana pale, sasa hivi Mbeya hakuna mvua, mngeenda pale Ruanda Nzovwe mkajiachie bila kuleta kero. Hilo eneo wananchi huwa hawapendi kuona wanasiasa wameligeuza kufanyia shughuli zao.
 
Mbona sio wengi mkuu. Kwa mbeya nayoijua
Dhalimu magu alichangia sana kuua hamasa ya siasa hapa nchini. Na itachukua muda mrefu sana hamasa ya siasa kurejea nchini. Subiri uone wakati wa uchaguzi kutakavyokuwa na wapiga kura chache, maana watu wamepuuza sana pia uchaguzi.
 
You do not know
 
Dhalimu magu alichangia sana kuua hamasa ya siasa hapa nchini. Na itachukua muda mrefu sana hamasa ya siasa kurejea nchini. Subiri uone wakati wa uchaguzi kutakavyokuwa na wapiga kura chache, maana watu wamepuuza sana pia uchaguzi.
Kweli kaka.. Hakuna anaejali
 
Unafaidika na nini? Mbeya inazo kata nyingi na mkutano huu ni mmojawapo kati ya itakayofanyika Mbeya, umezoea utumwa unaogopa kuwa huru.
πŸ˜‚πŸ˜‚ Hismastersvoice kweli hapo master Inaongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…