Pre GE2025 Maelfu wahudhuria mkutano wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbeya leo Julai 10, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alama za Nyakati ni taarifa za Maono ya Mambo yanayokuja, kuna kila dalili kwamba Joseph Mbilinyi anaandaliwa Jambo kubwa zaidi na Mungu

Huyu kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, ni Mwanasiasa ambaye hahitaji mambo mengi ili kufanikisha jambo lake, hana haja ya Matarumbeta, Mang'oma au Ipenenga (Wanyakyusa wananielewa), huyu ni jeshi la mtu mmoja.

Taarifa Mpya zinasema kwamba, NDIYE MWANASIASA ANAYEONGOZA KWA USHAWISHI MKOANI MBEYA, KWA MAANA YA MKOA MZIMA WA MBEYA.

Huu hapa ni Mkutano wake kwenye Stendi ya Kabwe Jijini Mbeya, Hakuna Mwanasiasa aliye hai leo Nchini Tanzania mwenye uwezo wa kujaza watu namna hii kwenye eneo hili, Na siyo kuwajaza tu bali kujaza watu wanaomsikiliza kwa dhati yote mpaka mwisho kabisa

View attachment 3038715View attachment 3038716View attachment 3038717
I like opposition parties, wanaoleta stability katika nchi Kwa namna ya kipekee lakini shida ya Chadema, it cannot be trusted after what happened in 2015 na baada ya mwenyekiti kutoka Gerezani. Mmekua kama Mocktail. We don't know what you stand for and as soon as CCM inasimama kuzungumza Chadema Kwa Sababu wanashindwa promote new members walio na fire 🔥 wanaishia kua kama wazee wenye siasa za mwaka 2,000, hawana sera zilizo na mashiko na ushawishi tuwape majimbo na nchi mlete maendeleo. Poleni sana
 
Unaifuatilia Chadema Kweli?
 
Tunakushukuru Moderator kwa Heading ya kidiplomasia
Ila pale padogo sana kwa mtu kama Sugu, hao maelfu hiyo hesabu sijui mmeipataje. Sana sana ni kutuletea kero watumiaji wa eneo hilo. Sugu si wa kwenda kubanana pale, sasa hivi Mbeya hakuna mvua, mngeenda pale Ruanda Nzovwe mkajiachie bila kuleta kero. Hilo eneo wananchi huwa hawapendi kuona wanasiasa wameligeuza kufanyia shughuli zao.
 
Mbona sio wengi mkuu. Kwa mbeya nayoijua
Dhalimu magu alichangia sana kuua hamasa ya siasa hapa nchini. Na itachukua muda mrefu sana hamasa ya siasa kurejea nchini. Subiri uone wakati wa uchaguzi kutakavyokuwa na wapiga kura chache, maana watu wamepuuza sana pia uchaguzi.
 
I like opposition parties, wanaoleta stability katika nchi Kwa namna ya kipekee lakini shida ya Chadema, it cannot be trusted after what happened in 2015 na baada ya mwenyekiti kutoka Gerezani. Mmekua kama Mocktail. We don't know what you stand for and as soon as CCM inasimama kuzungumza Chadema Kwa Sababu wanashindwa promote new members walio na fire 🔥 wanaishia kua kama wazee wenye siasa za mwaka 2,000, hawana sera zilizo na mashiko na ushawishi tuwape majimbo na nchi mlete maendeleo. Poleni sana
You do not know
 
Dhalimu magu alichangia sana kuua hamasa ya siasa hapa nchini. Na itachukua muda mrefu sana hamasa ya siasa kurejea nchini. Subiri uone wakati wa uchaguzi kutakavyokuwa na wapiga kura chache, maana watu wamepuuza sana pia uchaguzi.
Kweli kaka.. Hakuna anaejali
 
Back
Top Bottom