Leo mnaumia , Mlipokuja huku kwetu mkatuulia watu wetu 1964 na kuendelea mlifikiri ni sawa tu , yaani mkuki ni kwa wazanzibari tu kwa watanganyika ni mchungu ?? Wacha Karma iwatese na nyinyi sasaInaumiza sana! Hii siku ni ngumu sana kwa watanganyika..😥
Mimi sikuja huko kwenu usinihusishe tafadhali..Leo mnaumia , Mlipokuja huku kwetu mkatuulia watu wetu 1964 na kuendelea mlifikiri ni sawa tu , yaani mkuki ni kwa wazanzibari tu kwa watanganyika ni mchungu ?? Wacha Karma iwatese na nyinyi sasa
Mimi sikuja huko kwenu usinihusishe tafadhali..
Ushabiki wa kitooto huu. Then what!Hakika Maombolezo ya waliouawa kikatili octoba 29 2025, yametikisa kote duniani
Nchini Tanzania pamoja na vitisho vyote vya Jeshi la Polisi, maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kwenye nyumba za ibada bila uoga wowote, na kushiriki kikamilifu misa hiyo Takatifu
Tunamshukuru Mungu kwa Wema wake.
Jambo pekee lililoshangaza hata wageni ni kuona Bendera zote zikiwemo za Kibalozi zikipepea Nusu mlingoti huku ya Tanzania ikipepea mlingoti mzima (Aibu) kama vile waliouawa ni kutoka Taifa lingine
View attachment 3700889View attachment 3700892View attachment 3700893View attachment 3700894View attachment 3700895View attachment 3700896View attachment 3700898
MWENYEZI MUNGU AZIPOKEE ROHO ZA WOTE WALIOUAWA KIKATILI NA WALE WALIOZIKWA KWENYE KABURI LA JUMUIYA KUNDUCHI KWA KONDO, AMINA
Sema tunaichukulia poa. Ila siku ngumu sanaInaumiza sana! Hii siku ni ngumu sana kwa watanganyika..😥
Kwahiyo kumbe ni visasi?Leo mnaumia , Mlipokuja huku kwetu mkatuulia watu wetu 1964 na kuendelea mlifikiri ni sawa tu , yaani mkuki ni kwa wazanzibari tu kwa watanganyika ni mchungu ?? Wacha Karma iwatese na nyinyi sasa
They dont care na ndio wahusika na wanatamani watu wasahau lakini wapi..bendera za CCM haziko nusu mlingoti.
Si visasi ni Karma inawagonga, siku zote usimfanyie ubaya mwenzako kwani utakurejea mwenyeweKwahiyo kumbe ni visasi?
Tunakutakia kila la heriSi visasi ni Karma inawagonga
Shetani hajawahi kumshinda MunguNilidhani misa haitafanyika ni mikwara tu, kuzuia ibada za watu ni ngumu sana
Tunakutakia kila la heri
wote lao mojaDah na mashetani wako siti ya mbele kabisa kanisani, sijui wanapanga kumkamata askofu au wanaombeleza kufiwa na ndugu na jamaa pia.
Mimi wakati narudi home asbh nikaona hao maaskari wamezagaa sana kwenye round abouts, wana mitutu wanageuka huku na kule, halafu raia wachache, nikaikumbuka ile siku aki nimedondosha chozi! Kama uko timamu na una moyo wa kibinadamu, hii hali haifurahishi hata kidogo 😪Sema tunaichukulia poa. Ila siku ngumu sana
vipi kuhusu kukinukisha?
chekaaaa kwa nguvu kabisa maana ni wakati wako huu kucheka. ipo siku na sisi tyunaoomboleza leo tutachekaaaaa tunacheka mpaka tutagalagala chini . sasa tumia wakati wako huu vizuri kuchekaSawa. Na kama walihudhuria kwa wingi kwanini kutumia picha feki? Ahahahahaha!!
Kimoyo moyo wanaumia , wengine wamepoteza wapendwa wao.Wamekuja kulinda amani.