PostGE2025 Maelfu Wajitokeza kwenye Misa ya Maombolezo wakiwemo Polisi, Bendera zote zapepea Nusu Mlingoti kasoro Bendera ya Tanzania Pekee

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
chekaaaa kwa nguvu kabisa maana ni wakati wako huu kucheka. ipo siku na sisi tyunaoomboleza leo tutachekaaaaa tunacheka mpaka tutagalagala chini . sasa tumia wakati wako huu vizuri kucheka
Duniani kote usipotii sheria bila shuruti, unaomboleza na wa kwako tu!
 

Roho za marehemu wahanga wa 20th October 2025, na roho za marehemu wote, wapate rehema kwa Mungu, na wapumzike kwa amani. Amen
 
Leo mnaumia , Mlipokuja huku kwetu mkatuulia watu wetu 1964 na kuendelea mlifikiri ni sawa tu , yaani mkuki ni kwa wazanzibari tu kwa watanganyika ni mchungu ?? Wacha Karma iwatese na nyinyi sasa
Kumbe ni wazanzibar mlikuwa mnalipa kisasi?
Samia shetani kwelikweli.
 
Zanzibar ina ngawila gani? Tuwe serious wakati mwingine. kama mngekuwa na best options or alternatives, mngezingua sana. Kwa sasa mkojaribu mtakufa njaa

Ya nini vitisho , maneno hayo tumeyasikia sana huko nyuma lakini cha ajabu kila uchaguzi mnajaza majeshi na usalama wa Taifa wa Tanganyika na mnatuulia na kuwanajisi ndugu zetu na kuiba , yote mnapigania kumweka kibaraka wenu
 
Kumbe ni wazanzibar mlikuwa mnalipa kisasi?
Samia shetani kwelikweli.

Samia hajauwa mtu ?? Yaani mwanamke kutoka nchi jirani aingie Tanganyika auwe watu ?? hao askari wenu wamelala ??au wamelewa unga wa kokaini ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…