PostGE2025 Maelfu Wajitokeza kwenye Misa ya Maombolezo wakiwemo Polisi, Bendera zote zapepea Nusu Mlingoti kasoro Bendera ya Tanzania Pekee

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wewe ulikuwepo?

Kumbe ni mauaji ya kulipiza kisasi?

Unasema wewe kisasi , mimi nimewaambia ukitenda wema , wema wako utakurudia mwenyewe , na ukitenda ubaya, ubaya wako utakurudia mwenyewe. Mlikuja Zanzibar toka 1964 mkauwa watu na mkaendelea kuuwa watu kila wakati wa uchaguzi . Huo ubaya mlioufanya umewarudia wenyewe , hiyo inaitwa Karma
 
Akiondoka tu, maombolezo ya kitaifa yataanza na yataendelea hadi mwisho wa dunia. Bendera nazo zitakuwa huru kushushwa nusu mlingoti.
 
Unamaanisha bendera zote zimepepea nusu mlingoti ikiwamo ya CCM, kasoro ya Taifa pekee?
 
Unamaanisha bendera zote zimepepea nusu mlingoti ikiwamo ya CCM, kasoro ya Taifa pekee?
Kwa hivyo hao waliouliwa watafufuka ?? Au serikali ya CCM itaweka uchaguzi huru na wa haki ??
 
Porojo zingine bana dah,

kumbe ilikua ni sikukuu ya UWAKA leo ?🐒
 
Tatizo ni kwamba wanaokumbukwa ni wale tu waliodhurika na kifo...

Lakini hadi sasa hakuna anayesema wameuawa na nani na kivipi 🤔...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…