Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Video: Angalia chadema walivyosepa na Kijiji huko Rombo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kitabu acha tu kimenitesa sana
Noma Sana mkuuhiki
kitabu acha tu kimenitesa sana
kaptula la maksi kidogo nipate suppNoma Sana mkuu
Mbona tuliambiwa chadema ipo twitter pekee
Hao ni waongo hizo ni propagandaMbona tuliambiwa chadema ipo twitter pekee
Huwa wanajaribu kuwa Hadaa wananchi ili wakate tamaa kwa sasa nchi nzima karibu kote chadema ina mizizi bado kama sikonge na maeneo ya lupa na tingatingaMbona tuliambiwa chadema ipo twitter pekee
SawaKuna maeneo CDM wanapiga mikutano mbogamboga hawawezi kukusanya hata watu 50