Pre GE2025 Maelfu wajitokeza mikutano ya CHADEMA Rombo

Pre GE2025 Maelfu wajitokeza mikutano ya CHADEMA Rombo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe naambiwa kaenda kupumzika kule snow cape rongai, kwa hiyo kesho mapema anasepa mapema kuendelea na majukumu yake ya kichama. Long live MBOWE.
 
Watu wana mwamko sana. Kinachotakiwa ni hawa wanasiasa mbadala kuishi wanayoyahubiri ili wawe kioo cha wanajamii na wajenge kuaminika. Nchi inahitaji mabadiliko kwa maana ya kwamba sera zilizopo hazijatusaidia sana kukabiliana na changamoto za kugatua maendeleo yetu.
 
Screenshot_2024-07-10-20-44-07-1.png
Screenshot_2024-07-10-20-44-07-1.png
Screenshot_2024-07-10-20-43-57-1.png
 
Kuna maeneo CDM wanapiga mikutano mbogamboga hawawezi kukusanya hata watu 50
 
Back
Top Bottom