Watu wanapenda kusema eti sio sawa kufanya comparison kati ya uongozi wa chama na uongozi wa Nchi. However, main principle ni ile ile. Lazima kuwe na term limit. Tofauti na hapo ni “udikiteta tu”. Kusema kwamba eti mtu flani aendelee kugombea tu kwa kuwa katiba inamruhusu (hakuna term limit) ni hoja dhaifu na inaweza kuwa dharau kwa wanachama wengine
Vyama hivi vingine vinakwama sana. Lipumba, Cheyo, Mrema et al ni Wenyeviti wa vyama tangu mid 90’s. Sasa hivi ni vyama vya siasa au personal properties?