Maelfu wamchangia Mbowe katika kampeni ya #MwambaTuvushe ya kumrejesha madarakani CHADEMA

Maelfu wamchangia Mbowe katika kampeni ya #MwambaTuvushe ya kumrejesha madarakani CHADEMA

Hapa ndio tunakosea kusema ndani ya chadema hakuna zaidi ya mbowe acha alazimishe sasa chama kije kimfie mimi nashauri angepumzika.

Wakifanya ivyo CCM itaonekana kama vile ni siasa ila wakifanya chadema inaonekana nisawa chama mbadala lazima kionyeshe utofauti!
Wakumbuke bwana mbowe ana kesi ya kujibu
 
Wewe ni mwanaCCM mwenye akili sana
Mimi ni baadhi yawale wachache wenye akili ccm ,sio wenye vyeti Bali narudia wachache wenye akili sio yadarasani ndani yaccm...Kwani pamoja tulimfilisi billion 6 kule arusha kwakuharibu miundombinu shambani namimea,akahamia Moro tukaharibu bilion 6 nyingine alizowekeza tena kwenye kilimo chambogamboga...Yeye yupo tu na imara hatujui anawaza nn...pamoja nayotehayo anadunda sijuagi anatuzidigi sehemu gani.mbowe mungu akubariki
 
Kampeni hii iende mpaka mikoani sababu nako watu wenye afya njema ya akili wanamuhitaji sana Mh.Mbowe
 
Mbowe akiondoka chama kimekufa, akibaki chama kinakufa. Upinzani wana wakati mgumu sana kwa sababu wao ndio walishiriki inasemekana kwa kifo cha Wangwe, vile vile inasemekana TL ni wao walipanga. Kuna mengine pia wanasemekana walipanga na kula njama. Sitashangaa hata gawio la millioni 320 kila mwezi ambalo Mbowe et al wanatumia kama pesa za familia. Chadema = Mbowe family empire.
Naiona dhamira yako ikikusuta kwa hiki ulichosema, sijui ni kwa nini. Je, umeyasema haya toka moyoni au umesema tu ili kuonyesha kwamba wewe ni agent wa adui wa haki?
 
Wamelipwa hao hakuna kitu kama hiyo na mbowe ajiangalie chama kinamfia mikononi mwake ashauriwe tu kustaafu kwa heshima
Kwani kikifa wewe utapungukiwa na nini? Hata hivyo kwani wewe unapenda kisife?
 
Kuna watu humu, siku Magufuli akijaribu kubadili katiba atawale milele sijui watajificha wapi na huu unafiki.
 
2019 Imeisha

-Soko la Korosho limeharibiwa -Ajira Sekta rasmi na sekta binafsi zimeshuka

-Hali ngumu ya Maisha Maradufu

-Uchaguzi Serikali za Mitaa Umeharibiwa

-Kuna Hatari kutokea Janga la Njaa Kanda ya Kati

-Katiba Inavunjwa na kubakwa Mchana wa Jua Kali

Hiyo ndiyo 2019
Huyo jamaa anajiita Kawe Alumni kama ningekuwa Melo ningekuwa nikishampiga ban siku nyingi yani...
 
Hii ni kauli ya wapambe wengi wa viongozi wanaong'ang'ania madaraka. Huwa wanaweka mazingira kuwa ni wao tu wenye uwezo wa kuongoza na wakiondoka basi jambo baya litatokea. Hivi mnafikiri timu zinapobadilisha makocha mara inapotokea yule aliyepo anafanya vibaya (hata kama siku za nyuma alishaleta makombe mengi) ni wajinga?
Kwa hiyo Spurs,Yanga,Chelsea unafananisha na Chama cha siasa!!!???
Kweli kuna binadamu na viumbe hai wenye sura ya binadamu.
 
Kwa Mbowe kung'ng'ania uwenyekiti wa Chadema Taifa kunamnyima yeye binafsi, chama chake na wafuasi wake uhalali wa kutetea demokrasia ya kuachia madaraka iwapo itatokea kiongozi wa nchi ataamua kubadili Katiba ili ang'ang'anie madaraka.
 
Huyo jamaa anajiita Kawe Alumni kama ningekuwa Melo ningekuwa nikishampiga ban siku nyingi yani...
Mkuu tunapozungumzia freedom of expression ni pamoja kukubali uwepo wa watu aina ya Kawe Alumni
 
Kwa hiyo Spurs,Yanga,Chelsea unafananisha na Chama cha siasa!!!???
Kweli kuna binadamu na viumbe hai wenye sura ya binadamu.
Kwa mtu kama wewe huwezi kuona mantiki ya ufananisho huo. Hasa kama umesoma hizi elimu za kwetu za ''kukariri''! Hivyo sina la zaidi bali kukupa pole.
 
Mjasiliamali mbowe kama namuona anapotizama vijana wake wakimpigania. Ila mzee baba magu atawanyoosha na myaufyata tu.
 
Miaka 15/20 bado anataka kuchukua fomu.. Hakika maajabu hayaishi Tanzania😳😳😳
 
Ngoja tumteke kwa muda,nyie vijana hamuwezi leta usumbufu kwa viongozi wanaohitaji kupumzika.
 
Back
Top Bottom