mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,714
Wanaumbuana mchana kweupeNyie mbona mlizipiga zile za ESCROW na EPA Mchana kweupe. Kwani hujamsikia Mkapa?
Wanaumbuana mchana kweupeNyie mbona mlizipiga zile za ESCROW na EPA Mchana kweupe. Kwani hujamsikia Mkapa?
Umenena vema mkuuCDM wakitaka kufanya kosa wamuondoe Mbowe. CDM imekwisha if they take that course. Msigwa can do, Lisu also, Prof Safari....
Aliapa kufa akipigania demokrasiaNi jambo jema, lakini huyu ndugu ameumizwa sana na utawala kisa tu ni hicho cheo. Natamani angepumzika kupisha mwingine lakini huyu aliyetangaza nia nahisi harufu ya kijani. Hakuna jinsi, SISIEM waendelee kulala na viatu sharti Mbowe awe mwenyekiti, tena napendekeza hadi hapo atakapoona hawezi hata kutembea.
Mtahaha sanaNaona kibaraka wa Mugabe Mbowe uko kazini!
Mimi huwa najiuliza hivi Mbowe akifa Chadema nayo ndio basi tena?
Ndiyo wamemchangia.Si hela yao? Wewe chakuuma nini?Kweli mwenye nacho huongezwa, huyu jamaa kapiga zaidi ya Billion 2 kutoka akaunti ya chama, lakin bado kuna baadhi ya vijana wenye mtindio wa ubongo wanataka kumchangia zingine tena du! Kua uyaone!
Amina mtumishi wa MunguHata mimi niko tayar! Mbowe amenifunza mengi sana kwenye maisha kupitia ukomavu wake kwenye siasa. ANASTAHILI HESHIMA KUBWA SANA,URAIS,UBUNGE WALA UWENYEKITI HAVIMTOSHI KUMPA HESHIMA ANAYOSTAHILI. MBOWE UNASTAHILI HESHIMA TUU MBINGU NA ARDHI VINAFAHAMU HILI HUJAVIKANYAGA BURE.
Wewe wasemaHao vijana hawafai kupewa nchi, wao na chama chao
Umma umeamua kusimama nayeWatu Wana hofu na Mbowe... Mbona vyeo Ni majukumu mazito? Au Mbowe Ni kikwazo kwa wapinzani wake?...
Asee mambo makubwa haya2019 Imeisha
-Soko la Korosho limeharibiwa -Ajira Sekta rasmi na sekta binafsi zimeshuka
-Hali ngumu ya Maisha Maradufu
-Uchaguzi Serikali za Mitaa Umeharibiwa
-Kuna Hatari kutokea Janga la Njaa Kanda ya Kati
-Katiba Inavunjwa na kubakwa Mchana wa Jua Kali
Hiyo ndiyo 2019
Yeah, kabanwa kotekote, akibaki chama kinamfia mikononi mwake na itakuwa aibu kubwa, na akiondoka chama kinakufa tu coz ataondoa hisa zake zote ktk acc. ya chama, pesa ambazo zilisaidia sana kukijenga chama.Mbowe akiondoka chama kimekufa, akibaki chama kinakufa. Upinzani wana wakati mgumu sana kwa sababu wao ndio walishiriki inasemekana kwa kifo cha Wangwe, vile vile inasemekana TL ni wao walipanga. Kuna mengine pia wanasemekana walipanga na kula njama. Sitashangaa hata gawio la millioni 320 kila mwezi ambalo Mbowe et al wanatumia kama pesa za familia. Chadema = Mbowe family empire.
Porojo zenu watu washazichoka wala haziwasumbui tena.Tungeni kitu kipyaMbowe akiondoka chama kimekufa, akibaki chama kinakufa. Upinzani wana wakati mgumu sana kwa sababu wao ndio walishiriki inasemekana kwa kifo cha Wangwe, vile vile inasemekana TL ni wao walipanga. Kuna mengine pia wanasemekana walipanga na kula njama. Sitashangaa hata gawio la millioni 320 kila mwezi ambalo Mbowe et al wanatumia kama pesa za familia. Chadema = Mbowe family empire.
Wewe ni mwanaCCM mwenye akili sanaMimi ni ccm ila mbowe natamani agombee tena uenyekiti chadema.
Sasa kwan nani kasema, sababu mnakumbatia udikteta, mtaleta madhara nyinyi.Wewe wasema
Kiukweli.....Upinzani bado unamuhitaji sana Mbowe....ila this time apunguze upole na siasa za matukio