Maelfu wamchangia Mbowe katika kampeni ya #MwambaTuvushe ya kumrejesha madarakani CHADEMA

Maelfu wamchangia Mbowe katika kampeni ya #MwambaTuvushe ya kumrejesha madarakani CHADEMA

Jamani mbona mnatutenga wa mikoani kwenye hiyo kampeni tamu hebu sio kwa wizi tuwekeeni na sisi mfumo wa kuchangia hata kwa mitandao kuonyesha umoja kama tulivyoshirikiana kwa Lissu. Yaani kama kuna kosa kubwa tutalifanya ni kumwacha Mbowe mi namwita komando na sio kamanda wa kawaida na ssm watafurahi sana kama ataachwa na kuna mpango wa kumweka kibaraka kwa ghalama yoyote kati ya wataochukua fomu uongozi wa juu muwapime imani kwanza kwa jicho la rohoni.Dodoma pia tunamtaka.
 
Kweli mwenye nacho huongezwa, huyu jamaa kapiga zaidi ya Billion 2 kutoka akaunti ya chama, lakin bado kuna baadhi ya vijana wenye mtindio wa ubongo wanataka kumchangia zingine tena du! Kua uyaone!
Mbona we unamshangilia mpigaji wa zaidi ya bil. 1500 unashaa 2 tu kweli nyani haoni kundule
 
Hii itaakuwa njia sahihi sana. Kipindi hiki Mbowe ni muhimu kuliko muda wowote. Chadema msifanye kosa hili. Achana na mambo ya kubadirisha uongozi wajuu. Hili litaziba mianya ya CCM kupenyeza mamluki. Mkilogwa mkabadiri uongozi mmekwisha. Lazima kuangalia mazingira ya kisiasa tuliyo nayo.

Mtu anaapa kuua upinzani na ana vyombo vya kuuua, lazima kutafakari kabla ya kufanya lolote. Ingelijuwa wakati wa Kikwete, ingelifaa kubadirisha, LAKINI HATA HIVYO ISINGELIKUWA BUSARA KUSAHAU KITU KINAITWA INSTITUTIONAL MEMORY.
MBOWE ANAHITAJIKA KULIKO MUDA WOWOTE.
 
Mie mwenyewe nna waswasi km atakayekuja kama atakuwa mwanaume kamilifu!afu yanayotaka uchaguz ni majirani!😏!
 
Chadema wabadili katiba itamke kuwa nasafi ya mwenyekiti haina ukomo ,wawe kama CUF tu

Wanakataa jpm kuongezewa muda licha ya kazi kubwa anayofanya wanamwongezea muda mwizi wa ruzuku

State agent
 
Mbona we unamshangilia mpigaji wa zaidi ya bil. 1500 unashaa 2 tu kweli nyani haoni kundule
Hujui chochote kuhusu hiyo 1.5 t. , ni bora ungenyamaza tuongelee hizo za mbowe ambazo zimeleta mgogoro kwenye chama.
 
Ipumbaaaaaaafuuuuui
Ni sawa na kusema 2025 tulale Ikulu JP Aendeleee kuongoza

Uzwazwaaaaa
 
Hii habari ni hatari kwa afya ya vijana na wenye chama cha mapinduzi
Hii itaakuwa njia sahihi sana. Kipindi hiki Mbowe ni muhimu kuliko muda wowote. Chadema msifanye kosa hili. Achana na mambo ya kubadirisha uongozi wajuu. Hili litaziba mianya ya CCM kupenyeza mamluki. Mkilogwa mkabadiri uongozi mmekwisha. Lazima kuangalia mazingira ya kisiasa tuliyo nayo.

Mtu anaapa kuua upinzani na ana vyombo vya kuuua, lazima kutafakari kabla ya kufanya lolote. Ingelijuwa wakati wa Kikwete, ingelifaa kubadirisha, LAKINI HATA HIVYO ISINGELIKUWA BUSARA KUSAHAU KITU KINAITWA INSTITUTIONAL MEMORY.
MBOWE ANAHITAJIKA KULIKO MUDA WOWOTE.
 
Hujui chochote kuhusu hiyo 1.5 t. , ni bora ungenyamaza tuongelee hizo za mbowe ambazo zimeleta mgogoro kwenye chama.
Mi sijui ndio nimesema hivyo haya we unajua chochote lata ufafanuzi zilienda wapi? Ili tuanze kujadili za Mbowe. Maana nahic kama unajifanya hujui kama zilisababisha mgogoro mkibwa hapa nchini. By the way tunaotakiwa kujadili no sisi wanachama halali na sio we usiejua kitu kuhusu chama. Mi nazisemea 1.5 tr. Kwakuwa no za wote mbona sijahoji zole bil. 3... Za ccm kwenye report ya GAG mwadilifu.
 
Back
Top Bottom