digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Vijana 10000 wa CHADEMA hadi sasa wameshasaini muswada wa kuunga mkono pamoja na kuchanga fedha kwa ajili ya kumchukulia fomu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Freeman Mbowe ili kumshawishi aweze kutetea nafasi yake kwa miaka mingine mitano, mratibu wa zoezi hilo Naftari amesema.
_
Vijana wa CHADEMA wamesema wameamua kumchukulia fomu ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA, Mbowe kama ishara ya kumtia moyo na kutambua mchango wake katika Chama hicho na kwamba wamezunguka Nchi nzima kuchangishana fedha kwa ajili ya fomu ambayo watampelekea nyumbani kwake Nov 24 .
_
Mbowe anachukuliwa fomu wakati akiwa amelazwa Hospitali ambapo bado hakuna taarifa rasmi kama ametoka ama laah!
My take : huyu jamaaa anauchu wa madaraka sana,kwa nini asishughulikie afya yake kwanza