Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kama ambavyo Tanzania bado itamhitaji JPM kwa miaka angalau 20 ijayoKiukweli Upinzani bado unamuhitaji sana Mbowe ila this time apunguze upole na siasa za matukio.
Wakuwadanganya nani?Hivi makamanda ndio mnadanganyika kirahisi hivi?
Hata miaka 100 ijayo hiyo haiwahusu CDM.Kinachowahusu ni Mwenyekiti waoKama ambavyo Tanzania bado itamhitaji JPM kwa miaka angalau 20 ijayo
Huu ni ubabe umetumika
Mbowe apunguze udkteta
Kwanini achangishe Wakati yeye ni bilionea?
Diktekta Mbowe katika ubora wake
Lini Mbowe alisha wahi kukataa kugombea uenyekiti.
Kama kweli hataki basi awafukuze hapo kwake aite polisi waondolewe.
Mimi mwenyewe nilipenda mbowe aachie kiti lakini nilipoangalia kwa undani na kuchanganua baadhi ya vitu zaidi mbowe anatumia akili sana kwenye uongozi tena kwenye awamu hii ya magufuli ndo maana hata Leo hali hipo hivi bila mbowe kutumia busara damu ingemwagika nyingi sana mbowe aendelee kwa mustakabali wa nchiKiukweli Upinzani bado unamuhitaji sana Mbowe ila this time apunguze upole na siasa za matukio.
Kwamba ataishi milele au?Roho ya shetani hiyo, kwa nini umuwazie mwenzio kifo?
Sote tunatambua kifo kipo, lakini hiyo haihalalishi wewe uanze kumtakia mwenzio afe. Acha kifo chenyewe kije siyo kukiomba kija. kama unapenda sana kufa basi jitakie kifo wewe mwenyewe.Kwamba ataishi milele au?
Hiyo siyo hoja. Hata kama hilo dubu lenu litakaa miaka zaidi ya 100 hiyo sisi haituhusu na wala huyo sisi hatuhusu. Sisi anayetuhusu ni Mbowe, basi!Kama ambavyo Tanzania bado itamhitaji JPM kwa miaka angalau 20 ijayo
ungesema LUMUMBA ndio wanamuomba MEKO abakie ndo ungesomekaKama ambavyo Tanzania bado itamhitaji JPM kwa miaka angalau 20 ijayo
Ita jina lolote upendalo....CDM hawatishikiHongera sana Mh Mfalme Mbowe, hatimae ndoto yangu imetimia![]()
Uchaguzi ujao wa Mwenyekiti CHADEMA, Mbowe atakuja na sarakasi ipi?
Habari ndugu wanajamvi, Nchi yetu ni miongoni mwa nchi kadhaa duniani zinazoongozwa kwa misingi ya kidemokrasia. Vyama vyote vya siasa vinafanya chaguzi za kidemokrasia ili kuwapata viongozi wao wa ngazi mbalimbali. Lakini bado kuna malalamiko kwa baadhi ya watu wakidai kwamba baadhi ya...www.jamiiforums.com
Barikiwa mpambanajiSote tunatambua kifo kipo, lakini hiyo haihalalishi wewe uanze kumtakia mwenzio afe. Acha kifo chenyewe kije siyo kukiomba kija. kama unapenda sana kufa basi jitakie kifo wewe mwenyewe.
Tukana upendavyo ukichoka utanyamazaUpumbavu mtupu wa kidikteta
Ndiyo ujue mapenzi ya watu kwa mtu waovijana elf kumi? wanazunguka nchi nzima kuchangisha milioni moja ya form ya mtu bilionare? duh? nisitie neno tena.