Maelfu wamchangia Mbowe katika kampeni ya #MwambaTuvushe ya kumrejesha madarakani CHADEMA

Mkuu kiongozi akishakaa zaidi ya miaka 15 kwenye taasisi zetu huku Afrika, ni nadra sana kupita tena kwenye uchaguzi kwa haki. Sisemi hakutakuwa na haki kwenye uchaguzi, lakini sitegemei hiyo haki kwenye huo uchaguzi, hasa kutokana na uzoefu wangu kwa viongozi wa muda mrefu hivyo.

Bado nasisitiza hata akishinda kwa haki kama itakuwepo, miaka 15 inatosha sana kwa mtu kukaa madarakani. Hata akishinda kwa haki sioni akiwa na wazo au hamasa mpya zaidi ya alizokuwa nazo huko nyuma. Kitendo tu cha kumpokea Lowassa, na kumpa nafasi adhimu ya kugombea urais dakika za mwisho bila maandalizi sahihi na sasa karejea ccm, ile peke yake ilipaswa kwa kiongozi makini kustep down.
Maamzi ya kumpokea na kumptisha Lowassa yalikuwa sahihi sana kwa wakati ule. Utakumbuka ndo maana utakumbuka Lubuva aliazimika kututangazia huyu tuliyenaye kwa bao la mkono. Kumbuka kilicho wapata ma- IT wa CHADEMA waliokuwa wanakusanya matokeo ya kura halisi katika vituo vitatu kitu gani kiliwapata, Kesi ya kubambizwa inawahusu mahakamani mpaka leo hii. Kumbuka ma- IT was kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu waliokuwa wanakusanya matokeo halisi ya kura Computer ziliporwa. Na kule Zanzibar kwa kuwa kulikuwa na Tume Huru ilimlazimu Jecha kufuta uchaguzi kwa mtutu wa bunduki. Kama uchaguzi 2015 ungekuwa wa haki tungeshuhudia mfumo wa utawala unabadirika bara na visiwani. Lakini Dora na tume vilipindisha maamzi ya wapigakura.
Kuhusu Lowassa hata Mimi sikumpenda, lakini kama Sanduku la kura lingeheshimiwa alifanikiwa kututoa kwenye makucha ya Shetani. Kurudi kwa Lowassa CCM ni hofu ya kudhurika iliyomkabili. Hata Mimi na wewe tuna hofu ndo maana tumejificha Jamiiforums na ID fake tukimwachia Max Mero ateswe na kuhangaishwa na Dora ili kutupa Uhuru sisi kusema ukweli.
 
Nimegundua kuwa Chadema inahitaji sana kufanya mabadiliko ya timu yao ili kubadili mchezo na wao kucheza kama Uruguay ili kwendana na mchezo wa faulu wachezao wapinzani wao na kuachana na mchezo wa kizenji wa "KUFUNGWA TWAFUNGWA LAKINI CHENGA TWAWALA".
Lakini wanao endelea kusababisha Mbowe awe madarakani ni CCM ingawa hawamtaki. Mbowe ndiye mpaka sasa Chadema ina uhakika naye kwa 100% kuwa hawezi kuhongeka kabisa. Kama amekubali maumivu aliyopata na kuharibiwa mambo ya kiuchumi binafsi na hakuyumba nini tena wanaweza juu yake? Na ikumbukwe katika mapambano hasa yanapo fikia kuwa makali, historia inatuonyesha kuwa kubadili kamanda mkuu kwa kujaribu jaribu ni hatari sana. Hapo mwaweza kuingiziwa MAMLUKI mkaishia kujuta tuu.
Imagine mtu kama Lowassa angepewa uenyekiti halafu kabanwa kidogo kaondoka jee Chama kingekuwa sii kimesambaratika?
TLP mwenyekiti kageuka kuwa puppet na chama kimesambaratika.
Viongozi aina ya Mbowe hawapatikani kwa kubahatisha, na chuki za CCM kwake ndio zinawapa wanachama imani naye zaidi. Kipindi hiki cha Magufuli anayeendesha siasa kwa hila na vitisho ndicho kipindi cha kumlinda na kum support Mbowe kwa nguvu. Wapo wengi, lakini nao tuwajenge wawe imara zaidi kama substitutes
 
Ninamkubali Mbowe kwa 100% lakini upumzike na apishe mawazo mapya, upole na misukosuko aliyopitia amekuwa mwoga.
Naomba tumpate kichaa mpya
Kiukweli Upinzani bado unamuhitaji sana Mbowe ila this time apunguze upole na siasa za matukio.
 
Maamzi ya kumpokea na kumptisha Lowassa yalikuwa sahihi sana kwa wakati ule. Utakumbuka ndo maana utakumbuka Lubuva aliazimika kututangazia huyu tuliyenaye kwa bao la mkono. Kumbuka kilicho wapata ma- IT wa CHADEMA waliokuwa wanakusanya matokeo ya kura halisi katika vituo vitatu kitu gani kiliwapata, Kesi ya kubambizwa inawahusu mahakamani mpaka leo hii. Kumbuka ma- IT was kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu waliokuwa wanakusanya matokeo halisi ya kura Computer ziliporwa. Na kule Zanzibar kwa kuwa kulikuwa na Tume Huru ilimlazimu Jecha kufuta uchaguzi kwa mtutu wa bunduki. Kama uchaguzi 2015 ungekuwa wa haki tungeshuhudia mfumo wa utawala unabadirika bara na visiwani. Lakini Dora na tume vilipindisha maamzi ya wapigakura.
Kuhusu Lowassa hata Mimi sikumpenda, lakini kama Sanduku la kura lingeheshimiwa alifanikiwa kututoa kwenye makucha ya Shetani. Kurudi kwa Lowassa CCM ni hofu ya kudhurika iliyomkabili. Hata Mimi na wewe tuna hofu ndo maana tumejificha Jamiiforums na ID fake tukimwachia Max Mero ateswe na kuhangaishwa na Dora ili kutupa Uhuru sisi kusema ukweli.

Sijaelewa una mana gani kwa jibu lako in relation to sera za Demokrasia na Maendeleo. Unapigania madaraka au sera na watu wanaoamini katika sera. For you the end justifies the means. Basi hujui hata unachotakana Sasa utamwongozaje mtu Ukiwa wewe Ni Kipofu.
 
Na wananchi wakimhitaji MAGUFULI kwa kufungua kesi mahakamani kuzuia ukomo wa urais msijepiga kelele,maana sasa kinachoonekana si utiiwa katiba zenu wenyewe,Ni kuzibadili badili tu ili tunaowataka waendelee kuwepo madarakani...

Kwa hiyo wale wanaotaka rais MAGUFULI abakie madarakani kwa kuamini kuwa ndiye bora kuliko wengine wote tusiwaone kuwa wanatumika,ni mapenzi yao kwa rais wao...
 
Maamzi ya kumpokea na kumptisha Lowassa yalikuwa sahihi sana kwa wakati ule. Utakumbuka ndo maana utakumbuka Lubuva aliazimika kututangazia huyu tuliyenaye kwa bao la mkono. Kumbuka kilicho wapata ma- IT wa CHADEMA waliokuwa wanakusanya matokeo ya kura halisi katika vituo vitatu kitu gani kiliwapata, Kesi ya kubambizwa inawahusu mahakamani mpaka leo hii. Kumbuka ma- IT was kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu waliokuwa wanakusanya matokeo halisi ya kura Computer ziliporwa. Na kule Zanzibar kwa kuwa kulikuwa na Tume Huru ilimlazimu Jecha kufuta uchaguzi kwa mtutu wa bunduki. Kama uchaguzi 2015 ungekuwa wa haki tungeshuhudia mfumo wa utawala unabadirika bara na visiwani. Lakini Dora na tume vilipindisha maamzi ya wapigakura.
Kuhusu Lowassa hata Mimi sikumpenda, lakini kama Sanduku la kura lingeheshimiwa alifanikiwa kututoa kwenye makucha ya Shetani. Kurudi kwa Lowassa CCM ni hofu ya kudhurika iliyomkabili. Hata Mimi na wewe tuna hofu ndo maana tumejificha Jamiiforums na ID fake tukimwachia Max Mero ateswe na kuhangaishwa na Dora ili kutupa Uhuru sisi kusema ukweli.
Ubarikiwe Kiongozi
 
Hayo yanawahusu nyie.Sisi haituhusu kabisa
 
Mkuu huenda unadhani nimesema kumchukua Lowassa ni kosa nimesema kwa bahati mbaya. Lengo la cdm ilikuwa ni kuupata urais tu bila kujali hata imani ya huyo anayepewa nafasi? Ni kweli Lowassa alikuwa na falsafa za cdm? Je Lowassa angekuwa madarakani leo kungekuwa na tofauti yoyote ya ccm kuwa madarakani? Unaamini kabisa Lowassa angekuwa madarakani angewatumia wanacdm kuongoza nchi, au angewaleta wafuasi wake toka ccm na kuwapa madaraka? Cdm tuliyokuwa tunaiamini na kuipigania ilikuwa ni ya kutupatia kiongozi tena toka ccm ndani ya miezi miwili? Ww toka umemjua Lowassa ni lini uliwahi kumuona akijenga hoja za kisiasa zaidi ya kukaa kimtandao yeye na kundi lake na wapambe kummwagia sifa tu?

Kitendo cha cdm kuchukua kiongozi kwa mwendo kasi tena mwenye mawaa lile lilikuwa kosa la kiufundi, bila kujali angekuwa rais ama la. Sawa tuchukulie yeye kaamua kurudi ccm kwa ajili ya hofu, huoni kama huyo ni mbinafsi? Mbona akina Lissu nk hawarudi ccm, au wao hawana hofu ya maisha?

Tuwe wakweli tu, Mbowe kwa kosa lile na cabinet yake walipaswa kujiuzulu, kama kujiuzulu ni ngumu kwetu, basi huu ndio ulikuwa muda sahihi wa kukaa pembeni kwenye unyekiti kama sehemu ya samahani ya kosa lile. Halafu mabadiliko ya uongozi wa sura, hata huyo Magufuli ni badiliko la sura, lakini hata hiyo katiba tusingeeipata kama Lowassa angekuwa rais maana Lowassa hakuwa muumini wa katiba mpya.
 
Kosa lile waliohusika kumpokea yule mzee watalijutia maisha yao yote na walipaswa kujiuzulu kwa kutupa falsafa na itikadi ya chama kwa kumpokea Mzee Lowassa ambaye hata hoja za msingi za yeye kuwa rais hakuwa nazo.

Hata mimi niko tayar! Mbowe amenifunza mengi sana kwenye maisha kupitia ukomavu wake kwenye siasa. ANASTAHILI HESHIMA KUBWA SANA,URAIS,UBUNGE WALA UWENYEKITI HAVIMTOSHI KUMPA HESHIMA ANAYOSTAHILI. MBOWE UNASTAHILI HESHIMA TUU MBINGU NA ARDHI VINAFAHAMU HILI HUJAVIKANYAGA BURE.
Naunga mkono hoja
 
Kosa lile waliohusika kumpokea yule mzee watalijutia maisha yao yote na walipaswa kujiuzulu kwa kutupa falsafa na itikadi ya chama kwa kumpokea Mzee Lowassa ambaye hata hoja za msingi za yeye kuwa rais hakuwa nazo.
Huelewi Political calculations
 
Kosa lile waliohusika kumpokea yule mzee watalijutia maisha yao yote na walipaswa kujiuzulu kwa kutupa falsafa na itikadi ya chama kwa kumpokea Mzee Lowassa ambaye hata hoja za msingi za yeye kuwa rais hakuwa nazo.

Kweli kabisa, viongozi wa cdm wasituone hamnazo eti kisa tunaikubali cdm basi watafanya mambo kihuni tuendelee kuwasupport. Wanampa nafasi Lowassa toka uchochoroni, kisha anapanda jukwaani hata kuongea hawezi zaidi ya kutegemea umaarufu wa chama kutimiza ndoto zake za kuwa rais, kwa hiyo cdm kimekuwa ni chama cha kutimizia ndoto za wanaccm, kisha wakikosa madaraka wanarudi zao ccm! Katika mazingira hayo kiongozi ameshakaa zaidi ya miaka 15 madarakani na bado analazimisha kuendelea kukaa madarakani eti bila yeye chama kitakufa! Mbowe akae pembeni ili kuiacha cdm kubaki na sifa ya taasisi na sio kundi la wahuni.
 
Back
Top Bottom