- Thread starter
- #221
Wanachama wake ndiyo wanakusanya michango nchi nzima kwa mapenzi yaoKama wanachama wake awajalalamika sio shida
Wanachama wake ndiyo wanakusanya michango nchi nzima kwa mapenzi yaoKama wanachama wake awajalalamika sio shida
Tunamhitaji Mbowe kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.Kama kweli wewe ni mwanachadema unatambua hilo.Mkuu uko serious au unapiga propaganda? Vitega uchumi au Miradi mingapi ya Mbowe imeharibiwa tena kwa hujuma za wazi, ni mara ngapi Mbowe kakaa jela na hakuna lolote limefanyika? Leo hii Mbowe na viongozi lukuki wa cdm wana kesi tena za kubambikiwa na wanaweza kufungwa kwa maagizo toka juu, na hakuna lolote litafanyika, hapo hofu ya ccm kwa Mbowe inatoka wapi? Viongozi kibao kuanzia Lowassa, wabunge mpaka madiwani wamerubuniwa na kwenda/ kurudi ccm, hiyo hofu ya ccm itoke wapi kwenye mazingira hayo? Wapinzani wamezuiwa kufanya mikutano na bado wametii, na hivi sasa box la kura linabakwa kimacho macho na hakuna lolote Mbowe kazuia, hiyo hofu ya ccm unaionea wapi kwa Mbowe? Huko bungeni wabunge wa upinzani akiwepo Mbowe, wanadhalilishwa na kufanyiwa uhayawani wote, kama wangekuwa na hofu na Mbowe hayo yangefanyika tena mbele ya macho yake, na yeye akiwa ndio mhanga mkuu?
Nadhani wanacdm tuwe wakweli tu, kwa sasa ni bora kuwa na mwenyekiti mpya ili kuipa cdm haiba na hamasa mpya kama taasisi. Isitoshe Mbowe kashafanya mambo makubwa tena ya kupigiwa mfano ndani ya miaka 15 yake kama mwenyekiti. Na kwa hapo alipofikia na umri wake si vibaya akakaa pembeni, kwani mazuri yake yanaweza kuharibika kwa kushindwa kukubaliana na kanuni ya wakati ukuta. Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm sio kwa ubora tena, bali kwa mazoea. Nayasema haya kwa nia njema ya taasisi ya cdm, na sina tofauti yoyote binafsi na Mbowe kwani wala hanifahamu.
Tunamhitaji Mbowe kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.Kama kweli wewe ni mwanachadema unatambua hilo.
Kwa hayo madhila yote uliyoandika hapo juu umeona Mbowe amenunuliwa na kusaliti wanamageuzi?Hilo tu linatosha kumuomba Mbowe aendelee si miaka mitano tu bali ikiwezekana hata 15 zaidi
Mkuu uko serious au unapiga propaganda? Vitega uchumi au Miradi mingapi ya Mbowe imeharibiwa tena kwa hujuma za wazi, ni mara ngapi Mbowe kakaa jela na hakuna lolote limefanyika? Leo hii Mbowe na viongozi lukuki wa cdm wana kesi tena za kubambikiwa na wanaweza kufungwa kwa maagizo toka juu, na hakuna lolote litafanyika, hapo hofu ya ccm kwa Mbowe inatoka wapi? Viongozi kibao kuanzia Lowassa, wabunge mpaka madiwani wamerubuniwa na kwenda/ kurudi ccm, hiyo hofu ya ccm itoke wapi kwenye mazingira hayo? Wapinzani wamezuiwa kufanya mikutano na bado wametii, na hivi sasa box la kura linabakwa kimacho macho na hakuna lolote Mbowe kazuia, hiyo hofu ya ccm unaionea wapi kwa Mbowe? Huko bungeni wabunge wa upinzani akiwepo Mbowe, wanadhalilishwa na kufanyiwa uhayawani wote, kama wangekuwa na hofu na Mbowe hayo yangefanyika tena mbele ya macho yake, na yeye akiwa ndio mhanga mkuu?
Nadhani wanacdm tuwe wakweli tu, kwa sasa ni bora kuwa na mwenyekiti mpya ili kuipa cdm haiba na hamasa mpya kama taasisi. Isitoshe Mbowe kashafanya mambo makubwa tena ya kupigiwa mfano ndani ya miaka 15 yake kama mwenyekiti. Na kwa hapo alipofikia na umri wake si vibaya akakaa pembeni, kwani mazuri yake yanaweza kuharibika kwa kushindwa kukubaliana na kanuni ya wakati ukuta. Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm sio kwa ubora tena, bali kwa mazoea. Nayasema haya kwa nia njema ya taasisi ya cdm, na sina tofauti yoyote binafsi na Mbowe kwani wala hanifahamu.
Best tuwe wakweli..Mbowe akitoka wanaweza weka pandikizi lao!Mbowe tu amhitaji zaidi sema apunguze upole upole na hifu hofu!, natamani Mbowe angekuwa ana tabia na hulka za Heche!..hii mijitu ya kuhama hama unaikata kelbu kbs had azime😐!ukiona kunajitu limeanza jipendekeza ccm unalfumua makofi unalifukuza mapema!
Hapa ni wewe ambaye utakuwa na tatizo.Bado nasisitiza hata akishinda kwa haki kama itakuwepo, miaka 15 inatosha sana kwa mtu kukaa madarakani
Hapa ni wewe ambaye utakuwa na tatizo.
Hiyo nadharia ya miaka 15, sijawahi kuisoma mahali popote. Hilo ni wazo lako tu.
Mbowe hajawahi kushika 'madaraka' ya kuendesha serikali yoyote.
Hao watakaomchagua, kama ni kwa utashi wao wenyewe, bila shaka watakuwa wanazo sababu zao mhimu za kufanya hivyo, na sio kwa 'dhana' tu ya kubuniwa na mtu mmoja. Kwa hiyo wakimchagua Mbowe, hata kama hukubaliani na tendo lao hilo, huna budi kuliheshimu.
Hao wanaochangishana, ni uamzi wao wenyewe kufanya hivyo; hawajalizimishwa. Sijasoma mahali popote Mbowe alipolalamikia kutokuwa na uwezo wa kulipa hele ya kuchukulia fomu. Sasa lawama juu ya hilo ni ya nini?
Vibaraka wa Lumumba hawalijui hiliBusara za Mbowe ndo kashika amani ya nchi japo ccm awaelewi akiingia mwingine atakubali kuonewa ndipo moto utakapolipuka kutuchoma wote
Mpaka sasa mchango wa kumchukulia Fomu Mh. Freeman Mbowe umefikia shilingi Laki:800,000/= bado shilingi laki mbili Naomba Tuonyesha nguvu ya Umma, ndani ya Dakika 30 tupate laki 2 mwenye 250,500,1000,2000,5000,10000.Ingewekwa namba hadharani kbs wenye mapenzi anachangia hata km mia!
Amina mtumishi wa MunguHapa ni wewe ambaye utakuwa na tatizo.
Hiyo nadharia ya miaka 15, sijawahi kuisoma mahali popote. Hilo ni wazo lako tu.
Mbowe hajawahi kushika 'madaraka' ya kuendesha serikali yoyote.
Hao watakaomchagua, kama ni kwa utashi wao wenyewe, bila shaka watakuwa wanazo sababu zao mhimu za kufanya hivyo, na sio kwa 'dhana' tu ya kubuniwa na mtu mmoja. Kwa hiyo wakimchagua Mbowe, hata kama hukubaliani na tendo lao hilo, huna budi kuliheshimu.
Hao wanaochangishana, ni uamzi wao wenyewe kufanya hivyo; hawajalizimishwa. Sijasoma mahali popote Mbowe alipolalamikia kutokuwa na uwezo wa kulipa hele ya kuchukulia fomu. Sasa lawama juu ya hilo ni ya nini?
Mbowe Tano TenaNi kweli, sasa kama cdm inaogopa mapandikizi toka ccm mbona walimpa Lowassa nafasi kubwa kabisa ya kugombea urais, na sasa karudi ccm? Au kuna pandikizi zaidi ya Lowassa? Tena huyo Lowassa alikuwa anakaa meza kuu na mikakati na siri zote za chama kazisikia na sasa yuko ccm? Hivi kweli cdm hakuna mtu yoyote mwenye uwezo wa kuwa mwenyekiti zaidi ya Mbowe? Mbona hata sasa Mbowe ni mwenyekiti na viongozi wanazidi kuhamia tu ccm? Kama ni kwenye chaguzi uhuni wa wazi unafanyika na hana lolote anafanya?
Unashauri Mbowe aache upole, inaonekana hujui kanuni ya you can not teach an old dog a new trick. Mbowe ana miaka 58 sasa, unatarajia ajifunze tabia mpya kwenye umri huo? Hapo alipo ni mzee sasa, na sehemu kubwa itakuwa ni kupigania afya yake zaidi kuliko kuleta jambo jipya ndani ya cdm. Tusiwe wepesi kuchotwa na propaganda ya kuwa eti bila Mbowe basi cdm itayumba, na kweli tukae tuamini hiyo propaganda bila kutoka nje ya box. Ni kweli Mbowe alikuwa mwenyekiti bora kabisa cdm, lakini wakati ukuta. Labda kama hicho cheo cha uenyekiti yuko nacho kwa matambiko hapo sawa, na kama ni hivyo basi hicho sio chama bali ni genge la wahuni lililoko kwenye siasa.
Wakumbuke pia kuna the hague pale wamtakae akiamua kutokubali uonevu.Vibaraka wa Lumumba hawalijui hili
Huyu mleta mada ni mfaidiki binafsi wa cheo cha Mbowe, ndio maana hajali ustawi wa chama kama taasisi, bali anajali nafasi ya Mbowe ili aendelee kuwa kwenye mlo. Naamini cdm ni taasisi na inapaswa kuongozwa kitaasisi. Sioni shida yoyote ya Mbowe kukaa pembeni kuruhusu sura mpya, kwani kama ni mazuri kashayafanya sana, na kimsingi ni kama kafikia mwisho wa ubora wake.
Hamna kitu kinanifedhesha kama kiongozi kukaa madarakani kwenye nafasi moja zaidi ya miaka 10, huku Mbowe akiwa na miaka 15 kwenye nafasi hiyo. Kama alishindwa kuaanda succession plan hilo ni kosa lake. Lakini kwenye demokrasia ya kweli, Mbowe hastahili tena kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm kwa sababu zozote zile. Msimamo wangu huu siwezi kuuficha na uko wazi hapa jukwaani, kama nillivyokataa Lowassa kupewa nafasi ya kugombea urais kupitia cdm.
Naunga mkono Mbowe kugombea tena kuongoza CHADEMA ili kuivusha kwenye awamu hii ya siasa za hovyo na za kishamba.Lakini siungi mkono huu upuuzi wenu wa kuhamasishana kumchulia fomu.Sina hakika kama Lowassa kawalisisha huu upuuzi.Vijana wa Chadema Mkoa wa Dar es Salaam wameanzisha kampeni kubwa ya kutaka Freeman Mbowe achukue fomu kwa mara nyingine ya kugombea Uenyekiti CHADEMA.
Kampeni hiyo yenye kauli mbiu #MwambaTuvushe imeungwa mkono na maelfu ya watu ambao wanachanga pesa zao kwa kiwango cha kuanzia mia tano ili kutimiza shilingi milioni 1 ya kuchukulia fomu ya uenyekiti.
Vijana hao wa CHADEMA wameapa kumchukulia fomu na kuzijaza kisha kwenda kumlazimisha kiongozi huyo kuzitia sahihi na baada ya hapo wazirejeshe.
Vijana hao wameamua kuanza kampeni hiyo kabambe baada ya Tetesi kuvuma kwamba Mwenyekiti huyo wa CHADEMA ameamua kutogombea tena nafasi hiyo.
Wafuasi hao wa CHADEMA wametishia kukesha nyumbani kwa Mwenyekiti huyo na kumzuia kwenda popote mpaka atakapokubali kusaini fomu hizo za kugombea Uenyekiti.
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji alipuliza rasmi kipenga cha uchaguzi mkuu juzi na kutangaza uchaguzi mkuu wa kumpata Mwenyekiti mpya wa chama hicho utakuwa December 18.
=====
Michango ya wadau
Kwa hyo mbowe akifa na chama nacho kinakufa, kisa tu kutakuwa na mapandikizi?Best tuwe wakweli..Mbowe akitoka wanaweza weka pandikizi lao!Mbowe tu amhitaji zaidi sema apunguze upole upole na hifu hofu!, natamani Mbowe angekuwa ana tabia na hulka za Heche!..hii mijitu ya kuhama hama unaikata kelbu kbs had azime[emoji52]!ukiona kunajitu limeanza jipendekeza ccm unalfumua makofi unalifukuza mapema!
Ila ukitaka kukutana na mashetani live ingia tu mtandaoni.Mbowe akiondoka chama kimekufa, akibaki chama kinakufa. Upinzani wana wakati mgumu sana kwa sababu wao ndio walishiriki inasemekana kwa kifo cha Wangwe, vile vile inasemekana TL ni wao walipanga. Kuna mengine pia wanasemekana walipanga na kula njama. Sitashangaa hata gawio la millioni 320 kila mwezi ambalo Mbowe et al wanatumia kama pesa za familia. Chadema = Mbowe family empire.
Ila ukitaka kukutana na mashetani live ingia tu mtandaoni.
Yaani chadema washiriki kumpiga risasi Tundu halafu serikali hii,nasisitiza,"serikali hii" makini ishindwe kuwakamata?
Eneo lenyewe lilikuwa na CCTV camera,na walinzi wa serikali,halafu chadema ishiriki kulifanya na wabaki salama?