Maelfu wamchangia Mbowe katika kampeni ya #MwambaTuvushe ya kumrejesha madarakani CHADEMA

CDM wakitaka kufanya kosa wamuondoe Mbowe. CDM imekwisha if they take that course. Msigwa can do, Lisu also, Prof Safari....
Hii ni kauli ya wapambe wengi wa viongozi wanaong'ang'ania madaraka. Huwa wanaweka mazingira kuwa ni wao tu wenye uwezo wa kuongoza na wakiondoka basi jambo baya litatokea. Hivi mnafikiri timu zinapobadilisha makocha mara inapotokea yule aliyepo anafanya vibaya (hata kama siku za nyuma alishaleta makombe mengi) ni wajinga?
 
Hapa ndio tunakosea kusema ndani ya chadema hakuna zaidi ya mbowe acha alazimishe sasa chama kije kimfie mimi nashauri angepumzika.

Wakifanya ivyo CCM itaonekana kama vile ni siasa ila wakifanya chadema inaonekana nisawa chama mbadala lazima kionyeshe utofauti!
 
Diktekta Mbowe katika ubora wake
Lini Mbowe alisha wahi kukataa kugombea uenyekiti.
Kama kweli hataki basi awafukuze hapo kwake aite polisi waondolewe.
Uwe na uso wa aibu
 
Kweli mwenye nacho huongezwa, huyu jamaa kapiga zaidi ya Billion 2 kutoka akaunti ya chama, lakin bado kuna baadhi ya vijana wenye mtindio wa ubongo wanataka kumchangia zingine tena du! Kua uyaone!
Nyie mbona mlizipiga zile za ESCROW na EPA Mchana kweupe. Kwani hujamsikia Mkapa?
 
Watu wanapenda kusema eti sio sawa kufanya comparison kati ya uongozi wa chama na uongozi wa Nchi. However, main principle ni ile ile. Lazima kuwe na term limit. Tofauti na hapo ni “udikiteta tu”. Kusema kwamba eti mtu flani aendelee kugombea tu kwa kuwa katiba inamruhusu (hakuna term limit) ni hoja dhaifu na inaweza kuwa dharau kwa wanachama wengine

Vyama hivi vingine vinakwama sana. Lipumba, Cheyo, Mrema et al ni Wenyeviti wa vyama tangu mid 90’s. Sasa hivi ni vyama vya siasa au personal properties?
 
Kiukweli.....Upinzani bado unamuhitaji sana Mbowe....ila this time apunguze upole na siasa za matukio
Mbowe anahitajika kuliko wakati mwingine wowote
 
Anataka kuweka mpira kwapani na huko..!? Mkomalieni ...
 
Kama watamzuia kutoka nyumbani aombe tu msaada kwa polisi. Watatoka wenyewe na hawatamsumbua tena kama kweli hataki.
Ndiyo ushauri wako huo kwake?
 
Mbowe anatosha✌🏻✌🏻🤝🏻🤝🏻tunamhitaji kushinda wakati mwingine wowote ule✌🏻✌🏻🙏🏻🙏🏻
Anapata faraja sana kwa jinsi anavyoungwa mkono
 
Wasisumbuke sana, Mshahara wa Mbowe wa mwezi (KUB) unaweza kuwachulia fomu wagomea wengine wote na change ikabaki ya kutosha.
Umma ndiyo umeamua.Wanaonyesha mapenzi waliyo nayo kwake
 
Diktekta Mbowe katika ubora wake
Lini Mbowe alisha wahi kukataa kugombea uenyekiti.
Kama kweli hataki basi awafukuze hapo kwake aite polisi waondolewe.
Ashtakie wanachama wake CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…