Maelfu watii amri ya kuondoka Gaza huku Israel ikiandaa wanajeshi 300,000 kuanza fagia fagia

Maelfu watii amri ya kuondoka Gaza huku Israel ikiandaa wanajeshi 300,000 kuanza fagia fagia

Israel anataka kusawazisha hiyo Gaza iwe flat ili kusiwe na pa kujificha ndiyo Sasa jeshi la ardhini liingie.
 
Multiple IDF positions and radar emplacements were hit by Hezbollah ATGM strikes near the Lebanon-Israel border
IMG_20231014_180309.jpg
 
[emoji845][emoji1134][emoji3538][emoji1193] Photos of the destroyed IDF CH-53D helicopter that was destroyed exactly a week ago. #IsraelPalestineConflict #Palestine #Hamas

According to some reports all 50 IDF soldiers were killed.

According to some Israeli sources they managed to survive.View attachment 2781971

Wenzako wanafyekwa mauaji ya kimbari badala mvae mikanzu na kufyatuka yale makelele yenu ya ala akbar upo huku unapost mapicha.
 
Ila ktk hii vita ndo nimetambua binadamu wengi kichwani ni uji Tena usio na sukari, hawana hata maarifa ya kuvuka barabara. Yani watu wameingiza udini ktk mauaji yanayoendelea huko Gaza. Watu wamekuwa vichaa wa Imani. Kumbe ndo maana huko Kenya Magenzi aliwateketeza sababu ya ujinga wao. Binadamu wamekosa akili kichwani na kubakia kudandia Imani wasizozijua kwa undani, na ndo maana Wana abudu watu badala ya Mungu wao wa kweli.

Sasa hivi akija mjinga mmoja akaanzisha Imani yake akawaambia awape mikojo ili waolewe au wapate pesa, wote vichaa wa imani watamfuata. Hatari sana hii
 
Ila ktk hii vita ndo nimetambua binadamu wengi kichwani ni uji Tena usio na sukari, hawana hata maarifa ya kuvuka barabara. Yani watu wameingiza udini ktk mauaji yanayoendelea huko Gaza. Watu wamekuwa vichaa wa Imani. Kumbe ndo maana huko Kenya Magenzi aliwateketeza sababu ya ujinga wao. Binadamu wamekosa akili kichwani na kubakia kudandia Imani wasizozijua kwa undani, na ndo maana Wana abudu watu badala ya Mungu wao wa kweli.

Sasa hivi akija mjinga mmoja akaanzisha Imani yake akawaambia awape mikojo yao ili waolewe au wapate pesa, wote vichaa wa imani watamfuata. Hatari an hii

Hizi nadharia mbona hamkuandika wakati HAMAS wanachinja watu, kibao kimegeuzwa kila mtu anajifanya filosofia.
 
Shambulio lililofanywa na Hamas ni historical,

Wameuwa maelfu na kuchukuwa mateka waisrael wasiokuwa na idadi

Haijawahi tokea toka kuanzishwa kwa taifa la Israel. ...

Maswali::
1. Dunia nzima wanajiuliza (including waisrael wenyewe) Hamas wanajiamini nini kwa kufanya uchokozi mkubwa katika historia ya chokozi zote duniani (911 included) ..hasa ukizingatia huko nyuma vita baina yao ilisababishwa na kisa kidogo sana( kumteka mwanajeshi wa Israel mmoja)

2.Mossad ....ni shirika la kijasusi la Israel ambalo linasemekana ndio lenye uwezo na utaalamu wa mambo ya kijasusi kuliko mashirika yote duniani" limefelije kujua mpango wa uvamizi wa Hamas? ...na nini kingine hawakijui ...maana isijekawa trap iliyoratibiwa na kuandaliwa vizuri

3. Bombing Gaza ni kitu cha kawaida kwa waPalestina, kuingia vitani mtaa kwa mtaa Gaza ni mission ngumu sana kwa waisrael kwani hakuna Frontline maalumu ni vita vya kuoteana (urban gorilla warfare )....ila mwenyeji obviously will have upper hand kwa sababu ya familiarity with location &terrains. . ... je kuna appetite ya kutosha?

4. Wakisha ingia Gaza, what is the endgame, km vita ikienda ndivyo sivyo" what is the plan B

5. pamoja na Israel kuwa na silaha za kisasa sana za kivita.....are its soldiers are gorilla battle hardened? ...maana kuna tetesi zile njemba za Hizbu ambazo zimezoea shughuli pevu toka Syria zimeingia kitambo...

Haya maswali yanahitaji cooler& sober mind kuyajibu kwanza kwa ufasaha kabla ya kuingia kwenye huu mwaliko wa vita Gaza.

Nb. Naomba niwakumbushe wakristo wenzangu taifa la Mungu la israel sio hili linaloongozwa na Bibi...

Tuendelee kumuomba Mungu awanusuru wote kwenye kwenye hili janga ambalo hakuna anayejua mwisho wake.
Nimeipenda hapo mwisho kwenye kukumbushana. Sasa hivi kuna watu wanajiona wafia dini wanashangilia hii vita. Hovyo kabisa
 
Waajemi wanachungulia without any comment. May be watafanya surprise attacks kuifuta Israel kwenye uso wa dunial kama wanavyojiapiza daily!
Wanaifutaje mkuu? Hii Iran haina nuclear weapons, Israel inakadiriwa kuwa na tactical weapons 80.

Sio rahisi Iran kujaribu kupambana na Israel.
 
Watu wanadhania zile Hollywood za wayahudi wa America ni uongo, universal soldiers ni wauni flani hivi maroboti yenye nyama
Miaka ya 2000 tulikuwa twaangalia movie za US wanatouch kwenye PC na tablets tunasema ni maigizo.

Tuliona flash tukasema maigizo

Yamekuja tokea

Kila kinachoonekana kwenye movie tayari kipo
 
Kimsingi ni kosa kubwa sana kushangilia vita sehemu yoyote. Binafsi katika maombi yangu kwa Mungu kila nikipiga magoti ni kuombea amani ya nchi yetu. Hali ni mbaya sana huko hata hapo Kongo tu.

Sijui tumekuwa na kizazi cha namna gani nchi hii. Anzia ile vita ya Urusi na Ukraine, kulikuwa na mashabiki wengi sana aasa wamehamia hiyo ya Palestina na Israel mbaya hii imekaa kidini. Waislam na Wakristo kila.mmoja anavutia uoande wake. Eeehh Mungu saidia hiki kizazi chetu. Hali ni mbaya sana.
Kizazi cha kujichua, kunyoa viduku na milegezo, kizazi cha kusagana na kunajisiana ndo kimeleta haya yote. Binadamu wamekuwa obsessed na Imani zao.
 
Kwa hiyo ulitaka akili kitu ambacho hajafanya? hata Marekani alisema ya kuwa hakuna ushahidi wowote unao ihusisha Iran na ambush hiyo na wala ilikuwa haijui chochote kuhusu ambush hiyo hata wao iliwashutua.

Shambulizi hilo limesababishwa na udhaifu wa vitengo vya usalama na integensia ya Israel msilete visingizio.

Hata kama angekuwa amehusika wange mfanya nn? Yakwamba Israel ingeishambulia Iran[emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ww nakuona unaleta mizaa na utani aisee.

Hii Israel ambayo ina pambana na Hamas ndani ya wiki moja tu imesha anza kuomba misaada ya silaha kutoka Marekani na sasa hivi nasikia Marekani imetuma kikosi cha delta kuja kuisaidia kwenye mashambulizi ya ardhini.

Israel hii ambayo imekusanya wanajeshi laki 3 na nusu kwenda kupambana na wanamgambo wasio zidi 20,000 wasio miliki silaha yeyote zaidi ya bunduki na viroketi vya kutengeneza kienyeji ndo aje kupambana na jeshi la Iran lenye kila aina ya silaha za kimamboleo?

Kama ni kushiriki vita sio razima apeleke wanajeshi anaweza kuwa anatoa silaha kwa hamas kama anavyo fanya Marekani nchi Ukraine ,na hata asipo saidia hiyo ni juu yake kwa sababu sio razima ashiriki katika kila mzozo hali ya kuwa hana maslahi nao.
Kama Urusi aliomba msaada wa silaha toka Iran na NK,sioni ajabu Kwa Israel kuomba msaada wa silaha toka America.
 
[emoji845][emoji1134][emoji3538][emoji1193] Photos of the destroyed IDF CH-53D helicopter that was destroyed exactly a week ago. #IsraelPalestineConflict #Palestine #Hamas

According to some reports all 50 IDF soldiers were killed.

According to some Israeli sources they managed to survive.View attachment 2781971
Helicopter inabeba watu 50!!!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Quran 17.4

Na tukawahukumia Wana wa Israeli katika kitabu kwamba. Hakika nyinyi mtafanya fisadi katka nchi Mara mbili, na kwa yakini mtapanda kiburi,kiburi kikubwa.


N.B Sasa hiiki ndio ufisadi aliousema Allah kwa hio msishangae kila kitu kina nyakati zake na watashinda lakin sijui wamepangiwa Nini mbeleni mola atasolve kila atakavyoona
 
Sasa ni kipi cha maana anacho kifanya zaidi ya kuangusha majengo na kuuwa hovyo raia?
Kwani Hamas wanaishi wapi CYO kwenye majengo.

Uwezo mdogo wa kureason. Madrasa Ni shida! Kufundishana fujo tu
 
Kama Urusi aliomba msaada wa silaha toka Iran na NK,sioni ajabu Kwa Israel kuomba msaada wa silaha toka America.
Sasa uombe msaada kupambana na wahuni wasio miliki chochote zaidi ya bunduki na viroketi vya kutengeneza kienyeji?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa ni kipi cha maana anacho kifanya zaidi ya kuangusha majengo na kuuwa hovyo raia?
Hamas Aliua raia wa Israel kwa mpangilio unaofaa au siyo. Lkn Israel Anaya hovyo.

Hamas wanaishi wapi siyo kwenye majengo.

Usichokijua Ni kwamba Gaza inaachwa tambarare.
 
Back
Top Bottom