This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Israel anataka kusawazisha hiyo Gaza iwe flat ili kusiwe na pa kujificha ndiyo Sasa jeshi la ardhini liingie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji845][emoji1134][emoji3538][emoji1193] Photos of the destroyed IDF CH-53D helicopter that was destroyed exactly a week ago. #IsraelPalestineConflict #Palestine #Hamas
According to some reports all 50 IDF soldiers were killed.
According to some Israeli sources they managed to survive.View attachment 2781971
300,000 kwenye eneo ukubwa sawana ilala bungoni!!..hao jamaa waoga sanaSo hawa 300,00 askari wote ni
Sayeret Matkal?
Huo uwoga,Hamas Wana tunnels zinazofika 500km GazaIsrael anataka kusawazisha hiyo Gaza iwe flat ili kusiwe na pa kujificha ndiyo Sasa jeshi la ardhini liingie.
Mbona hawazitumia hamas wa tandahimba?Huo uwoga,Hamas Wana tunnels zinazofika 500km Gaza
Ila ktk hii vita ndo nimetambua binadamu wengi kichwani ni uji Tena usio na sukari, hawana hata maarifa ya kuvuka barabara. Yani watu wameingiza udini ktk mauaji yanayoendelea huko Gaza. Watu wamekuwa vichaa wa Imani. Kumbe ndo maana huko Kenya Magenzi aliwateketeza sababu ya ujinga wao. Binadamu wamekosa akili kichwani na kubakia kudandia Imani wasizozijua kwa undani, na ndo maana Wana abudu watu badala ya Mungu wao wa kweli.
Sasa hivi akija mjinga mmoja akaanzisha Imani yake akawaambia awape mikojo yao ili waolewe au wapate pesa, wote vichaa wa imani watamfuata. Hatari an hii
Nimeipenda hapo mwisho kwenye kukumbushana. Sasa hivi kuna watu wanajiona wafia dini wanashangilia hii vita. Hovyo kabisaShambulio lililofanywa na Hamas ni historical,
Wameuwa maelfu na kuchukuwa mateka waisrael wasiokuwa na idadi
Haijawahi tokea toka kuanzishwa kwa taifa la Israel. ...
Maswali::
1. Dunia nzima wanajiuliza (including waisrael wenyewe) Hamas wanajiamini nini kwa kufanya uchokozi mkubwa katika historia ya chokozi zote duniani (911 included) ..hasa ukizingatia huko nyuma vita baina yao ilisababishwa na kisa kidogo sana( kumteka mwanajeshi wa Israel mmoja)
2.Mossad ....ni shirika la kijasusi la Israel ambalo linasemekana ndio lenye uwezo na utaalamu wa mambo ya kijasusi kuliko mashirika yote duniani" limefelije kujua mpango wa uvamizi wa Hamas? ...na nini kingine hawakijui ...maana isijekawa trap iliyoratibiwa na kuandaliwa vizuri
3. Bombing Gaza ni kitu cha kawaida kwa waPalestina, kuingia vitani mtaa kwa mtaa Gaza ni mission ngumu sana kwa waisrael kwani hakuna Frontline maalumu ni vita vya kuoteana (urban gorilla warfare )....ila mwenyeji obviously will have upper hand kwa sababu ya familiarity with location &terrains. . ... je kuna appetite ya kutosha?
4. Wakisha ingia Gaza, what is the endgame, km vita ikienda ndivyo sivyo" what is the plan B
5. pamoja na Israel kuwa na silaha za kisasa sana za kivita.....are its soldiers are gorilla battle hardened? ...maana kuna tetesi zile njemba za Hizbu ambazo zimezoea shughuli pevu toka Syria zimeingia kitambo...
Haya maswali yanahitaji cooler& sober mind kuyajibu kwanza kwa ufasaha kabla ya kuingia kwenye huu mwaliko wa vita Gaza.
Nb. Naomba niwakumbushe wakristo wenzangu taifa la Mungu la israel sio hili linaloongozwa na Bibi...
Tuendelee kumuomba Mungu awanusuru wote kwenye kwenye hili janga ambalo hakuna anayejua mwisho wake.
Wanaifutaje mkuu? Hii Iran haina nuclear weapons, Israel inakadiriwa kuwa na tactical weapons 80.Waajemi wanachungulia without any comment. May be watafanya surprise attacks kuifuta Israel kwenye uso wa dunial kama wanavyojiapiza daily!
Miaka ya 2000 tulikuwa twaangalia movie za US wanatouch kwenye PC na tablets tunasema ni maigizo.Watu wanadhania zile Hollywood za wayahudi wa America ni uongo, universal soldiers ni wauni flani hivi maroboti yenye nyama
Kizazi cha kujichua, kunyoa viduku na milegezo, kizazi cha kusagana na kunajisiana ndo kimeleta haya yote. Binadamu wamekuwa obsessed na Imani zao.Kimsingi ni kosa kubwa sana kushangilia vita sehemu yoyote. Binafsi katika maombi yangu kwa Mungu kila nikipiga magoti ni kuombea amani ya nchi yetu. Hali ni mbaya sana huko hata hapo Kongo tu.
Sijui tumekuwa na kizazi cha namna gani nchi hii. Anzia ile vita ya Urusi na Ukraine, kulikuwa na mashabiki wengi sana aasa wamehamia hiyo ya Palestina na Israel mbaya hii imekaa kidini. Waislam na Wakristo kila.mmoja anavutia uoande wake. Eeehh Mungu saidia hiki kizazi chetu. Hali ni mbaya sana.
Kama Urusi aliomba msaada wa silaha toka Iran na NK,sioni ajabu Kwa Israel kuomba msaada wa silaha toka America.Kwa hiyo ulitaka akili kitu ambacho hajafanya? hata Marekani alisema ya kuwa hakuna ushahidi wowote unao ihusisha Iran na ambush hiyo na wala ilikuwa haijui chochote kuhusu ambush hiyo hata wao iliwashutua.
Shambulizi hilo limesababishwa na udhaifu wa vitengo vya usalama na integensia ya Israel msilete visingizio.
Hata kama angekuwa amehusika wange mfanya nn? Yakwamba Israel ingeishambulia Iran[emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ww nakuona unaleta mizaa na utani aisee.
Hii Israel ambayo ina pambana na Hamas ndani ya wiki moja tu imesha anza kuomba misaada ya silaha kutoka Marekani na sasa hivi nasikia Marekani imetuma kikosi cha delta kuja kuisaidia kwenye mashambulizi ya ardhini.
Israel hii ambayo imekusanya wanajeshi laki 3 na nusu kwenda kupambana na wanamgambo wasio zidi 20,000 wasio miliki silaha yeyote zaidi ya bunduki na viroketi vya kutengeneza kienyeji ndo aje kupambana na jeshi la Iran lenye kila aina ya silaha za kimamboleo?
Kama ni kushiriki vita sio razima apeleke wanajeshi anaweza kuwa anatoa silaha kwa hamas kama anavyo fanya Marekani nchi Ukraine ,na hata asipo saidia hiyo ni juu yake kwa sababu sio razima ashiriki katika kila mzozo hali ya kuwa hana maslahi nao.
Helicopter inabeba watu 50!!!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji845][emoji1134][emoji3538][emoji1193] Photos of the destroyed IDF CH-53D helicopter that was destroyed exactly a week ago. #IsraelPalestineConflict #Palestine #Hamas
According to some reports all 50 IDF soldiers were killed.
According to some Israeli sources they managed to survive.View attachment 2781971
Sasa ni kipi cha maana anacho kifanya zaidi ya kuangusha majengo na kuuwa hovyo raia?Wee unaona yanarushwa hovyoeee
Akili za madrasa bhana
Kwani Hamas wanaishi wapi CYO kwenye majengo.Sasa ni kipi cha maana anacho kifanya zaidi ya kuangusha majengo na kuuwa hovyo raia?
Sasa uombe msaada kupambana na wahuni wasio miliki chochote zaidi ya bunduki na viroketi vya kutengeneza kienyeji?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama Urusi aliomba msaada wa silaha toka Iran na NK,sioni ajabu Kwa Israel kuomba msaada wa silaha toka America.
Hamas Aliua raia wa Israel kwa mpangilio unaofaa au siyo. Lkn Israel Anaya hovyo.Sasa ni kipi cha maana anacho kifanya zaidi ya kuangusha majengo na kuuwa hovyo raia?