Maelfu watii amri ya kuondoka Gaza huku Israel ikiandaa wanajeshi 300,000 kuanza fagia fagia

Maelfu watii amri ya kuondoka Gaza huku Israel ikiandaa wanajeshi 300,000 kuanza fagia fagia

Mbona Hitler aliwachinja million 6 na hakuna kitu walifanya!!? Hao wana back up ya USA tu ndio inayowapa lifeline otherwise sielewi exaggerations za humu ndani.

Hittler aliwachinja huko bara Uropa, hakuenda kuwachinja kwenye kitovu chao, na kipindi hicho hawakua taifa lenye uwezo kama huu wa leo, mazombi yenu hutoa matamko ya kutaka kufuta hako kataifa lakini yameshindwa kuthubutu.
 
Wameendelea kuruhusu mazombi yenu yatoe watoto na wanawake ambao wanaendelea kutoka kwa maelfu, endelea kusubiri hapo.

Watu washasema wapo tayari kufa kwenye ardhi yao.sasa sijui wanasubir watu gani hao wanaotoka.

Hamas wanawasubiri watie pua tu ili uwe mwisho wao.watoto watawasoma kwenye vitabu vya historia kama kulikuwa na jeshi linaitwa la Israel
 
Vikosi maalum vya makomandoo ya Hamas vikiwasubiri wanajeshi wa Israel.

images%20(7).jpg
 
Ndio nimekuambia hawa hawaendi kupigana vita ulivyozoea maana kwao kushindwa ni hatari ya taifa lao kufutwa, wamezungukwa na majitu ya dini ambayo imetoa maagizo wauawe wote

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Once again I'm not a Muslim hata thread zangu ziko wazi unaweza soma. Hakuna mfia dini wa kikristo kama mimi humu jf kapite kule jukwaa la dini. Cha ajabu I'm calling out Jews incursion against Palestine naonekana muislam.

Hii mindset ni mbaya sana hivi unajua 10% ya Israelites ni waislam?
 
Watu washasema wapo tayari kufa kwenye ardhi yao.sasa sijui wanasubir watu gani hao wanaotoka.

Hamas wanawasubiri watie pua tu ili uwe mwisho wao.watoto watawasoma kwenye vitabu vya historia kama kulikuwa na jeshi linaitwa la Israel

Kwanza waliashaanza kutembeza kichapo kwa msafara wa watu wanaoendelea kuondoka ili kuwaharakisha.
 
Kwanza waliashaanza kutembeza kichapo kwa msafara wa watu wanaoendelea kuondoka ili kuwaharakisha.
Wale sio wapalestina wala hamas.wale ni wageni tu wacha waondoke,sisi wenyeji bado tupo Gaza ukija utatukuta maana tuna kazi maalum ya kiserikali
 
Bado nashangaa aliyeuwa watu 1200 bado anaonekana ni Gaidi wakati huo Israel kashauwa watu zaidi ya Buku 3 na bado dunia inambariki kuendelea na Mauwaji
 
Bado nashangaa aliyeuwa watu 1200 bado anaonekana ni Gaidi wakati huo Israel kashauwa watu zaidi ya Buku 3 na bado dunia inambariki kuendelea na Mauwaji
Wauwaji wapo Gaza kama anawaitaji aje awachukue, anaogopa nini kuingiza vikosi
 
Aibu gani?. Kuvizia watu wapo kwenye ibada na sherehe ndio aibu. Jumamosi ni siku ya ibada kwa Israel, Hamas wakalijua Hilo, so wakaona wachukue mateka na kuua watu. Sasa ngoja tuone mwisho maana Israel akichukua eneo lote la Gaza, hasara itakuwa kwa Hamas.
Si tunaambiwa waliingia kwenye sehemu watu wanaruka majoka. Hiyo ni ibada siku hizi?
 
Wale sio wapalestina wala hamas.wale ni wageni tu wacha waondoke,sisi wenyeji bado tupo Gaza ukija utatukuta maana tuna kazi maalum ya kiserikali

Maustadhi wa huku mnachekesha sana, tafuteni bando muingie Telegram muone kinachotendeka, habari zinazopeperushwa bila kuchuja.
Kuna wakati napata huruma na kuingiwa na hasira dhidi ya Israel, ila nikija na kusoma comments zenu humu najikuta naomba Israel waendelee vivyo hivyo.
 
Tushasema toka mwanzo, yoyote atakayeingia Gaza basi asitegemee kurudi akiwa anavuta pumzi.
 
Walitakiwa walipue Bunge(Knesset) ndipo tungeona wanaakili. Sasa unachnja watoto na akinamama! Haisaidii kuleta ukombozi Gaza
 
Nimeona manowari za jeshi la US zikiwa zimesheni ndege vita za kutosha. Siku ambayo US atakua mkweli, akasema Israel iheshimu mipaka, walowezi waondoke maeneo yasiyo ya kwao la sivyo hakuna support, kwa vyovyote Israel hataweza. Pamoja na shida za Hamas, mgogoro huu unachangiwa na mataifa ya Magharibi. Israel peke yake HANA UBAVU, ni jambo lililo wazi. Kujua hilo MOSSAD walikua wapi wakati HAMAS anapenya kwa magendo? Kwa hiyo roure cause ya huu mgogoro ni kupuuzia mipaka ya mataifa hayo mawili ambayo kihistoria ni ndugu kabisa.
Jambo moja ambalo wakristo wengi wanaingiza udini lakini hawalijui labda kwa makusudi au kutofuatilia ni kuwa;
1. Israel Waarabu ni asilimia karibu 20 hivi wakati Wayahudi ni asilimia 73. Dini zingine au race zingine ni asilimia 6 tu.
2. Wayahudi hawamtambui Yesu kabisa na siyo katika mleta dini kwao ingawa ni uzao wao kabisa. Wao Mussa ndiyo kila kitu
3.Wapalestina maana yake siyo Waislam bali ni Waislam na Wakristo.

Unaposema wakristo wanaingiza udini, wakatio huo wewe upo mstari wa mbele kuwatetea hamasi ambao ni islamic terrorist group,wewe unaongozwa na mahaba gani kusimama upande wa hamasi. ?
 
Quran 17.4

Na tukawahukumia Wana wa Israeli katika kitabu kwamba. Hakika nyinyi mtafanya fisadi katka nchi Mara mbili, na kwa yakini mtapanda kiburi,kiburi kikubwa.

N.B Sasa hiiki ndio ufisadi aliousema Allah kwa hio msishangae kila kitu kina nyakati zake na watashinda lakin sijui wamepangiwa Nini mbeleni mola atasolve kila atakavyoona
Unabii wa Muhammad, sasa ndio wakati wa wabusu jiwe

Maandiko ya waislamu yanasema

Muhammad (ﷺ) alisema:Wailsamu watapigana na Wayahudi na watawaua mpaka hata jiwe litasema: Njoo hapa, Muislamu, kuna Myahudi (anayejificha nyuma yangu); muue. Sahih Muslim 2921 a
 
Back
Top Bottom