Kwani tulisemaje tangu nyuzi za zamani huu mgogoro unaanza. Yani kuna watu humu walikuwa wanadai eti Egypt itapigwa na Ethiopia, Ethiopia hii yenye migogoro kibao ndani wala haina utengamano. Yani nchi iliyopigwa na ka-Elitrea eti ikaipige nchi iliyokomaa na Israel... inaanza kunipa shaka uwezo wa Ethiopia kijeshi; kama wanamgambo wa Tigray wanawatoa jasho kiasi hiki ndio watapambana na Egypt kugombea maji ya Blue Nile "roho" ya Egypt? Ethiopia wajipange kweli kweli kama wanataka kulinda legacy ya haki ya kutumia maji ya Blue Nile bila "kuingiliwa" na foreign powers.
Mkuu dudus wale siyo wanamgambo. Wale ni jeshi kamili. Wengi wao walikuwa makamanda kwenye jeshi la Ethiopia. Na wengi wao ndo walimng'oa dikteta mengistu haile mariam.... inaanza kunipa shaka uwezo wa Ethiopia kijeshi; kama wanamgambo wa Tigray wanawatoa jasho kiasi hiki ndio watapambana na Egypt kugombea maji ya Blue Nile "roho" ya Egypt? Ethiopia wajipange kweli kweli kama wanataka kulinda legacy ya haki ya kutumia maji ya Blue Nile bila "kuingiliwa" na foreign powers.
TPDFMkuu dudus wale siyo wanamgambo. Wale ni jeshi kamili. Wengi wao walikuwa makamanda kwenye jeshi la Ethiopia. Na wengi wao ndo walimng'oa dikteta mengistu haile mariam.
Huyu Ahmed Abiy wakati huo alikuwa kachalii naye aliungana nao huko maporini licha ya yeye kuwa half oromo Amharic.
Mwaka jana Abiy alitumia ujanja kuanzisha vita kwa kuwawahi TPDF kabla hawajavamia na kumili maghala ya silaha. Wangefankiwa tu sasa hivi Tigray ingekuwa nchi kamili.
Kingine kinachowasaidia TPDF kwenye hii vita ni Terrain. Tigray ni mountainous. Ngoja niingie chimboniwawekee video ya majeshi ya Tigray wakimatch ambayo iliipa Ethiopia government a wake up call. Muda siyo naibuka kutoka chimbohizi video ni nadra ha youtube.View attachment 1839241View attachment 1839242
Tigray Peoples Defence ForcesTPDF
Masifa huyo jamaa yanamponzaBasi kwa hali ilivo utawala wa waziri mkuu wa Ethiopia Ahmed Abiay utakua na mwisho mbaya au hata miaka miwili ijayo atakua keshatolewa.
Nimeshitukaaa!!TPDF
Ethiopia hana ubavu wa kusimama na Egypt... inaanza kunipa shaka uwezo wa Ethiopia kijeshi; kama wanamgambo wa Tigray wanawatoa jasho kiasi hiki ndio watapambana na Egypt kugombea maji ya Blue Nile "roho" ya Egypt? Ethiopia wajipange kweli kweli kama wanataka kulinda legacy ya haki ya kutumia maji ya Blue Nile bila "kuingiliwa" na foreign powers.