Maelfu ya mbu waliobadilishwa vinasaba (GMO) wameachiliwa nchini Djibouti katika kukomesha kuenea kwa spishi vamizi malaria


Ayo maneno ya melanin, curiosity zero umeandika kwa lugha yao alafu unasema nini mkuu ,mzungu akufundishe kila kitu kuhusu mwili wako alafu useme umemzidi nini..........
Lugha ni lugha tu Acheni ujinga,mbona nao wanajifunza Kiswahili na hata Kigogo.
 
Wewe ndo uweke evidence za disadvantages za mradi huo.
 
fanyaa utafiti ili uthibitishe unayoyasema otherwise hizo ni speculations tu.
Ungewajua Globalists na Bill Gates ambaye ndiye anayefanya upuuzi huu usingesema inayosema mkuu.Halafuu binadamu ninayemjua hakubali kitu ambacho hakijathibitishwa ubora wake,Sasa ninyi mkoje,mbona mnakuwa kama sub-human?Are you really human,sidhani.

Anyway fuata link ifuatayo uone ninayo ongelea.

 
Hao wakiamua kutuangamiza wanazo njia nyingi na nyepesi kuliko hiyo unayoisema.

Mfano: chanjo za watoto
 
Kwamba wazungu hawana melanin?
Btw, define melanin.
 
Hope utakuja na njia Yako nzuri ya kutokomeza malaria ndugu Dr Msukuma
Kebehi hizi ni za kijinga.Nikuulize maswali yafuatayo halafu unijibu,if you can't, usishabikie kitu usichokijua za nyamaza,unaonekana mjinga.
1.Baada ya Mbu hao kuwa released to the wild,unajua watakavyo behave?
2.Unajua wamewekewa nini ambacho wanaweza kusambaza kwa wanadamu na kuwadhuru?
3.Unajua Mbu hao wamefanyiwa utafiti miaka mingapi,ili hata kama wakiwa released ili isiwe janga baadae?Hapa nazungumzia long term research.
4.Je unajua sehemu zingine ambapo Mbu hawa walikuwa released na matokea yalikuwa yapi?
5.Lakini je, unawaelewa Globalists na Bill Gates vizuri ambaye ndiye mwenye mradi huu kiundani?

Mkuu kama huna majibu ya maswali hayo,you do not have the right to speak,unaonekana mjinga tu na karai la zege la Globalists,kaa kimya.

Fuata link ifuatayo uone ubaya wa tekinolojia hiyo fake.Hii ni mbinu tu ovu ya kutaka kuua watu kwa wingi.

 
Uko sahihi sana.
 
Sawa Dr. Msukuma je smartphone unayotumia imewekewa Nini Cha kukuua ili wazungu wabaki pekee duniani!?
 

Historian yetu imefutwa na Nani ?
Kama imefutwa wewe umeijuaje?

Unanipa link iliotengenezwa na Wazungu ili wanimalize ?

Huyo aliyeeleza kwenye link anakaa kwa Wazungu anatumia kila kitu kilichotengenezwa na Mzungu halafu unaleta ngonjera za Wazungu kutaka kuwamaliza waafrica.

Siyo kila kitu mnachosoma kinaelimisha vingine vinapotosha.
 
Sawa Dr. Msukuma je smartphone unayotumia imewekewa Nini Cha kukuua ili wazungu wabaki pekee duniani!?
Jibu maswali niliyo weka,usiniletee ujinga.After all hata Msukuma alikuwa sahihi 100 %.Huwezi kufanya research bila a "Null Hypothesis." Ya Msukuma ilikuwa a Hypothesis which needs to be proved by Scientific Research.Mambo msiyo yajua msiyaingilie mnaonekana vilaza.
 
Mkuu, kwani kwanini wazungu wanataka tufe wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…