Kebehi hizi ni za kijinga.Nikuulize maswali yafuatayo halafu unijibu,if you can't usishabikie kitu Usichokijua za nyamaza.
1.Baada ya Mbu hao kuwa released to the wild,unajua watakavyo behave?
2.Unajua wamewekewa nini ambacho wanaweza kusambaza kwa wanadamu na kuwadhuru?
3.Unajua Mbu hao wamefanyiwa utafiti miaka mingapi,ili hata kama wakiwa released now isiwe janga baadae?Hapa nazingumzia long term research.
4.Je unajua sehemu zingine ambapo Mbu hawa walikuwa released na matokea yalikuwa yapi?
5.Lakini je unawaelewa Globalists na Bill Gates ambaye ndiye mwenye mradi huu kiundani?
Mkuu kama huna majibu ya maswali hayo,you do not have the right to speak,unaonekana mjinga tu na karai la zege la Globalists.
Fuata link ifuatayo uone ubaya wa tekinolojia hiyo fake.Ni mbinu tu ovu za kutaka kuua watu kwa wingi.
"It is the unanticipated outcome that is concerning."
futurism.com