Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why wasiend nchi ambazo zinaendeshwa kiislam?Kwasababu tunataka dunia nzima iendeshwe kwa sheria za kiislam
Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Jibu la kijinga?Swali la kijinga!
Jews wamehama wote Mashariki ya kati wakasam aa nchi nyingine mpaka mbona huulizi!
Wahindi na wachina wapo duniani kote mbona huulizi?
Kwasababu lengo ni dunia nzima iendeshwe kwa sheria za kiislamWhy wasiend nchi ambazo zinaendeshwa kiislam?
Swali la kijinga!
Jews wamehama wote Mashariki ya kati wakasam aa nchi nyingine mpaka mbona huulizi!
Wahindi na wachina wapo duniani kote mbona huulizi?
Why wasiend nchi ambazo zinaendeshwa kiislam?
1. US ni taifa la wote - free and brace men.
2. US inajinadi sana
Jitahidi nawewe uende kiongozi,Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Si Kweli nchi zinazoongoza kupokea wakimbizi ni tatu Iran, Uturuki na UjerumaniSielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Myth?Si Kweli nchi zinazoongoza kupokea wakimbizi ni tatu Iran, Uturuki na Ujerumani
Nchi zinazoongoza kuwa na Migrants Saudi ni ya tatu.
Nchi zinazoongoza kupokea wageni wengi per capita karibia zote ni za kiarabu.
Mfano nchi kama UAE ina watu kama milioni 10 ila milioni kama 9 ni wageni na milioni kama 1 ndio Raia.
So hii ni myth ambayo ipo repeated kila siku kudanganya watu.
Home boy umeelewa vizuri mada na uhusiano na hizi takwimu zako kweli?