baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kuna data mbili tofauti nimeweka, jitoe ufahamu kama nyengine hujaiona, kuna refugees na migrants, zote mbili nimeweka.Home boy umeelewa vizuri mada na uhusiano na hizi takwimu zako kweli?
Wakimbizi au watu(kama inavyosemwa katila mada hii) wanaokwenda Marekani ni tofauti ni hizi data zako
UNHCR anafanya hosting ya wakimbizi kwenye hayo mataifa na hayo mataifa yanakubali kupokea watu hao kwa sababu ni member state wa UN.(Hii ni tofauti na population inayoingia Marekani)