Hawataki kusoma FEza, Aga Khan, Al muntazir na nyenginezo? Wakati wenzenu wanasoma international School mnajazana Necta, mnajisifia kuwa wa kwanza Necta wenzenu wanaajiriwa Direct Ughaibuni halafu mnakuja Kulalamika humu.
Unajua kwa nini hata ukiwa masikini ukiomba visa ya Dubai asubuhi jioni unakuwa umeipata tofauti na visa ya Marekani ambayo kama sio tajiri, unaenda kusoma, umeshinda lottery yao au una mdhamini/ndugu zako huko unaweza kuitafuta miezi na bado usiipate??
Namba zako zinaonesha Saudia ni Nchi ya tatu zaidi duniani watu kuzamia, na UAE ni Nchi ya Sita, so watu wanazamia nchi za kiarabu. Ama hujui kusoma ume copy and paste?
Ok nimekuelewa kuna tofauti kweli kati ya refugees na migrants.Swali la msingi hii mada inaongelea nini?(Refugees au migrants?)
Mada inahusu watu ambao wako tayari kuacha makazi yao kwa sababu zao wenyewe kwenda kuishi Marekani(they're willingly to give up their homeland to take refuge in the USA).Hii ni contrary na data zako nilizokataa ambazo zinaonyesha number of refugees per country.
Refugees ni watu wanasukumwa na factors kibao(i.e,vita,njaa,uongozi mbaya n.k) kutoka katika ardhi yao mama kwenda kupata hifadhi maeneo mengine(Waarabu wanaongelewa hapa wapo katika category ya migrants kwa sababu zao wanazozijua wao)
Ndio maana takwimu zako nimekwambia hazina uhusiano na mada iliyopo
Regional conflict and economic opportunity boost number of migrants from 25 million to 54 million.
www.pewresearch.org
So middle East hasa hapo Gulf kuna immigrants milioni 54 wakati bara zima la Ulaya ni milioni 27 tu huoni kama tunapigana kamba tu hapa kwamba watu wanakimbilia sana Ulaya?
Na Usa ina immigrants wengi sababu ni Li inchi kubwa sana lenye state zaidi ya 50, ila ukiangalia kwa propotion ya eneo na population ya Nchi za Gulf still inapokea immigrants wengi.
Unajua kwa nini hata ukiwa masikini ukiomba visa ya Dubai asubuhi jioni unakuwa umeipata tofauti na visa ya Marekani ambayo kama sio tajiri, unaenda kusoma, umeshinda lottery yao au una mdhamini/ndugu zako huko unaweza kuitafuta miezi na bado usiipate??
Kama nilivyoweka comment ya juu, ili u Qualify kuitwa Migrant unahitaji permanent residency, mfano umeajiriwa na Kampuni ya Mafuta Aramco una barua ya Ajira, wewe ni migrant, watu kama Kina Christiano Ronaldo, wafanyakazi wa mafuta etc wale ni migrant
Ila sijui unaenda kununua simu Dubai wewe sio migrant na huhesabiwi.
Regional conflict and economic opportunity boost number of migrants from 25 million to 54 million.
www.pewresearch.org
So middle East hasa hapo Gulf kuna immigrants milioni 54 wakati bara zima la Ulaya ni milioni 27 tu huoni kama tunapigana kamba tu hapa kwamba watu wanakimbilia sana Ulaya?
Na Usa ina immigrants wengi sababu ni Li inchi kubwa sana lenye state zaidi ya 50, ila ukiangalia kwa propotion ya eneo na population ya Nchi za Gulf still inapokea immigrants wengi.
Ok,kiongozi niseme ukweli uko sahihi lakini kuna muda lazima ujue nini kinahitajika na wapi?(Natambua unajua vitu vingi lakini unaposhindwa kuchagua sehemu sahihi ya kupachika data zako ni kwamba zitaonekana hazina msaada)
Mada inaongelea kwanini waarabu kwa utashi wao wanaenda kuishi Marekani(topic of debate).Wewe upo upande wa ku-argue against the topic(kutetea hoja zako unaniletea takwimu za wakimbizi ambazo kwa mada hii sidhani kama ni za muhimu).
Kulinda hoja zako wewe sema waarabu wanakwenda Marekani au hawaendi? Na kama ni kweli wanaenda sababu ni zipi zinawafanya wao wachague Marekani na si mataifa mengine?
Sasa wewe unasemaje Bahrain yenye raia milioni 1.5 ina immigrants wengi kuliko US yenye immigrants milioni 3 kwa mwaka??
Halafu immigrants sio lazima uishi permanent, wapo pia temporary immigrants, Qatar ilipata temporary immigrants wengi mwaka 2022 wakati wa kombe la dunia ambao walikuwa ni vibarua kutoka Nepal walionda kujenga Stadiums, fuatilia taarifa ya malalamiko yao jinsi walivyokufa kwa maelfu kutokana na kazi ngumu kwenye joto kali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.