Hili swali lako ni deja Vu mkuu, nimeulizwa hili swali exactly kama lilivyo na jibu lake ni kwamba watu wana Allergy na data.
Sehemu pekee ambayo waarabu wapo wengi Na wakilalamika wana haki ni South America
USA Population ya waarabu ni 3.5M tu, compare na SOUTH America ambapo wapo Takriban milioni 27.
Kipindi cha civil wars za Lebanon, Syria, Palestina na kwengineko wengi walienda South America na SIO ulaya na Usa kama wengi wanavyotaka kutupiga kamba humu na "Trust me bro evidence".
Sehemu nyengine yenye waarabu wengi ni Ufaransa ila hii ni special case kwa Ufaransa, Algeria, Morocco na Tunisia toka kipindi cha Ukoloni.
Na waarabu walioenda South America walienda ikiwa bara ni masikini kabisa, Waarabu wa Palestina/Lebanon/Syria ni wasomi na wana ujuzi sana wa kali transform hilo bara toka bara giza kama Africa kubwa bara linalo endelea kwa kasi,