Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Sasa watoa comment mnalalamika nini wavaa kobazi wakiandamana ujerumani?

Ujerumani ni moja ya nchi zinazonasibishwa na uliberali pamoja na demokrasia.

Hivyo maandamano hayo ni sehemu ya kutimiza madai ya demokrasia.

sasa ikiwa waislamu wa kijerumani wanatimiza haja za kidemokrasia tatizo liko wapi?
 
Wazungu wajanja sana. Hayo maandamano yamepangwa makusudi Huo ni mtego. Kama september 11 vile.

Kuna kitu wazungu wanataka kukifanya hivyo wameanza na mitego yao
Kinachofuatia ni strict laws kwenye immigration.

Ulaya watakua wanaitazama kwenye TV tu.

It is such a pity hawa ni watu wasiopenda amani kabisa. Wao ni vurugu uhasama na kumwaga damu tu.

Wana asili ya uharibifu sifa aliyonayo shetani.
 
Kwa iyo ikiwa Bora kwenu unaona ni Bora na kwetu? Kwa iyo kucharaza watu fimbo mtaani ,kuua ,na kujitoa muhanga Kwa mabomu ndo sharia nzur?
Uongo.
. Sharia ni bora kuliko sheria yoyote za kibinadam duniani.
 
Ni kweli, ubora wake umeonekana huko Libya, Syria, Iraq, Iran, Afghanstan, Lebanon n.k
Kwani huko Si kulivamiwa na Hao wapinga sheria na waendelezaji wa ushoga??
 
ukicheka na nyani utavuna mabua...
mmevuka kote mpaka germany mkijua germany si nchi ya Kiislamu, sasa leo mnataka waweke sheria hizo si mngeenda ziliko.
 
Hawa wapuuzi wakamatwe watiwe mbaroni wanaona hapo ni Saudi Arabia,,wanatiana ujinga ili kuanzisha ugaidi,akili zao haijazoea kuishi Kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…