kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Wafuate katiba ya nchi, wakishindwa wahame, hilo ndilo jibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yoyote za ❎Uongo.
. Sharia ni bora kuliko sheria yoyote za kibinadam duniani.
Nyoco zkUislam popote.
Hamna dini hapo ni upuuzi tuWaislamu wakiwa kwenye umati ambao wao ndio wachache(minority) wanapigania haki za wachache lakini wao wakiwa ndio wengi (majority), wachache hawana haki.
Kinachofuatia ni strict laws kwenye immigration.Wazungu wajanja sana. Hayo maandamano yamepangwa makusudi Huo ni mtego. Kama september 11 vile.
Kuna kitu wazungu wanataka kukifanya hivyo wameanza na mitego yao
Kwa nini wasiende kwenye nchi zisizo za kiislam!?.. france, UK, german walienda nchi mbalimbali kupora(ukoloni) na kueneza tamaduni zaoKwanini hawaendi kwenye nchi za Kiislam?
Uongo.
. Sharia ni bora kuliko sheria yoyote za kibinadam duniani.
Hakuna culture bora duniani zaidi ya Uislam.
Kwanini hawaendi kwenye nchi za Kiislam?
Uislam popote.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio mle na kitimoto
Ahahaha na alshabab pia wanaitumia imekua Bora sana,bila kusahau Al QuidaNikwel nmeona boko haram wanaitumia huko kano
Upate kuendeleza ushoga?Watimuliwe haraka sana bila kujali chochote.
Hahahahahah 😂😂😂😂Serikali ya Germany ingemwaga hata semi nne za nguruwe maeneo hayo
Kwani huko Si kulivamiwa na Hao wapinga sheria na waendelezaji wa ushoga??Ni kweli, ubora wake umeonekana huko Libya, Syria, Iraq, Iran, Afghanstan, Lebanon n.k
ukicheka na nyani utavuna mabua...Impact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi hiyo yaani Sharia Laws.
I have no words, video inajieleza!
Soma Pia: Wakristo wa Yemen walishinikizwa kufuata sheria za Kiislamu: ‘Tulilazimishwa kuvaa hijabu’
🤣🤣🤣🤣🤣Wakachukue haka kajamaa wakaachilie hapo kawachangamshe kidogo.
View attachment 3124505