Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Ndiyo maana Trump amesema wazi kuwa atakuwa na msimamo mkali dhidi ya wahamiaji.

Mnawakaribisha watu kwenye nchi halafu wageni wanataka kuwapangia namna ya kuishi na kuendesha nchi.
 
Ulaya lazima ilipe gharama! Ulaya na US walishirikiana kwenda kuzipiga nchi za Kiislamu na kuharibu ustawi wa nchi zao mf. Iraq,Afghanstan,Syria,Yemen,Libya,nk
Wakawakaribisha Wahamiaji ndiyo matokeo hayo sasa!


Kwa nini hawajapiga qatar, Emirate au jordan .. very weak argument.. wote tunajua siasa chafu za Ulaya hata nchi za africa wamefanyiwa hivyo infact kama Viomgoz wao wamekubali kutumika watatumika tu .. mbona kuna nchi hawajakubali ujinga wa ulaya na us.. vip kuhusu asia (china, indonesia na wengine) na bado zimestawi na europe wanawaheshimu ..

lakin pia huwez kuona wakimbiz wa nchi za afrika ambao nchi zao zimeharibiwa na viongoz wao wachumia tumbo wakiwa huko Ulaya wakitaka tamaduni zao ziingizwe kwenye katiba ya nch za watu..

Dunia ya sasa hv ni ujinga kulaumu Ulaya na marekan kuwa wameharibu nchi za watu

Kama Mna viongoz greedy na wachumia Tumbo basi nchi itaharibika na kuwa failed state in one way or
The other... mtu akikutukana ukaamua kumchinja then wewe ur the devil na sio aliekutukana.. aliekutukana simply he has awaken the satanic force within you

Uislam ni utamaduni wa mwarabu ndo
Maana popote walipo wanataka tamaduni zao zitambuliwe.. cha ajabu huwaon wakitafuta fursa za kwenda kuishi jordan, qatar emirate wala indonesia ila utawaona wanakimbilia Ulaya canada na us

Hapo hata wakipewa sharia law utaona wataandama kutaka kiarabu kitambuliwe kuwa lugha ya pili au ya tatu hapo Ujeruman na kiwe compulsory kufundishwa mashulen

Utasikia wanakwambia ni dini ya haki na hulazimishwi.. cha ajabu uko nyumbani Kwa mtu unaandamana wabadili life staili yako..

Waungwana wanasema ukifika kwa watu kama wanakula nyoka kula huwez chapa lapa
 
Ujerumani ilifanya kosa kubwa sana kuwakaribisha hao wakimbizi.....nchi kadhaa za ulaya zilijaribu kuonya lakini wanaojiita watetezi wa haki za binadamu wakawakingia kifua........sasa haya ndio malipo yao......

Ukweli ni kwamba kuna baadhi ya waislamu wanawaona wasio kuwa waislamu sio binadamu kamili na hawana haki ya kuishi bali kubadilika na kuwa waislamu
 
Tukumbuke huyo ni mjerumani, aliwahi kupigana na dunia nzima mara mbili ndani ya nusu karne, na mara ya pili nusura ashinde. Kuna watu wanajichanganya vibaya
 
Tukumbuke huyo ni mjerumani, aliwahi kupigana na dunia nzima mara mbili ndani ya nusu karne, na mara ya pili nusura ashinde. Kuna watu wanajichanganya vibaya
Usisahau aliuwa na wazee wetu, kwa kuwachinja kama kondoo, waliompinga kututawala, rejea vita ya majimaji by Mohamed Said.
 
Yeah ubaya unaenea kulko uzuri ,Wacha uenee na wote tuwe waisilamu alaf baadae tuunde vikundi vya kigaidi tuuane wote dunia ubaki Haina watu
Ubaya umefanyika xnaa xx ni muda wa kuufuta ujinga wote dunia iwe ya kistaarab kama matakwa ya mungu yanavosema kwenye bibilia yenu
 
Mfano mzuri ni Zanzibar dhidi ya Wabara waishio Zanzibar

Pia btn Washia wa Iran wanavyowafanya Sunni Muslims

Au utajifanya hujui hayo?
Unatudanganya utazani tunaishi Sudan ?tz na Zanzibar tunaiishi vizuri ila kwenye mitandao unakuta jitu liko kigoma hata pwani halijui afu linalia lia muungano
 
Tulijitahidi hata kutumia Google Translation kumsihi Chancellor Angel Mercel aachane na hawa wakimbizi fake wakatudharau. Sasa ndiyo wamejua hawajui. Muda si mrefu wataanza kuonyesha wakiwachinja wenyeji.
Unawajua wajerumani vizuri,
Yaani wajerumani wachinjwe na waarabu katika aridhi ya Bavaria [ Bundes]
 
This is it. Vizazi vinabadilika. Leo Iran kuna wimbi la wanawake kupinga kulazimishwa kuvaa hijab wakati Ufaransa wanadai haki ya kuvaa hijab hadi burqa!

Watoto hawawi na kumbukumbu wazazi wao walikimbia nini toka nchi zao za kiimla zenye itikadi kali za Kiislamu. Kuna wale mabinti wa kiislamu Waingereza walitoroka na kwenda kuolewa na wapiganaji wa ISIS Iraqi. Akili zikawarejea baada ya adha na msoto wa miaka.

Ni kwa vile haki za binadamu haziruhusu wakimbizi kuwekewa sharti la kufuata tamaduni za nchi zinazowapa hifadhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…