Ulaya lazima ilipe gharama! Ulaya na US walishirikiana kwenda kuzipiga nchi za Kiislamu na kuharibu ustawi wa nchi zao mf. Iraq,Afghanstan,Syria,Yemen,Libya,nk
Wakawakaribisha Wahamiaji ndiyo matokeo hayo sasa!
Kwa nini hawajapiga qatar, Emirate au jordan .. very weak argument.. wote tunajua siasa chafu za Ulaya hata nchi za africa wamefanyiwa hivyo infact kama Viomgoz wao wamekubali kutumika watatumika tu .. mbona kuna nchi hawajakubali ujinga wa ulaya na us.. vip kuhusu asia (china, indonesia na wengine) na bado zimestawi na europe wanawaheshimu ..
lakin pia huwez kuona wakimbiz wa nchi za afrika ambao nchi zao zimeharibiwa na viongoz wao wachumia tumbo wakiwa huko Ulaya wakitaka tamaduni zao ziingizwe kwenye katiba ya nch za watu..
Dunia ya sasa hv ni ujinga kulaumu Ulaya na marekan kuwa wameharibu nchi za watu
Kama Mna viongoz greedy na wachumia Tumbo basi nchi itaharibika na kuwa failed state in one way or
The other... mtu akikutukana ukaamua kumchinja then wewe ur the devil na sio aliekutukana.. aliekutukana simply he has awaken the satanic force within you
Uislam ni utamaduni wa mwarabu ndo
Maana popote walipo wanataka tamaduni zao zitambuliwe.. cha ajabu huwaon wakitafuta fursa za kwenda kuishi jordan, qatar emirate wala indonesia ila utawaona wanakimbilia Ulaya canada na us
Hapo hata wakipewa sharia law utaona wataandama kutaka kiarabu kitambuliwe kuwa lugha ya pili au ya tatu hapo Ujeruman na kiwe compulsory kufundishwa mashulen
Utasikia wanakwambia ni dini ya haki na hulazimishwi.. cha ajabu uko nyumbani Kwa mtu unaandamana wabadili life staili yako..
Waungwana wanasema ukifika kwa watu kama wanakula nyoka kula huwez chapa lapa