Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Sharia Law Watu wanasingiziana tu ni mfumo uliopitwa na wakati.
 
Na wapo serious kabisa... Hawa jamaa wa mnyazimungu sometimes hawanaga akili
 
Uongo.
. Sharia ni bora kuliko sheria yoyote za kibinadam duniani.
Kama ni bora je mkristo au myahudi anaweza kuwa Khalifa ndani ya Sharia law? Non muslim tunaweza kuwaoa nyie watu wa Mnyazi?
Au Muta marriage tunawapa pesa
 
Kama ni bora je mkristo au myahudi anaweza kuwa Khalifa ndani ya Sharia law? Non muslim tunaweza kuwaoa nyie watu wa Mnyazi?
Au Muta marriage tunawapa pesa
Kama unataka mjadala na mimi andika kiheshima. Uliza upendacho kiheshima,

Uislam haujakosa majibu. Yote uliyoyaema jibu lake ni ndiyo.

Anza swali moja moja nikupe ushahidi kabisa. Siyo porojo tu.
 
kuupenda uislam kila engo mwisho uislam
Kwahiyo watu waendelee na jihadi wakapewe mabikira mbinguni eti,aliyewaambia mbinguni Kuna ngono ni nanii 🤣🤣🤣yani hadithi zinawadanganya Sana,it's Arabic customs and literacy,Islam is just fiction....
 
The human rights policy that has been promoted by the western world has basically paralyzed their countries and as a result the terrorists are looking for a way to justify their terrorism under the pretext of the freedom of worship.
 
Siyo kweli, kama kabalehe (vunja ungo) hata miaka 3 rukhsa. Kama hajabalehe, hata 20 huruhusiwi kuowana nae.
Kwa nini unadanganya watu wewe Madam. Kwa kuwa elimu yenu ni ya madrassa ndio maana unaongea huo upuuzi. Wewe uliolewa ukiwa na miaka mingapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…