imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sharia Law Watu wanasingiziana tu ni mfumo uliopitwa na wakati.Hayo ndo baadhi ya matokeo ya kuukumbatia "Mfumo dume" katika ubora wake. Swali linakuja kwamba, Je; Kwani huyo mwanamke alikuwa anazini peke yake? Mhusika (Me) ili huo uzinifu aliotuhumiwa nao ukamilike yuko wapi? au mwanaume sio sehemu ya uzinifu? Tutafakari sana hapo.