PreGE2025 Maelfu ya Wananchi waliohudhuria mkutano wa CHADEMA waridhia Uchaguzi usogezwe mbele ili Marekebisho muhimu yafanyike

PreGE2025 Maelfu ya Wananchi waliohudhuria mkutano wa CHADEMA waridhia Uchaguzi usogezwe mbele ili Marekebisho muhimu yafanyike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Braza hatuongelei kupiga kura bali uhalali wa kura za wananchi
Mnasema wasiende mumeuliza wengine wanasema waende.
Maamuzi ya Hoja za makundi yote toka kwa wananchi yatapatikana siku ya uchaguzi

Nyie endeleeni tu kupiga mayowe.watu wasiende kupiga kura na wengine waendelee kupiga yowe waende

Mikutano yote itajaa Filimbi ya mwisho ni October siku ya uchaguzi .Ndipo wananchi waliohudhuria Mikutano yote watatoa jibu ama kutokwenda kupiga kura au kwenda

Sasa hivi kila chama kiendelee kupiga domo
 
Huu mkutano wa Kahama umevunja rekodi aisee! ..🫡
Fainali October siku ya uchaguzi mkuu ndio utajua watu wa kahama wataenda kupiga kura au la

Kuongea mumemaliza sasa subirini na wananchi waongee siku ya uchaguzi October

Talk is not a one way traffic Kuna wanaosema waende kupiga kura kuna wanaosema wasiende na wote wana sababu zao waaminizo ziko sahihi

.October siku ya uchaguzi mnatakiwa pande zote mnyamaze muache wananchi muone wataenda au hawaendi?

Hiyo siku sio ya vyama vya siasa kuongeza
Ni siku ya wananchi tu .Kama walimuelewa aliyesema msiende hawataenda Kama walimuelewa alisema muende wataenda

Na ndio demokrasia.

CHADEMA msi judge mapema mtapata hata mabilioni lengo wawasikilize na wawasikilize wengine waongea tofauti siku ya uchaguzi wafanye decision

CHADEMA komaeni kisiasa acheni utoto
 
Ushahidi sio mkutano ni siku ya kupiga kura wataenda au hawaendi?

Sasa hivi msihangaike wananchi wanasikiliza pande zote mbili za wataka waende kupiga kura na wasiotaka ili siku ya uchaguzi wafanye maamuzi.Waende au wasiende.Usiwaamulie mleta mada

Stay tuned
Ku balance story tungoje na mkutano wa CCM tuone kama kweli wananchi 100% wamekubali uchaguzi usogezwe mbele.
 
Kwa sasa watu wengi wanaelewa. Na hata bile kauli mbiu ya no reform no election ni wananchi wengi sana wameshakata tamaa za chaguzi hizi.
Kabisa, sio wamekata tamaa, bali wamezipuuza chaguzi za kishenzi.
 
Fainali October siku ya uchaguzi mkuu ndio utajua watu wa kahama wataenda kupiga kura au la

Kuongea mumemaliza sasa subirini na wananchi waongee siku ya uchaguzi October

Talk is not a one way traffic Kuna wanaosema waende kupiga kura muna wanaosema wasiende na wote wana sababu zao waaminizo ziko sahihi

.October siku ya uchaguzi mnatakiwa pande zote mnyamaze muache wananchi muone wataenda au hawaendi?

Hiyo siku sio ya vyama vya siasa kuongeza
Ni siku ya wananchi tu .Kama walimuelewa aliyesema msiende hawataenda Kama walimuelewa alisema muende wataenda

Na ndio demokrasia.

CHADEMA msi judge mapema mtapata hata mabilioni lengo wawasikilize na wawasikilize wengine waongea tofauti siku ya uchaguzi wafanye decision

CHADEMA komaeni kisiasa acheni utoto
 
Mnasema wasiende mumeliza wengine wanasema waende.
Maamuzi ya Hoja za makundi yote toka kwa wananchi yatapatikana siku ya uchaguzi

Nyie endeleeni tu kupiga mayowe.watu wasiende kupiga kura na wengine waendelee kupiga yowe waende

Mikutano yote itajaa Filimbi ya mwisho ni October siku ya uchaguzi .Ndipo wananchi waliohudhuria Mikutano yote watatoa jibu ama kutokwenda kupiga kura au kwenda

Sasa hivi kila chama kiendelee kupiga domo
😀😀😀Shotocan
 
Awali serikali na chama cha ccm kilikubali kuwa hoja za mageuzi ni muhimu na kwamba kwa upande wao wanaziunga mkono na hivyo wako tayari kutekeleza. Pamoja na utayari huo walitoa sababu kuwa kwa sasa haiwezekani kwa kuwa muda ni mchache tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa oktoba 2025.
Tafsiri sahihi ya maneno hayo ni kwamba Samia ni lazima abaki madarakani kwa mika mitano ijayo.
Kufanya marekebisho wakati huu ni kumnyima nafasi hiyo ya kuendelea kukaa madarakani kwa njia haramu zilizo pangwa kumbakisha kwenye madaraka hayo.

Hakuna sababu nyingine yoyote inayozuia marekebisho kufanyika kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
 
Ni kweli muda unatosha labda shida ni Utashi tu" The Will to create postive change".

Na kama muda hautoshi basi Umma wa Watanzania umempa Go ahead hata kama ni mwaka mzima au miaka miwili sawa. But the tangible thing should be done for Our beloved Future Nation
 
Katika Bandika bandua inayoendelea chini ya Kiongozi Mahiei Mh John Heche ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa huko Kahama.

Zaidi ya Wananchi 5000 ktk mkutano mmoja wamekubali kwa kauli moja na kuitaka serikali ijali maoni na matakwa yao.

Wamesema wanaiomba mamlaka kusikiliza wananchi ili uchaguzi wa Oktoba usogezwe na marekebisho ya sheria na katiba yafanyike.

Ikumbukwe Kitendawili kikubwa kwa serikali ilikuwa ni kupata muda wa kuweza kushughulikia malalamiko ya wadau wakiwemo wananchi ktk swala la demokrasia na uongozi.

Awali serikali na chama cha ccm kilikubali kuwa hoja za mageuzi ni muhimu na kwamba kwa upande wao wanaziunga mkono na hivyo wako tayari kutekeleza. Pamoja na utayari huo walitoa sababu kuwa kwa sasa haiwezekani kwa kuwa muda ni mchache tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa oktoba 2025.

Hata hivyo baada ya kushiriki majadilianao mbali mbali kwa wadau wa Maswala ya Sheria, Katiba, Chaguzi za kidemokrasia wadau wa haki za binadamu na wa maendeleo wengi wamekuja na suluhu kuwa Kuna uwezekano wa kusogeza uchaguzi mbele.

Wakasema hili litampa Muda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan aliyeko madarakani pamoja na vyombo vingine kujipanga na kutuletea mifumo bora ya utawala.

Huko Kahama kwa Mkutano wa leo Wananchi wameonesha kuunga mkono hoja hiyo kwa 100%.
No reform no election

View: https://www.youtube.com/live/78R43Ag8GaA?si=fX6J3i3Tncf6VC_r

Ni kweli muda unatosha labda shida ni Utashi tu" The Will to create postive change".

Na kama muda hautoshi basi Umma wa Watanzania umempa Go ahead hata kama ni mwaka mzima au miaka miwili sawa. But the tangible thing should be done for Our beloved Future Nation
Hilo la mwaka mmoja au miwili kubaki halitaki. Anataka ngwe yake kamili ya miaka mitano; ambayo ana uhakika nayo kabisa kwamba hawezi kuipata baada ya marekebisho kufanyika.

Kwa hiyo kisha amua, yeye na genge lake: Liwalo na liwe, ni lazima uchaguzi bandia uendelee sasa hivi ambao ana uhakika nao kuwa hawezi kushindwa.

Huyu mwanamke, baada ya damu za waTanzania kumwagika, kweli anafikiri kuwa hiyo miaka mitano ataimaliza salama?
Na hata akiimaliza, kwa njia za shurubu, huo uongozi ataufurahia kweli?
 
Back
Top Bottom