Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Huyu vipi, watu wengine wanatakiwa wawe MirembeMbowe tulimuonya aache kushangilia kifo cha Magufuli akashupaza shingo, kiko wapi sasa. Saccos yake imeenda na mshamba wa Singida
Huyu vipi, watu wengine wanatakiwa wawe MirembeMbowe tulimuonya aache kushangilia kifo cha Magufuli akashupaza shingo, kiko wapi sasa. Saccos yake imeenda na mshamba wa Singida
HeeheheHuyu vipi, watu wengine wanatakiwa wawe Mirembe
We nenda kaharishe tumbo limejaa uvundo mpk umekuwa zuzuBraza hatuongelei kupiga kura bali uhalali wa kura za wananchi
Kwani tatizo liko wapi ?katiba haitamki.popote kuwa wapiga kura wawe.wangapi .hata wakiwa 100 mshindi atatangazwaNo reform no election,na wakilazimisha uchaguzi basi wagombea watajipigia kura