PreGE2025 Maelfu ya Wananchi waliohudhuria mkutano wa CHADEMA waridhia Uchaguzi usogezwe mbele ili Marekebisho muhimu yafanyike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ushahidi sio mkutano ni siku ya kupiga kura wataenda au hawaendi?

Sasa hivi msihangaike wananchi wanasikiliza pande zote mbili za wataka waende kupiga kura na wasiotaka ili siku ya uchaguzi wafanye maamuzi.Waende au wasiende.Usiwaamulie mleta mada

Stay tuned
Tatizo kuna upande ambao wao hadi wabebelee watu kutoka 100km kuwasogeza eneo la tukio
 
Katika Bandika bandua inayoendelea chini ya Kiongozi Mahiei Mh John Heche ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa huko Kahama.

Zaidi ya Wananchi 5000 ktk mkutano mmoja wamekubali kwa kauli moja na kuitaka serikali ijali maoni na matakwa yao.

Wamesema wanaiomba mamlaka kusikiliza wananchi ili uchaguzi wa Oktoba usogezwe na marekebisho ya sheria na katiba yafanyike.

Ikumbukwe Kitendawili kikubwa kwa serikali ilikuwa ni kupata muda wa kuweza kushughulikia malalamiko ya wadau wakiwemo wananchi ktk swala la demokrasia na uongozi.

Awali serikali na chama cha ccm kilikubali kuwa hoja za mageuzi ni muhimu na kwamba kwa upande wao wanaziunga mkono na hivyo wako tayari kutekeleza. Pamoja na utayari huo walitoa sababu kuwa kwa sasa haiwezekani kwa kuwa muda ni mchache tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa oktoba 2025.

Hata hivyo baada ya kushiriki majadilianao mbali mbali kwa wadau wa Maswala ya Sheria, Katiba, Chaguzi za kidemokrasia wadau wa haki za binadamu na wa maendeleo wengi wamekuja na suluhu kuwa Kuna uwezekano wa kusogeza uchaguzi mbele.

Wakasema hili litampa Muda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan aliyeko madarakani pamoja na vyombo vingine kujipanga na kutuletea mifumo bora ya utawala.

Huko Kahama kwa Mkutano wa leo Wananchi wameonesha kuunga mkono hoja hiyo kwa 100%.
No reform no election

View: https://www.youtube.com/live/78R43Ag8GaA?si=fX6J3i3Tncf6VC_r

Hahahahaaaaa

Ndumuz za chakandumuz Hatari

Hawamtaki samia but wanataka aongezewe muda

Wamechanganyikiwa

Akili imeconfyuzi
 
Chadema ni Mpango wa Mungu
 
Uchaguzi upo pale pale kama chama hakijajiandaa na uchaguzi washiriki 2030
 
Mnasema wasiende mumeliza wengine wanasema waende.
Maamuzi ya Hoja za makundi yote toka kwa wananchi yatapatikana siku ya uchaguzi

Nyie endeleeni tu kupiga mayowe.watu wasiende kupiga kura na wengine waendelee kupiga yowe waende

Mikutano yote itajaa Filimbi ya mwisho ni October siku ya uchaguzi .Ndipo wananchi waliohudhuria Mikutano yote watatoa jibu ama kutokwenda kupiga kura au kwenda

Sasa hivi kila chama kiendelee kupiga domo
Uchaguzi ni idadi ya kura.
 
Tatizo kuna upande ambao wao hadi wabebelee watu kutoka 100km kuwasogeza eneo la tukio
Haina shida hata watembee kwa miguu kuhudhuria mikutano ya Chadema cha msingi wahudhuruaji wasikilize sera za no reform no election na wengine wawabebe migongoni ,au kwa malori CCM hata iwabebe kwa ndege na mikutano ifanyike Airport wote wanajinadi sera zao ili wananchi October siku ya uchaguzi wafanye maamuzi wataenda kupiga kura au ka?
Mode of Transportation is irrelevant wawe walienda mkutanoni kwa miguu,walipandq ungo wa kishirikina au walikodiwa ndege na mabasi na CCM au CHADEMA au la

Mziki ni siku ya uchaguzi ndio wananchi wataamua waende au wasiende wawe walienda kwa miguu au walikodiwa malori au ndege kwenda hiyo mikutano pande zote

End product itajulikana october siku ya uchaguzi

Nani aliyeweza ku convince wananchi vizuri wapige kura au wasuse?

Kwa sasa ni mapema mno ku judge
 
nikikaona hako kaaskofu na mropokaji mzee slaa nacheka sana aise :pedroP:

Mwehu ni kawaida kucheka hata mambo yasiyohitaji kucheka. Unazidi kuthibitisha mapungufu uliyo nayo kichwani.
Pole sana kwa huo ulemavu.
 
Katika Bandika bandua inayoendelea chini ya Kiongozi Mahiei Mh John Heche ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa huko Kahama.

Zaidi ya Wananchi 5000 ktk mkutano mmoja wamekubali kwa kauli moja na kuitaka serikali ijali maoni na matakwa yao.

Wamesema wanaiomba mamlaka kusikiliza wananchi ili uchaguzi wa Oktoba usogezwe na marekebisho ya sheria na katiba yafanyike.

Ikumbukwe Kitendawili kikubwa kwa serikali ilikuwa ni kupata muda wa kuweza kushughulikia malalamiko ya wadau wakiwemo wananchi ktk swala la demokrasia na uongozi.

Awali serikali na chama cha ccm kilikubali kuwa hoja za mageuzi ni muhimu na kwamba kwa upande wao wanaziunga mkono na hivyo wako tayari kutekeleza. Pamoja na utayari huo walitoa sababu kuwa kwa sasa haiwezekani kwa kuwa muda ni mchache tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa oktoba 2025.

Hata hivyo baada ya kushiriki majadilianao mbali mbali kwa wadau wa Maswala ya Sheria, Katiba, Chaguzi za kidemokrasia wadau wa haki za binadamu na wa maendeleo wengi wamekuja na suluhu kuwa Kuna uwezekano wa kusogeza uchaguzi mbele.

Wakasema hili litampa Muda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan aliyeko madarakani pamoja na vyombo vingine kujipanga na kutuletea mifumo bora ya utawala.

Huko Kahama kwa Mkutano wa leo Wananchi wameonesha kuunga mkono hoja hiyo kwa 100%.
No reform no election

View: https://www.youtube.com/live/78R43Ag8GaA?si=fX6J3i3Tncf6VC_r

Mwehu ni kawaida kucheka hata mambo yasiyohitaji kucheka. Unazidi kuthibitisha mapungufu uliyo nayo kichwani.
Pole sana kwa huo ulemavu.
eti hako kaaskofu ndio kashauri kakuu ka uongozi mpya wa Chadema na mwenye laana Mzee slaa ndio think tank wa chadema Taifa 🤣
 
Haina shida hata watembee kwa miguu kuhudhuria mikutano ya Chadema cha msingi wahudhuruaji wasikilize sera za no reform no election na wengine wawabebe migongoni ,
Inaonekana na wewe umeielewa sana hii project
 
Katika Bandika bandua inayoendelea chini ya Kiongozi Mahiei Mh John Heche ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa huko Kahama.

Zaidi ya Wananchi 5000 ktk mkutano mmoja wamekubali kwa kauli moja na kuitaka serikali ijali maoni na matakwa yao.

Wamesema wanaiomba mamlaka kusikiliza wananchi ili uchaguzi wa Oktoba usogezwe na marekebisho ya sheria na katiba yafanyike.

Ikumbukwe Kitendawili kikubwa kwa serikali ilikuwa ni kupata muda wa kuweza kushughulikia malalamiko ya wadau wakiwemo wananchi ktk swala la demokrasia na uongozi.

Awali serikali na chama cha ccm kilikubali kuwa hoja za mageuzi ni muhimu na kwamba kwa upande wao wanaziunga mkono na hivyo wako tayari kutekeleza. Pamoja na utayari huo walitoa sababu kuwa kwa sasa haiwezekani kwa kuwa muda ni mchache tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa oktoba 2025.

Hata hivyo baada ya kushiriki majadilianao mbali mbali kwa wadau wa Maswala ya Sheria, Katiba, Chaguzi za kidemokrasia wadau wa haki za binadamu na wa maendeleo wengi wamekuja na suluhu kuwa Kuna uwezekano wa kusogeza uchaguzi mbele.

Wakasema hili litampa Muda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan aliyeko madarakani pamoja na vyombo vingine kujipanga na kutuletea mifumo bora ya utawala.

Huko Kahama kwa Mkutano wa leo Wananchi wameonesha kuunga mkono hoja hiyo kwa 100%.
No reform no election

View: https://www.youtube.com/live/78R43Ag8GaA?si=fX6J3i3Tncf6VC_r

Huoni ht haya kuwa mpumbavu hivyo?
 
Back
Top Bottom