Maelfu ya Warusi waanza kujitokeza na kuandamana kupinga kinachofanyika dhidi ya ndugu zao Ukraine

Hao ni kama chadema wa urusi maandamano yanakuaga makubwa tu tena zaidi ya hapo na wanatulizwa,,,,.....putin sio kama hajui kuna vinega ndani ya nchi yake na alishajiandaa na hilo....hao wameanza kuandamana tokea siku ya kwanza ukraine inavamiwa
Hata Marekani akishambulia mataifa mengine kama Iraq na nchi nyingine wananchi wake na WA mataifa mengine poa huandamana.
Hii ni kawaida
 
Amesababisha chuki kwa Warusi duniani "Russophobia" iongezeke kwa kiasi kikubwa sana, sasa hivi Warusi wengi walio ugenini wanaficha uraia wao kwa aibu.
Mpaka sasa miji 40 nchini Urusi wameanza kujitokeza kwenye maandamano...

Hata USA alipovamia Iraq watu Dunia nzima waliandamana.
Na wapo Hadi Leo wanaandamana kutaka NATO ivunjwe Tena hukohuko Ulaya.
 
Muungano haulazimishwi kwa mabomu na mauaji, ameshauriwa vibaya na oligarchy yake na itamgharimu sana, hizi enzi za utandawazi kuna namna mambo hayafanywi.
kuna mambo hayafanywi kwako kwawenzako yanafanywa nandio unaona jamaa wanachakazwa hivyo
tuliwaambieni RUSSI sio LIBYA mkawa mnatuona sisi wapuuzi haya mnalalama nini kaeni kwakutulia nahakuna wakunfanya lolote PUTIN
 
1600 kati watu Million 145, Ukraine wamelitafuta hili wameambia usituletee NATO mlangoni kwetu jamaa akajifanya anajuwa na ana watu sasa anapokea kipigo na jamaa zake wako dirishani wanachungulia kwa mbali tu akichinjwa. Ni kama sisi Tanzania ukisikia nchi kama Burundi anakuletea adui yako kwake utamfuata hukohuko. Tuache ushabiki pia hawa NATO ndio chanzo ya yote haya.
Mpaka sasa waliokamatwa na kutiwa jela kisa maandamano wametimia 1,600
Hicho sio kikundi kidogo, ingekua ugomvi wa Urusi dhidi ya Marekani au kwingine angeleeweka, ila hapa anaua jamii ya Warusi.
 
kuna mambo hayafanywi kwako kwawenzako yanafanywa nandio unaona jamaa wanachakazwa hivyo
tuliwaambieni RUSSI sio LIBYA mkawa mnatuona sisi wapuuzi haya mnalalama nini kaeni kwakutulia nahakuna wakunfanya lolote PUTIN

Hehehe!! Wafuasi wa Muddy kwenye hili naona mumechachamaa kote kwa raha sana...haya ni wakati wenu kuenjoy.
 
hamna anaeinjoy mlimtia chakike comedian sasa analipia gharama zaukaidi wake
mkamsaidie sasa
 
Mkumbuke huyo pia ni katilli hata kwa nyie wa Muddy, usisahau alichokifanya Chechnya, endeleeni kumshabikia.
 
Ifahamike Ukraine na Urusi ni watu wamoja, na lugha inayotumika sana Ukraine ni Kirusi,
Unaweza kuwa sahihi, lakini kwa nini Ukraine inazuia raia wake wasisungumze Lugha ya kirussia na ukikutwa unazungumza lugha hiyo unauliwa? Hili limetokea Odessa ambapo mgiriki aliuliwa kwa kuzungumza kirussia?
 
1600 kati watu Million 145, Ukraine wamelitafuta hili wameambia usituletee NATO mlangoni kwetu jamaa akajifanya anajuwa na ana watu sasa anapokea kipigo na jamaa zake wako dirishani wanachungulia kwa mbali tu akichinjwa. Ni kama sisi Tanzania ukisikia nchi kama Burundi anakuletea adui yako kwake utamfuata hukohuko. Tuache ushabiki pia hawa NATO ndio chanzo ya yote haya.

Huu mfano wako wa Burundi hauendani na kinachoendelea pale.....
Mfano unaokaribiana ni huu, chukulia Zanzibar leo wajiondoe kwenye muungano wenu, tena kwa kura nyingi za Wazenji ambao wapige kura ya kujiondoa.
Hao Zanzibar huko ni mkusanyiko wa makabila ya Watanganyika, maana huko kuna Wanyamwezi, Wazaramo n.k. Hivyo wana undugu kabisa na Watanganyika, ni kwamba tu kuna historia iliyohusu Mwarabu kuwagawa .

Sasa baada ya Zanzibar kujitenga na kuwa nchi kivyao, rais wa Tanganyika aanze chokochoko za kutaka kurejesha muungano walioukataa na ambao kuna Watanganyika wengi hawautaki pia, atume wanajeshi kufanya uvamizi na mauaji huko ambapo askari Mnyamwezi anakwenda kumuua Mnyamwezi mwenzake kule kisa vitu vya kipuzi.
Leo Mrusi anaacha ardhi yote ya Urusi, taifa kubwa duniani, mapori yote hayo anakwenda kujisumbua akili na kataifa kama Ukraine.

Tembelea mitandao kama Quora uone Warusi walivyochukia na wanatukana sana, hata waliokua wafuasi kindakindaki wa Putin.
 
kawasaidieni ndg zenu acheni porojo ...wakati wanaweka machuma chuma ya NATO hawakujua kwamba Urusi ni ndugu zao ?!!!..acha wanyooshwe kabisa mpk leo jioni nadhani watakuwa wamesarenda
 
Huu mfano wako wa Burundi hauendani na kinachoendelea pale.....
Mfano unaokaribiana ni huu, chukulia Zanzibar leo wajiondoe kwenye muungano wenu, tena kwa kura nyingi za Wazenji ambao wapige kura ya kujiondoa.
Hao Zanzibar huko ni mkusanyiko wa makabila ya Watanganyika, maana huko kuna Wanyamwezi, Wazaramo n.k. Hivyo wana undugu kabisa na Watanganyika, ni kwamba tu kuna historia iliyohusu Mwarabu kuwagawa .

Sasa baada ya Zanzibar kujitenga na kuwa nchi kivyao, rais wa Tanganyika aanze chokochoko za kutaka kurejesha muungano walioukataa na ambao kuna Watanganyika wengi hawautaki pia, atume wanajeshi kufanya uvamizi na mauaji huko ambapo askari Mnyamwezi anakwenda kumuua Mnyamwezi mwenzake kule kisa vitu vya kipuzi.
Leo Mrusi anaacha ardhi yote ya Urusi, taifa kubwa duniani, mapori yote hayo anakwenda kujisumbua akili na kataifa kama Ukraine.

Tembelea mitandao kama Quora uone Warusi walivyochukia na wanatukana sana, hata waliokua wafuasi kindakindaki wa Putin.
Nimesikiliza history vizuri Ukraine wana makosa kutaka kufungua mlango kwa NATO waje mlangoni kwa Russia hawawezi kukubali na Putin kisha sema hilo, sasa hoja yako watu kuandamana ni kawaida tu hata USA na UK walivyovamia Iraq au Libya walitoka watu maelfu kuandamana ni haki yao ila hilo halizuii chochote. Kusema anataka nini Ukraine ni kama kusema tunataka nini Zanzibar wakati tuna linchi kubwa na mapori pia.
 
Kama Mrusi aliachika na Ukraine na Ukraine ikawa taifa huru lenye maamuzi yake, hapaswi kumpimia hewa au urafiki, ukiachika kwenye ndoa inakua ndio basi, hauwezi tena kumpangia mwenzako kwamba nani amuoe au aolewe wapi.
Leo hii mkiachika na Zanzibar, halafu Oman atake kuweka kambi pale, hamuwezi kuwapangia, mlishaagana na kila mtu akatia saini kwenye talaka.
 
Mwaka 1955 Wakati Congo ipo Chini ya Ubeligiji
-Baba mmoja wa kizungu Alinunua mtt wa kiafrika na kumuweka kwenye wavu kwajili ya watoto wake kuchezea kama mdoli,.
[emoji26][emoji26] wazungu ni [emoji706][emoji706]
20220226_114025.jpg

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 1955 Wakati Congo ipo Chini ya Ubeligiji
-Baba mmoja wa kizungu Alinunua mtt wa kiafrika na kumuweka kwenye wavu kwajili ya watoto wake kuchezea kama mdoli,.
[emoji26][emoji26] wazungu ni [emoji706][emoji706] View attachment 2131664

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app

Wote nyoko, waliyemuuza na waliomnunua, siku zote huwa tunalaani wazungu waliowanunua watumwa, tunasahau kuna baadhi yetu ni uzao wa waliokua wanawauza.
Hii dunia ukikaa usome historia, utachukia sana maana binadamu sisi wote ni makatili tukipewa fursa.
 
Back
Top Bottom