Maendeleo bila furaha na amani ni kazi bure. Membe njoo utuokoe Watanzania

Masahihisho madogo : Hata alipokuwa waziri alikuwa katiri bali alidhibitiwa , kwa mfano alipotaka kubomoa jengo la Tanesco alikatazwa lakini alipokuwa Rais akatekeleza unyama wake
 
Wewe na yeye poleni sana
Pamoja na maendeleo ya vitu yanayoendelea TANZANIA, wananchi wake wapo hoi, hawana furaha, hawana amani, tunakuomba Bwana Membe uje utuokoe Watanzania tunateseka ndani ya nchi yetu.
 
Umeona like yangu huko?
 
Hata Huyo Membe Akitawala Hawezi Kubalika Na Kila Mtu Hivo Mkuu Tulia Tu Dawa Ikuingie...
Ikiwa Hadi Mungu Anapondwa Na Kukosolewa Na Alowaumba Na Kuwapa Kila Kitu Bure Unadhani Magufuli Ni Nani Hata Apendwe Na Kila Mtu?
Wekeza Katika Maisha Yako Na Acha Kulia Lia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…