Maendeleo hayana chama: Jengo la ofisi za CCM mwenge lavunjwa kupisha ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala

Maendeleo yana vyama, mimi naishi jimbo la upinzani na eneo hilo swala la maji ni changamoto jimbo linaloongozwa na ccm kuna maji yakutosheleza wakazi wake, sasa kwanini jimbo nalotokea liwe na uhaba wa maji na jimbo lingine maji yawe yakutosha na kinachotutenganisha jimboni ni mpaka..

maendeleo yana vyama
 
Kwel kabisa maendeleo hayana chama kata nzima inaimba magufuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…