Maendeleo Makubwa ya CHATO na tafsiri ya Makongoro Nyerere na Madaraka Nyerere kupata kura 5 na 2 respectively za maoni CCM 2020!

Sawa sawa mzee wa chato... Tanzania kua km ulaya.

Hakuna shule za kutosha na zilizopo hazina madawati ya kutosha lkn pia hakuna waalimu na vifaa vya kufundishia. Achilia mbali adha ya hospitali zetu ambazo hazina wahudumu wala vifaa tiba...
Watu wajinga km nyie ndio mnasababisha madikteta wawepo Afrika.
 
Mleta hoja ungejitathimini vzr kabla ya kuja na hii hoja. Kuna maswali mwengi unatakiwa kujibu lkn nimeshindwa kukuuliza baada ya kuona kuwa IQ yako ndogo.
 
Let's wait to see after 5 years. Time is the best judge.
 
Iwapo yanayofanywa Chato ni mashinikizo kutoka kwa JPM; Anakosea sana. Tuliwaona mwl. Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete; hawakufanya hivyo. Haileti picha nzuri ya uungwana. Anakosea.
Huu ni ubifsi mkali sana. Maeneo mengi ya nchi hayana "basic facilities" kama maji, vituo vya afya, madarasa na walimu wa kutosha, pembejeo za kilimo, n.k. Haya. Mi5 tena.
 
Ila watu wa Ufipa kwakweli kwa matusi tuu aaah! Doleeeee (in Bwege voice)
 
Ukishaanzisha mjadala kuhusu Chato, usiwapangie watu cha kuandika, as long as wanaongelea Chato.

Otherwise, usianzishe mjadala kabisa.
 
Wakati nyie mnachukia CRDB kuweka tawi kubwa pale CHATO ambako hakuna wateja wengi, mimi naona benki kubwa iliyoko pale CHATO yenye wakopaji wachache!
Hiyo nayo ni fursa? Ulishawahi kusikia CRDB imeshindwakukopesha wateja wake kwa kuwa idadi yao ni kubwa?
 
Ukishaanzisha mjadala kuhusu Chato, usiwapangie watu cha kuandika, as long as wanaongelea Chato.

Otherwise, usianzishe mjadala kabisa.
Anzisha mjadala wako kuhusu mambo unayotaka wewe kuongelea! Tambua kuongea na kuendesha mijadala ni taaluma. Umezoea soga za vijiwe vya kahawa, hapa nimekupa framework ya kujadili hoja niliyoiweka mezani.
 
Hiyo nayo ni fursa? Ulishawahi kusikia CRDB imeshindwakukopesha wateja wake kwa kuwa idadi yao ni kubwa?
Biashara kubwa ya Bank ni kukopesha fedha kwa wateja. Wewe unadhani wao watajiendeshaje bila kufanya biashara?! Hiyo ni fursa unless hujui maana ya fursa.
 
Anzisha mjadala wako kuhusu mambo unayotaka wewe kuongelea! Tambua kuongea na kuendesha mijadala ni taaluma. Umezoea soga za vijiwe vya kahawa, hapa nimekupa framework ya kujadili hoja niliyoiweka mezani.
Wewe umeanzisha mjadala wa Chato, halafu unawakataza watu kuonhelea mambo ya Chato.

Wewe unarithi udikteta wa Magufuli.
 
Biashara kubwa ya Bank ni kukopesha fedha kwa wateja. Wewe unadhani wao watajiendeshaje bila kufanya biashara?! Hiyo ni fursa unless hujui maana ya fursa.
Ni fursa kwako au kwa bank? Kama ukiwapo sehemu tofauti na huko Chato, huwezi kupata fursa hiyo hiyo ya kukopa CRDB kwa kiwango na masharti yale yale?
 
Wewe umeanzisha mjadala wa Chato, halafu unawakataza watu kuonhelea mambo ya Chato.

Wewe unarithi udikteta wa Magufuli.
Mimi nimekwambia nimetoa framework ya majadiliano ili niweze kupata feedback ninayotaka! Wengine humu ni madebe tupu wanadhani kutukana, kupiga kelele kunaongeza au kupunguza kitu!
CHATO iko very strategic designed wenye akili wakimbilie FURSA pale .
 
Ni fursa kwa kuangalia " indicator" ya competition!
Kuna competition gani katika kukopa CRDB? Mbona kila siku wanaita watu wakakope, na hadi riba wameshusha wenyewe? Ulishasikia wapi wateja wanagombania kwenda kukopa hela CRDB?

NB:
ili usitoke nje ya hoja, naiweka tena hapa kama ulivyoiandika:

"Wakati nyie mnachukia CRDB kuweka tawi kubwa pale CHATO ambako hakuna wateja wengi, mimi naona benki kubwa iliyoko pale CHATO yenye wakopaji wachache!|
 
Mimi nimekwambia nimetoa framework ya majadiliano ili niweze kupata feedback ninayotaka! Wengine humu ni madebe tupu wanadhani kutukana, kupiga kelele kunaongeza au kupunguza kitu!
CHATO iko very strategic designed wenye akili wakimbilie FURSA pale .
Tatizo unatafuta feedback unayotaka badala ya feedback ya kutoka kwa watu.

Kwa ujinga huo, huwezi kupata mawazo mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…