Maendeleo Makubwa ya CHATO na tafsiri ya Makongoro Nyerere na Madaraka Nyerere kupata kura 5 na 2 respectively za maoni CCM 2020!

Wilaya ya dodoma,kinondoni etc
 
Weka tathmini ya kanda ya ziwa kisha sema ukweli kuhusu maendeleo kucheweshwa makusudi. Wacha Rais afanye kulingana na maono yake na Ilani.
 
Ajabu kuwa umewaita kilio cha watu kuwa kelele za kijinga, halafu nawe umeandika maelezo marefu ya kijinga kabisa!!!!!!
 
Mkuu ukiajiriwa,mwajiri wako anakupa na ofisi ya kufanyia kazi,kutumia raslimali za ofisi yako kugeuza nyumbani kwako ndo kuwe ofisi au kupendezesha nyumba yako kwa raslimali za office yako kwa visingizio cha wewe ni mkubwa au icon si tu ni utovu wa nadhani bali ni wizi
 
Weka tathmini ya kanda ya ziwa kisha sema ukweli kuhusu maendeleo kucheweshwa makusudi. Wacha Rais afanye kulingana na maono yake na Ilani.
Yaani pesa zetu then unasema mtu afanye kulingana na Maono yake?
 
Weka tathmini ya kanda ya ziwa kisha sema ukweli kuhusu maendeleo kucheweshwa makusudi. Wacha Rais afanye kulingana na maono yake na Ilani.
Maono sawa, ilani sawa, lakini nchi ina Katiba, Sheria, Tunu, miongozo, desturi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…