Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

hivi hii katiba ya tanzania ni ile ile ya wakoloni tuliirithi tukaanza kubadilisha tu pale panaposema queen au king tunaandika Presiden, na United Kingdom tunabadili tunaita Tanganika and later Jamhuri ya Muungano au iliandikwa upya na wazee wetu baada ya uhuru?
 
kwanini usianze kwa kutumia jina halisi na kuhusu wewe zaidi ili tukujue kwanza na wale wote wanaoweka sahihi zao wajulikane
 
kwanini usianze kwa kutumia jina halisi na kuhusu wewe zaidi ili tukujue kwanza na wale wote wanaoweka sahihi zao wajulikane

Nilichokuwa naomba ni kwa wadau kuprint hii kitu na wao kujaza na kuwapa wenzao wajaze... lakini baada ya ushauri wa jamvini naona inabidi tutafute taasisi (that's why i was thinking about contacting Haki Elimu) ili ndio itumike kama wanaopush hii agenda ili watu waweze kujaza na wao kuzikusanya.... Kwahiyo kama kuna mtu anayejua muhusika wa heki elimu naomba atujuze ili tuweze fanikisha hii issue
 
Ni kweli katiba yetu inawabeba CCM na viongozi wake ndo maana hawataki kuibadilisha, Tutakomaa nao hadi mpaka watakapo ibadilisha Tunaomba Chadema watusaidie maana vyama vingine vilikuwa viaizungumzia wakati wa kampeni tu na sasa wako kimya hadi wakati wa uchaguzi.

Kikubwa ni kukomaa nao hakuna kisichowezekana.
 
Wana JF naomba niweka njia rahisi ya kupata katiba mpya kwa upeo wangu.

1.Katiba mpya itapatika kwa Kila Kijana wa kitanzania kupata nakala ya katiba iliyoko na kuisoma na kuhakikisha wanaelewa mapungufu yake.

2. Katiba mpya itapatikana kiurahisisi kwa vijana kuanza kuhudhuria kwenye mikutano yote ya viongozi wote wa kuchaguliwa kutoka ngazi ya udiwani na mbuge na kuwasikiliza na kuliza maswali yanayoendana na mapungufu ya katiba kwa mfano mtu moja kuwa mbunge, mkuu wa mkoa, mkurugenzi wa bodi.

3. Vyama vya upinzani kugawa nakala za katiba kwa vijana wao hata kama ni kwa kuchangia ghara za uchapishaji.


4. Kuhakikisha vyama vya upinzani vinaanzisha operesheni Katiba mpya ambayo watu watashirikishwa na kupewa madhara ya katiba ya sasa na faida za katiba mpya katika level ya mwananchi wa kawaida.

5. Vyama vya upinzani hasa Chadema maana ndicho kinachoaminika kwa sasa, kichangishe pesa kwa wananchi kama harambee ya kulipia vipindi vya TV na radio kama ambavyo tumeona siku za midahalo watu wavyojaa sehemu ambazo kuna TV wakifuatilia mchakato, CCM watalainika wenyewe maana wanachama wao tunapigika wote.

6. Vijana kuuliza maswali mengi zinazohusu issue tata kwenye mikutano hata ya wagombea wa CCM.

Tuongezee na mbinu zingine ili post hii itumike kama mwanzo na hayo ni mawazo yangu.

 
naunga mkono hoja, hatupati katiba mpya kwa kuongea tu bali kwa kuisoma iliyopo na kuainisha matatizo yake...
 
Nafikiri pia kama kuna uwezekano wa kuwapata watu ndani ya CDM wenye kuelewa na ku-interpret katiba ya zamani waweze kutafsiri hasa vipengele vyenye utata maana sio wote wanaweza kufuata legal language nk...just a bit of contribution. Watu kama Mbunge mpya wa Mbulu kwa mfano ni lawyer, na pia Slaa anao elewa mpana na wengine wengi tu...hili litasaidia sana wananchi kujua wapi haki zao zimechakachuliwa na katiba ya tuliyonayo sasa.
 
Kitendo cha wabunge wa CHADEMA kumpisha rais mchakachuaji awahutubie wachakahuaji wenzie, kimetupa uhakika kuwa, hata mawaziri wake huwa hawasomi wala hawaijui kanuni za bunge na katiba waapayo kuilinda! Ndiyo maana waziri wake mmoja alikurupuka na kusema nao(CCM) watawasilisha hoja ya kuwafukuza wabunge wa CHADEMA! Nilipofuatilia elimu ya mheshimiwa huyo nilikatishwa tamaa nilipogundua kuwa ana shahada ya Chuo Kikuu! Bahati hata mchakachuaji amegundua kuwa huyo mheshimiwa hana upeo wa kuwemo kwenye baraza jipya.
Jamani tuzidi kuhamasishana kuhusu katiba mpya ili kupunguza kama si kuondoa matatizo mengi yahusuyo uongozi wa nchi.
 
vipengele ambavy vimepitwa na wakati na vinavyoenda kinyume na siasa ya vyama vingi na vinavyokandamiza rika mbali mbali za wananchi kama jinsia ya wanawake kunyimwa haki ya urithi nk ili kila mtu pale alipo aweze kujua umuhimu wa mabadiliko ya katiba na kwa wakati gani,

Death penalty.. almaarufu ...adhabu ya kifo imepitwa na wakati kwa kuzingatia haki za binadamu.... chakusikitisha .... katiba yetu inalea sheria hii... sijui Tangu lini Tanzania ilisha nyonga.... Ben Mkapa Hakusaini miaka kumi yake.... JK Hajasaini.... sasa sijui nani atasaini.... imepitwa na wakati banaaaa......
 
Nipo teyari kupata majina milioni tano kwa jinsi nilivyoumia na udikiteta wa jakaya kubadili matokeo ya urais na kuingia ikulu kwa mabavu naomba wazo lako ulipeleke chadema walifanyie kazi harafu tuwaliane tuna mitandao nchi nzima na kwa taarifa yako sio watu 5 m tu watasaini bali watu millioni 30 manake hata watoto wanaiponda katiba ya sasa kwahiyo fanya hivyo.
 
Ishu siyo katiba mpya tu, ishu ni contents za hiyo katiba. Mnaweza kupeleka sign mnataka katiba mpya mkaletewa katiba mpyaaaaa inayosema muhula mmoja wa Rais ni miaka 10 na hakuna limit ya mihula. Itakuwa mpya lakini mbaya zaidi.
Mijadala yetu ni vyema tukaielekeza kwenye articles tunazotaka zirekebishwe a jinsi tunavyotaka viboreshwe.

VOR,
Kwanza hongera kwa kufikiria one of the possible solutions. Hata hivyo njia hii si sahihi kwa mazingira yetu. Ukimpelekea mbunge wa Biharamulo hii petition ya watu mil 5 hawezi kujua kama watu wa Biharamulo wamo.

Mchakato wa namna hii ni vyema ungefanyika jimbo hadi jimbo kwa sababu hata waliosign Mbunge anaweza kuwafahamu. Kila jimbo zikipatikana sign elfu 20,000 zinatosha.Ni mchakato unaohitaji kujitolea kwa hali ya juu, ila ni lazima tukumbuke kuwa mambo mazuri hayaji kirahisirahisi.
 
Wanajamvi, Wananchi, na Wadau wa vyama vyote....

Naomba msaada wenu wa kukusanya takriban sahihi 5,000,000 za wananchi wa Tanzania ili kuomba Katiba mpya, Nimeweka deadline ili tuwe tumepata sahihi hizi by February.

Attached kuna fomu yenye namba hadi 27 unaombwa uwape watu wajaze au utoe photocopy na kuwapa watu tofauti wajaze, pia unaweza kuzituma kwenye email za watu, facebook etc. Fomu ikikamilika naomba uiscan na kuituma katika email ya mpyakatiba@yahoo.com nitakuwa ninatoa update jamvini ya majina yamefika mangapi na kwa kila atayehitaji tampa file ya documents za majina hayo mpaka wakati huo.

Lengo ni baada ya kupata majina hayo ni kuyapeleka kwa wabunge wetu ili tuwaombe sisi tuliowachagua watupe tunachowaomba. Tafadhali wajaze watu wazima na kwa hiari yao na si kuwalazimisha

Samahani, unaomba SAHIHI au SAINI? Sijajua nikupatie kipi kati ya hivyo viwili.
 
Nafikiri pia kama kuna uwezekano wa kuwapata watu ndani ya CDM wenye kuelewa na ku-interpret katiba ya zamani waweze kutafsiri hasa vipengele vyenye utata maana sio wote wanaweza kufuata legal language nk...just a bit of contribution. Watu kama Mbunge mpya wa Mbulu kwa mfano ni lawyer, na pia Slaa anao elewa mpana na wengine wengi tu...hili litasaidia sana wananchi kujua wapi haki zao zimechakachuliwa na katiba ya tuliyonayo sasa.

Timu ya sheria ya Chadema haina shaka kabisa ndo wanaoogopwa sana kama ukoma na CCM ni watu ambao Katiba yote ipo kichwani, na kanuni zote zipo kichwani na wanazielewa, kwa mfano tukio la kutoka wakati JK anahutubia bunge vilaza wengi wa chadema walisema ni kuvunja sheria, na sisi wananchi tukawa na wasi wasi hata baadhi ya wabunge wa chadema walikuwa wanaogopa kupoteza ubunge baada ya kupata kwa taabu lakini nyinyi ni mashahidi ni jana tu, Mwanasheria mkuu aliposema hakuna kanuni wala sheria iliyovunja na wabunge wa chadema.

Ukiangalia pia Chadema ndo chama kinachoongoza kwa kuikosoa CCM, Serikali pamoja na JK, pale wanapotunga sheria na kuivunja wenyewe hii yote ni kwa sababu tuna timu nzuri ya sheria inayoongozwa na Tundu Lisu, Marando, Slaa na wengine, kama unakumbuka kwenye kampeni CCM na JK walivunja sana sheria na chadema ikawastukia na kukata rufaa.

Nihivi majuzi tu Jeshi la polisi walikizuia chadeama kufanya mikutano lakini wamelegea baada Lisu kunguruma kwenye vyombo vya habari jana tu leo wameachia kwa mujibu wa gazeti la Majira.

Peoples Power, Katiba mpya lazim
a.
 
Govt rejects requests to overhaul constitution Send to a friend Monday, 29 November 2010 23:30 digg

ayakatiba.jpg
By Bernard James, Beatus Kagashe
The government yesterday played down early prospects of an overhaul of the constitution, saying there was no pressing need for such an expensive undertaking amid other nation building challenges.The newly appointed Minister for Constitutional Affairs and Justice Ms Celina Kombani said the government was contented with amendments of the supreme law whenever there was a need.
She told The Citizen in a telephone interview that the state was also not ready to initiate a process to re-write the constitution since it has not received any formal appeal from those advocating for constitutional reform.

The Minister spoke shortly after attending the first full cabinet meeting chaired by President Jakaya Kikwete at State House in Dar es Salaam.

It was the first government’s reaction to a wave of mounting calls from various quarters for a complete re-write of the constitution.

But yesterday Ms Kombani said she considered such calls “pedestrian” and that the government would only be willing to listen or act on the demands when a formal request is presented.

“Let them come with something concrete and in writing, showing which sections have problem, why and suggest the alternative. The government should not be forced to respond on these sensitive issues through reading newspapers,” said the minister.

Ms Kombani’s reaction would appear to dampen the hopes that a dialogue could be established soon to chart the route to take over the matter, which has gained momentum since the October General Election.

But reacting to the Minister’s stance yesterday, the leader of official opposition in Parliament Mr Freeman Mbowe and his predecessor Mr Hamad Rashid Mohammed of the Civic United Front (CUF) said the government should not look for excuses to escape from its responsibility.

“It is irresponsible for the minister to want to cheaply dismiss such a national issue. You don’t seat in the office and wait for official complaints while it is obvious the cry for constitutional reform is a cry of the majority,” said Mr Mbowe.

Mr Hammad said his party has filed more than three letters to the government demanding talks over constitutional changes to no avail.
“Who does not know the long cry of having the new constitution, we wrote a letter to President Kikwete when he took over the office in 2005, likewise to former President Benjamini Mkapa but nothing has been done,” the Wawi MP said. He said in the ninth parliament he prepared a private motion but was not given a chance either.

A Mzumbe University political analyst Dr Elisante Gabriel also said the government should act without delay for public interest because it occupied a central role in public matters that cannot be overlooked.

Yesterday the Tanganyika Law Society (TLS), which on Sunday added to the review call pressure, reiterated that it would drive forward the reforms agenda and hoped to bring the government on board.

“Tomorrow (today) the TLS governing council will be holding its ordinary meeting and one of the major issues that will feature is how we kick start the process to have a new constitution,” said TLS president Mr Felix KIbodya.

He said TLS believes that lawyers have a unique opportunity to push for the changes and that it was their legal duty to do so. “It is part of our cardinal duty,” he emphasised.

Earlier Ms Kombani said the overhaul of the constitution was a costly affair that could not come overnight. The Minister cautioned that if not handled properly, it could plunge the nation into serious problems.

Asked why the government should not take charge, the minister responded: “When we see a problem we go for amendments that we implement smoothly without pressure. The problem I see here is that they want an overhaul, while we think amendments are for the time being sufficient,” she said adding that many countries have chosen this road.
The minister further claimed that the craving for a full review was not in the interest of citizens and the government.
 
The government yesterday played down early prospects of an overhaul of the constitution, saying there was no pressing need for such an expensive undertaking amid other nation building challenges.

I thought we the people are the ones who knows whats important, whats needed. Expensive undertaking?...... dont make me laugh
 
The govt has been taking so many unproductive and costly projects which has non sense to poor man like I ,while taking my money through tax......today without fear a minister stand firmly against constitution overhaul !!!!! discredited completely
 
Back
Top Bottom