STEIN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,771
- 553
Issue ni kufikisha ujumbe.... Kwahiyo mimi am just a normal person mlalahoi tu wakaida, nimefikilia kuhusu ili jambo, na nikaona kuna uwezekano wa watu kukusanya majina ambayo yatakuwa kwenye hiyo email; na nitaforward hapa jamvini. Hili sio suala langu ni la kila mtu.. Petition inatoka kwa wananchi wote sio kwangu tu. I am not important just a mediator au call me mtoa wazo tunaweza tukaboresha kama kuna mtu ana wazo zuri
Ni kweli mkuu tatizo ni kwa sasa ukisema tu wew unahitaji jina la mtu, no ya simu, sahihi, hizi taarifa ni za muhimu sana na zinaweza kutumika vibaya au juu yake ikiandikwa wanaotaka kupindua nchi utasema nini na tutasumbuliwa kwa muda. Mimi nawafahamu vizuri hawa viongozi wetu ambao mabadiliko ya katiba inawabana, wana visa sana kwa hiyo katika hii isue inatakiwa inafanyika kwenye uwazi kama kwenye mikutono ya vyama mfano kila mbunge kati ya hawa CDM na CUF na wengine wanaweza kupita huku na kule kuleta fomu na na kuzisaini kama tulivyofanya wakati wa kampeni na kumdhamini Dr Slaa.
Labda kwa huku jamvini cha kufanya ianzishwe Opinion poll ya kutaka kujua ni watu wangapi wanataka mabadiliko ya katiba then ikapelekwa kwenye magazeti then ndo viongozi wa upinzani wakaanza kutoka hapo.
Wasi wasi wangu ni kama tukifanya kimya kimya watasema tunataka kuipindua serekali hawa jamaa walivyo hawana akili.